Kampuni ya Strabag kwa mwendo huu! Unatuhakikishia kuwa hata tungekupa uweke sawa bonde la Jangwani litumike kwa ajili ya makazi kazi hiyo ungeweza.kazi anaifanya kujaza na kulisawazisha bonde hilo na kuonekana hakuna bonde
Kampuni ya Strabag kwa mwendo huu! Unatuhakikishia kuwa hata tungekupa uweke sawa bonde la Jangwani litumike kwa ajili ya makazi kazi hiyo ungeweza.kazi anaifanya kujaza na kulisawazisha bonde hilo na kuonekana hakuna bonde
Madhara yake ni makubwa!!!
Subiri mvua zileee, za kipindi kileee!!!
Dar es salaam inavituko vyake.Viwanja huuzwa wakati wa kiangazi.Masika viwanja vingi vinakuwa majaruba ya mpunga.Huyu Strabag akazane kbla masika hazijaja.Utatumia boti kusomba vifusi.Pia ahahakikishe mitaro/mifereji ya nguvu anajenga
jamani hawa ni wazungu sio wachina watu feki
omgela tiguyebwa omwo gulaba.
Curiosity.........
A well tight cornered rat can bite a Cat...
Nchi hii siasa imechukua nafasi kubwa kuliko utaalam, sidhani kama kujaza hapo jangwani ni suruhu ya tatizo la kuzuia mafuriko cha muhimu ni kujiuliza maji yalikuwa yanatoka wapi na baada ya kujaza hilo bonde hayo maji yataenda wapi? hapa tutarajie tatizo lingine kubwa sana ambalo litawafikia hata wale ambao hawakustahili kufikiwa na tatizo la mafuriko na baada ya hapo ndo tumtafute mchawi na mwisho wa siku tutasema ni mpango wa MUNGU wakati tumesababisha wenyewe.
tehetehe tunatengeneza vifo na maafa mengine sisi wenyewe
JF raha sana. Kila mtu ni MTAALAM wa FANI ZOTE. Kila mtu anakosoa kila kitu 'kitaalam'.
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit; wisdom is knowing not to put it in a fruit salad.
Watanzania kwa porojo na majungu ndio maana mambo yetu tunayaanzisha wenyewe siku zote hayafanikiwi...hivi mnajua Strabag wanafanya nini kwenye huo mradi mnadhani Wajerumani wana akili za nywele kama sisi wanachofanya sasa wanajenga madaraja na njia za kupitisha maji kwenda baharini.
Inashangaza sana mtu anatoka kwake Tandale au Kimara naye anajifanya mtaalam wa uhandisi analeta mawazo yake, hawa Strabag wamefanya project nyingi duniani sio makanjanja angalia kwanza vifaa vyao bado vipya ndio vinaanza project Tanzania.
Engineer wa kijerumani wapo pale wanafanya kazi sio porojo ngoja mradi uishie muone jangwani mpya yenye njia nyingi za kupitisha maji watu wanajenga airport baharini jangwani kitu.
Last edited by Ritz; 21st July 2012 at 13:01.
huyu jamaa kaambiwa na serikali aafanye juu chini maji yahamie kariakoo, watu wahame, tujenge majengo ya kisasa. Pia tunataka kuona masika ijayo, maji yanajaa club ya Yanga yote
we Ritz usitumie akili za makuli, uzungu wa mhandisi haufanyi uhandisi kuwa spesho, eti "wamefanya project nyingi duniani" kama vipi kale kamke kako ukakabidhi kwa ile njemba ya kimasai yenye kijiji cha watoto kutokana na uzoefu wa kutotolesha,
tunawaambia ccm akili zenu "zimegota"
HATAWIKA JOGOO KABLA MAJI YA MVUA KUZIGHARIMU ROHO ZA WATANZANIA WENGI BONDE LA MSIMBAZI.
Nina wasiwasi sana kuhusu ujenzi huu.Wana mazingira hii imekaaje.Remember hii ni wetland na lazima kutakuwa na athari kimazingira.Na kama kukiwa na mafuriko,maji yatapitia wapi?Au Waarabu wa Pemba.Kama sio please wake up.Bonde la Msimbazi halipashwi kuwa disturbed.Infact lilipashwa kuboreshwa.
Follow Us Here