Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

    Report Post
    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast
    Results 81 to 100 of 134
    1. #1
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1847
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      ........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

      Source : ITV
      bathrum likes this.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"




    2. Miaka 50

    3. #81
      Unstoppable's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 940
      Rep Power : 613
      Likes Received
      330
      Likes Given
      2041

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      Quote By Angel Msoffe
      kwani Marando alisema wahusika ni ccm au mtoto wa kigogo wa ccm, kwani Nape ndo huyo mtoto wa kiongozi wa juu wa serikali mpaka atoe kauli yeye?au kiherehere kinamsumbua?
      Mimi huwa najiuliza ivi ni kwanini CCM wanamuachia mtu kama Mwigulu na Lusinde wafungue midomo yao? Sijaelewa kama ni kumuogopa mwenyekiti au ni vipi? Hawa kwakweli ni mzigo; yaani wamejisahau kabisa position walizo nazo. Kwanini chama hakiwaiti hawa watu pembeni nakuwapa onyo au darasa fulani hivi?

    4. #82
      king kan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2011
      Posts : 422
      Rep Power : 492
      Likes Received
      117
      Likes Given
      2

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      Quote By Imany John
      Kama wabunge wa ccm waliweza kufoji sahihi ya waziri mkuu bungeni,na kumpa mbunge na kumwambia kimetoka kwa pinda,na mbunge huyo kwenda kwenye kiti alipo pinda kuitikia wito.

      Cha ajabu pinda hakuwa ameandika yeye,wote wawili wakawa wanashangaana,na kimemo kilikuwa na sahihi ya pinda,ila mwandikaji hakuwa pinda.

      Je kama uhuni huu ulifanyika ndani ya bunge(hata nape analijua hili) sasa iweje washindwe amini kuwa kuna mtambo huo toka Israel?

      Nape stuka!
      CCM ni genge la wahuni na wezi wao wana mbinu za kimafia sasa wanataka wawaamishie wengine matatizo yao pamoja na kwamba siasa ni game of tricks lakini unatakiwa ujue vema unadili na watu gani na waaina ipi.Huwezi kushindana na watu wanashindana na TISS kipuuzi na kijinga kama CHADEMA wanaweza kuwa na data dhidi ya mpango wa mauaji wa viongozi wao kutoka TISS ni wazi hawawezi kutumia mbinu ya kipuuzi ya kutuma sms ya hatari wakati wanajua wazi namba zao zimesajiliwa.
      There are those who believe that a new modernity demands a new morality. What you fail to consider is the harsh reality that there is no such a thing as a new morality. All else is immorality.

    5. #83
      andrews's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 1,683
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      76

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      nape hukubaliki ndani ya ccm nje atakukubali nani?

    6. #84
      Unstoppable's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 940
      Rep Power : 613
      Likes Received
      330
      Likes Given
      2041

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      Quote By Kimbunga
      Mtambo wa simu, umesimikwa wapi? Marando kaniangusha angetamka kinagaubaga nani mwenye mtambo. Angemtaja na kumwambia kama unaona si kweli nenda mahakamani ili utendewe haki sasa anasema hamtaji kisha anasema aende mahakamani. Marando anajua sheria vizuri tu bila kutaja mtu na kusema ni mtoto wa kiongozi wa CCM hiwezi pelekwa mahakamani, nani akupeleke mahakamani sasa? Mtoto wa kiongozi wa CCM; kiongozi gani? Watoto wa viongozi wa CCM wapo weeeeengi! Angekuwa specific lakini huu ni usanii tu wa kisiasa.
      Mimi sidhani kutaja au kutokutaja kungeleta tofauti yeyote. Mfano; Ile ya Riz1 kumpelekea Slaa mahakamani imefikia wapi. Mpaka leo watanzania hatujui nani muongo na nani mkweli (unless mtu ameona evidence). Hizi siasa za TZ huwa zinatia hasira sana sometimes. Na-wasiwasi hata angetajwa mtu tusingesikia mtu kafungua kesi wala nini.

    7. #85
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 780
      Rep Power : 559
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By bob g
      kimsingi mwigulu anakera na havumiliki kwa kusema uongo tena wa maisha binafsi ya mtu, havumiliki kabisa, ni mzushi na ana maombo ya kitoto sana
      mwigilu kawakamataje yaan anawashugulisha vibaya


    8. #86
      Elungata's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 3,736
      Rep Power : 0
      Likes Received
      418
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By SPANNER
      NILIKUWAPo kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao Marando alihutubia. Katika mkutano ule, Marando hakutaja mahali popote kuwa mtambo huo umeletwa na CCM. Amesema umeletwa na mtoto wa kigogo mmoja wa ngazi ya juu serikalini. Wala Marando hakutaja jina la huyo mtoto wa kigogo. Labda Nape aseme ametumwa na huyo mtoto wa kigogo kumjibia.

      Sasa hili la kumtaka Marando athibitishe linamaana gani? Nadhani huku ni kutapatapa kisiasa.
      hata angetaja monkey ndo kaleta huo mtambo si lazima athibitishe.suala hapa sio kamtaja nani na nani anataka athibitishe ama akanushe

    9. #87
      MCHUMIPESA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 272
      Rep Power : 413
      Likes Received
      30
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      Au ndo lile dili la kusajili laini zetu za simu ili wapate majina yetu?Magamba wote n 0 brain!

    10. #88
      Elungata's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 3,736
      Rep Power : 0
      Likes Received
      418
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Usije ukashangaa leo wakaitisha press conference ingine na kudai mtambo huo wa sms spoofing ulioletwa ni MTAMBO CHAKAVU hawa watu bana.

    11. #89
      Chikwakara's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 100
      Rep Power : 380
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Nnauye Jr;

      Tumewachoka watanzania na hila zenu. Badala ya kufanya kazi za maendeleo ili kujibu malalamiko ya wananchi mnafanya kazi za vyama pinzani. Mliahidi maisha bora kwa kila mtanzania, yako wapi ? Tunahangaika mtaani na kazi tunafanya kodi zetu (PAYEE) mnakata kubwa na kuweka matumboni mwenu na nyingine mnaenda kuficha nje ya nchi. Quote this kaka yangu NAPE:

      'NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU ILI SIKU MOJA UJUTE KUTETEA UPUUZI WA CHAMA AMBACHO HATA MIMI AWALI NILIKIPENDA LAKINI SASA KIMEKUWA DAMPO LA MAOVU NA WEWE UKIYAPIGANIA MAOVU HAYO'.

      WENGINE TUMEBAHATIKA KWENDA SHULE NA TUNA UWELEWA MKUBWA SANA WA JINSI MNAVYOIVURUGA NCHI HII. AHADI YANGU NI KWAMBA NITATUMIA AKILI ZANGU ZOTE, UWEZO WANGU WOTE KIUCHUMI KUSAIDIA MUONDOKE MADARAKANI. WATANZANIA WENZANGU (HASA VIJANA) WAZALENDO ACHANENI NA AKINA NAPE KWANI WAO NDO WANAJUA UTAMU WA MAOVU YA CCM KWA MUDA MREFU.

      NAPE MUOGOPE MUNGU UKITAMBUA NA SISI NI BINADAM NA MBELE ZA MUUMBA TUNA HAKI SAWA NA USITUMIE UELEWA MDOGO WA WATANZANIA KUHUBIRI PROPAGANDA. TUTAKUULIZA SIKU MOJA ISIYO NA JINA

    12. #90
      Africa_Spring's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2012
      Posts : 421
      Rep Power : 403
      Likes Received
      106
      Likes Given
      64

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      Quote By luvara
      Inaonekana wewe unapenda sana ugomvi, miaka 03 iliyobakia si mingi, jiandae kugombea Uraisi kwani JK atakuwa amemaliza kipindi chake ili tukuone usivyodhaifu.
      hayo nimaoni yake sasa wewe usichukie na kumsakama....kila mmoja ananafasi yake hapa jf kutoa alilo nalo.

    13. #91
      MIGNON's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2009
      Posts : 561
      Rep Power : 656
      Likes Received
      172
      Likes Given
      128

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Quote By only83
      ........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

      Source : ITV
      Nape atusaidie kufafanua kazi za kitengo cha IT wakati wa kampeni ambacho kilikuwa na base Upanga.Pili atusaidie kwa kuiuliza serikali yake kuhusu namba iliyotumiwa kumchafua Slaa wakati wa kampeni ambayo ilikuwa inaonyesha kuwa ni ya nje.Kwa kuwa Chama chake ndio tawala atusaidie kuhusu hasa matokeo ya kinasa sauti uvunguni mwa kitanda cha Slaa.
      CCM imeingiza udini kwa CUF na bahati mbaya CUF wameshindwa kujinasua,mnajitahidi kuingiza udini CDM kwa kila njia lakini bahati mbaya zaidi ni kuwa U mafia umekuwa ni mtindo wenu.Nchi itaingia katika taabu kwa sababu ya CCM ya kuwa myopic na kushindwa kusoma mabadiliko ya kijamii yanayotokea.

    14. #92
      MIGNON's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd November 2009
      Posts : 561
      Rep Power : 656
      Likes Received
      172
      Likes Given
      128

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Nnauye Jr,

      Nimefurahi sana kukuona ukijibu mwenyewe.

      Aangukapo mwendawazimu mtie kamba hapo hapo usisubiri akaamka,naam naona nichangie kidogo kabla hujapotea.

      Nikweli kabisa kuwa ulim outshine Marando kwenye ule mdahalo,congratulations.

      Kilicho mezani sasa si mdahalo bali ni tuhuma ambazo zimeelekezwa kwa mtoto wa kigogo na sidhani kama ni wewe.

      Kama walivyochangia wenzangu ingekuwa vyema waungwana nyie mkamburuza Marando mahamakani ili ikiwezekana aingie jela wa kutuhumu watu bila ushahidi,mngekuwa mmetusaidia sana.

      Lakini Nape tusaidie kutueleza kitengo chenu cha IT wakati wa kampeni kilikuwa na kazi gani kubwa na ni nani kiongozi wake?

      Unaikumbuka message iliyokuwa na namba za nchi za Scandinavia ambayo ilisambazwa mwishoni mwa kampeni,je mmejitahidi kujua mhusika?

      CCM mna kila kitu hakuna sababu za kutumia u mafia katika siasa hapa kwetu,mbururuze Marando mahakamani tuweze kuujua ukweli.

    15. #93
      Naytsory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 725
      Rep Power : 761
      Likes Received
      127
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By tamuchungu
      Marando alikurupuka,ndio maana serikali ikiwapeleka wezi mahakamani yeye anaenda kuwatetea,huyu ndio wakili wa costa mahalu alietuibia akiwa balozi nje ya nchi.hata hizi kauli anazotoa ni utetezi dhaifu mno.
      Je rais wetu ambaye wakati ule alikuwa waziri wa mambo nje ikiwa Costa ni mwezi yeye anakuwaje msafi wakati hayo yamefanyika chini ya Wizara yake? Au hiyo ndiyo kanuni yenu ccm?

    16. #94
      Elungata's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 3,736
      Rep Power : 0
      Likes Received
      418
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Sasa sijui nape atamburuza mahakamani kwa kesi gani?
      Marando ni mjanja sana HE DIDNT NAME NAMES.
      Namba ya simu ya scandnavia inahusika vipi na NAPE ,kwani yeye ni ispector general au DCI?.
      Kuna watu humu wanadhani wakimguote nape na kumpa madongo inawaongezea VITAMIN.
      Very low

    17. #95
      Advocate Jasha's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th January 2007
      Posts : 717
      Rep Power : 1004
      Likes Received
      161
      Likes Given
      337

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Quote By Nnauye Jr
      SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.
      Heshima yoyote kutoka kwa MAGAMBA WENGI WA CCM NA MAFISADI NI UNAFIKI ! NA KWA MTU WA KUHESHIMIKA KUPOKEA HESHIMA ZAO NI KIJIPAKA MATOPE ​MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    18. #96
      BONGOLALA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 4,905
      Rep Power : 1478
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      128

      Default

      Quote By Imany John
      Kama wabunge wa ccm waliweza kufoji sahihi ya waziri mkuu bungeni,na kumpa mbunge na kumwambia kimetoka kwa pinda,na mbunge huyo kwenda kwenye kiti alipo pinda kuitikia wito.

      Cha ajabu pinda hakuwa ameandika yeye,wote wawili wakawa wanashangaana,na kimemo kilikuwa na sahihi ya pinda,ila mwandikaji hakuwa pinda.

      Je kama uhuni huu ulifanyika ndani ya bunge(hata nape analijua hili) sasa iweje washindwe amini kuwa kuna mtambo huo toka Israel?

      Nape stuka!
      kweli mkuu!huu ni ushahidi tosha

    19. #97
      Advocate Jasha's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th January 2007
      Posts : 717
      Rep Power : 1004
      Likes Received
      161
      Likes Given
      337

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....

      Quote By unstoppable
      mimi huwa najiuliza ivi ni kwanini ccm wanamuachia mtu kama mwigulu na lusinde wafungue midomo yao? Sijaelewa kama ni kumuogopa mwenyekiti au ni vipi? Hawa kwakweli ni mzigo; yaani wamejisahau kabisa position walizo nazo. Kwanini chama hakiwaiti hawa watu pembeni nakuwapa onyo au darasa fulani hivi?
      ​hao ndio waliobaki katika kikundi cha usanii ccm ambao wakianza kutoa uharo wa mdomo majukwaani wanafurahisha,wangineo katika kikundi hicho kauli zao hazina mashishiko waccm wamezizoea.

    20. #98
      fakenology's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 366
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      marando amemtuhumu mtoto wa kigogo wa ccm na si kigogo wa ccm.
      sasa nape hasira zinatoka wap na aliyetuhumiwa co mwanaccm.
      nahisi na ccm inahusika kwa kuwa mav yambane mwingine wewe ukimbilie kunya.
      kweli mfa maji...........

    21. #99
      Magesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2012
      Posts : 1,194
      Rep Power : 1008
      Likes Received
      270
      Likes Given
      1

      Default

      Nnauye Jr

      Wewe na Mwigulu pamoja na Mabwepande yenu ni janga la Kitaifa kwa hali ya kawaida kama huna upungufu wa kufikiri ungeenda mahakamani halafu ndio Kamanda Marando aje kuthibitisha kwa kuleta ushahdi mahakaman.Propoganda unazotumia ni za enzi ya ukoloni, Mwache Miraji aje atujibu mwenyewe kwa sababu ndio alikua anafanya kaz hii tokea kipindi cha uchaguzi.

      Unaposema kampuni haramu ya mzee Mtei unaonyesha ni jinz gan mlivyofilisika kisiasa, Hamna chakuwaambia watanzania wazalendo zaidi ya UDINI,UKABILA NA UKANDA. Watanzania mlioshindwa kuwaletea angalao robo ya maisha bora hawahitaji tena propoganda hzo,Wanajua CHADEMA ndio tumaini lao bila kujali RANGI,DINI ZAO WALA UKABILA WAO.

      Wewe upo kwenye systm ya ufisad wa nchi hii kuanzia wazazi wenu na ndio mmelifikisha TAIFA hapo lilipo ndio maana mna jeuri ya kuwakejeli watanzania ambao hawana tena matumain kwenu bali CHADEMA M4C DAIMA

    22. #100
      genekai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2010
      Location : Loitering!
      Posts : 7,554
      Rep Power : 2090
      Likes Received
      1097
      Likes Given
      1575

      Default Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

      Quote By Nnauye Jr
      Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo!

      Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei na ataka watanzania waamini ni Chama cha siasa ?!!

      Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE.

      SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.
      Mtu mzima hatishiwi nyau kaka, hizi siasa za majitaka mtandaoni hazina tija kwa mtanzania wa kawaida, nendeni mkasaidiane kutatua kero za Watanzania wa kawaida. Huu utaratibu wa kuchafuana na kuargue kwa kuattack personality ni fallacy (Inappropriate argument) of argumentum ad hominem. Inatumika sana na wakomunist. Utasema me nahusika pia kutatua kero, ntakujibu NDIO ila ikumbukwe kuwa waliopewa ridhaa ya kukusanya kodi na kuunda serikali ni chama chako, so kwa vyovyote vile tutapaswa kuwauliza nyie mliounda serikali.

      Back to the point, kuhusu kukujua VIZURI, kimsingi sikujui na wala sihitaji kukujua for you have always counted NOTHING in my life and I don't see you COUNTING in my life be it in the near or far and late future. Never ever for God's sake!!!!

      Hainiingii akilini kuona chama tawala kikitenda kama chama cha upinzani, uwezo na mamlaka ya kuchukua hatua mmepewa kikatiba, kwanini muishie kulaumu na kutenda kwa "siasa za vyama vya upinzani? Walk your talks guys!!!!! One more thing, simtetei Marando ila uelewe kuwa Wakili kazi yake ni kuwakilisha au kutetea, hii ndo nidhanu ya kazi hiyo (Ingawa sijui umesomea nini) bado nina imani kuwa unaelewa vizuri kila mtu kutenda kwa nafasi yake!!!!

      Soma signature yangu utaona kuwa kamwe hamuwezi kutuletea jipya hata kama Watanzania wataendelea kuwapa ridhaa ya kuunda serikali kwa miaka Mia Moja ijayo!!!!
      Last edited by genekai; 23rd July 2012 at 17:15.
      Unstoppable likes this.
      The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...