Re: Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni....
Hizi siasa za maji taka siku si nyingi zitawasambaratisha walioziasisi na wanaoendelea kuzipigia debe. Walianza kwa kumchafua Dr. Salim A. Salim wakati ule wa kumpata mgombea urais mwaka 2005. Naona hawana hata idea mwisho wake zitawarudia walioziasisi. Yangu macho!
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Follow Us Here