- Dhulma ya Tanganyika litan'gooka sasa. Tuko Tayari kwa kila kitu, hili swala tumelivaa kiimani. Hatuwezi kulipata nchi bila kuingiza Uislamu.
- "Tunadai Zanzibar yetu Kwenye makucha ya Tanganyika Kiimani sasa"
- Akitajwa Kiongozi Mwislamu hata kama katukera, tusimlaani. Wakitajwa wale makafiri, Jina lake mpaka litafute Juisi.
- Umuhimu wa Waislam kuwa na nchi yao, kuilinda na kuitetea nchi yao.
- Je Kwani mnanchi nchi? Nchi yenu imeibiwa na Wakristo
- Tusikubali utawala wa watu makafiri wababe, kama nabii rasul Musa. Tunataka taifa letu
- Njia tu ya kupigania uhuru ni Jihad. Lazima tupigane kama watu wadini
- Wabara wapumbavu, wamezoea kuingia mikataba ya kijinga ya kunufaisha mafisadi na wageni. Sisi hayo hatutayakubali. tunaitaka nchi yetu
- Mkiombwa kupigana kwa ajili ya nchi yenu mko tayari? Kwa maana mnayoyataka inafika muda mnalazimika kupigana
- Mnakufa kwa maradhi yanayotibika
- Tukifa sisi bila kuwapa nchi, vizazi vyetu vitakuwa wakiristo !
- Tunayemtaka ni jemedari wa kutuongoza kuikomboa nchi yetu
- Watanganyika na wakristo ni wezi, wanaiba matrillioni. Wamepandikiza chuki na wizi wao kwenye mashirika ya umma. Kila wizara na taasiri inanuka ufisadi. hatutaki muungano
- Baadhi yao wanajifanya kuzungumzia wanzanibari kuhusu muungano. Waacheni wanznibari wajiamulie, njooni hapa muuwailize wanzibari kama wanautaka huo muungano wenu.
Maneno yao hapo sikiliza.....Inatisha. Muungano umekwisha, waachani hawa watu waende wanapandikiza chuki mbaya kwenye kivuli cha Udini. Kwa mwendo huu, muungano umekufa

Reply With Quote


Follow Us Here