anasema hata usa 8%hawana ajira.Waziri kilimo kasema bungeni leo.Mdee kamchana 16%hawana ajira60%vijana tz.Enzi zimepita
anasema hata usa 8%hawana ajira.Waziri kilimo kasema bungeni leo.Mdee kamchana 16%hawana ajira60%vijana tz.Enzi zimepita
dah! Mdee kamfunika mama Kabaka. Huyu mama Kabaka alidhani yuko Butimba ttc
tatizo la mawaziri wetu wamekuwa vipofu kujali masilahi ya umma, kitakwimu unaweza kuona si tatizo pengo la ajira nchini;kiuhalisia ni tatizo, na ni bomu kubwa na baya kama alivyosema lowasa.Hivi tuseme ukweli, je fursa za kujiajili hata kama zipo hususani vijijini, je mazingira yanaruhusu? kama vitendea kazi, pembejeo, masoko, mfumo,sheria, uwezeshwaji? je viko sawa kuruhusu soko la ajira kuwa pana na vijana wengi kuweza kujiajiri?hapa mjini, je hizo fursa za ajira ziko nyingi kuruhu vijana wengi kuzipata fursa hizo?je mazingira nayo yako rafiki kuwezesha idadi kubwa ya vijana kujiajiri?hata kama mtu hakwenda shule , jibu atakalotoa hakuna mazingira rafiki yaliwekwa na serikali kuwezesha vijana kijiajiri.Hivyo kabaka, aache nadhalia za taarifa bungeni zisizozo na mantiki na ambazo hazikidhi haja ya tatizo lilipo.hata hivyo , ni kweli idadi kubwa ya vijana wasiona ajira , wanaweza kuishi kwa utegemezi wa wajomba na ndugu?hapa waziri karopoka, ndo kukurupuka na kukosa hoja za msingi kujibu kero za walio wengi.
Hao ndo mawaziri wetu vipofu hao.
mawaziri wa serikali ya Kikwete ni Vihiyo
Watu kwa kupotosha hawajambo.wote tunafatilia bunge hakuna waziri alietamka hayo maneno.naona we umeyageuza kwa kuwa unasagwa na halima
Naona tv zenu zinaripoti matukio kinyume nyume ndio mana mtu akisema moja we unasema kumi na moja,akitoa takwimu we unasema ya kwako unaacha kilichosemwa.shame on u.
Sidhani kama anajua kutumia ipad.
,,,,,,,,Jisachi
forgive and feel sorry for whoever tries to compare TZ unemployment problem with USA's. He/she is simply myopic, shallow minded & headed to grow hair
Last edited by kichwat; 21st July 2012 at 15:39.
Follow Us Here