Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 53
    1. #1
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,594
      Rep Power : 2089
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
      cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

      Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    2. #21
      Communist's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,924
      Rep Power : 0
      Likes Received
      641
      Likes Given
      811

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Tume ya Katiba View Post
      heshimuni maoni ya mtakatifu nyerere kwa niaba ya kanisa kulinda muungano
      Mtakatifu wako wewe. Kwangu mimi alikuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika, akaichinjia baharini.

    3. #22
      TUKUTUKU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : KIPALAPALA TU
      Posts : 8,679
      Rep Power : 2180
      Likes Received
      1927
      Likes Given
      748

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By MARCKO View Post
      Tanganyika tulieni zambi isiwakute.
      Dhambi gani mkuu?achana na mambo ya imani,hii ndiyo inasababisha waafrika tusiendelee,acheni watu wadai haki zao kwa uhuru!
      "A friend in need,is a friend indeed"

    4. #23
      Communist's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,924
      Rep Power : 0
      Likes Received
      641
      Likes Given
      811

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By OSOKONI View Post
      afadhali kuwa na akili fupi kuliko kutokuwa na akili kabisa kama wewe ulivo!!
      Huyu yuko kama yule misifa aliyemkamata mwendawazimu, akasema ya mwaMboka.

    5. #24
      tedo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th August 2011
      Location : uchochoroni
      Posts : 5,755
      Rep Power : 4694
      Likes Received
      1302
      Likes Given
      913

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Mama Tanganyika nakupenda sana.

    6. #25
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,911
      Rep Power : 1169
      Likes Received
      1056
      Likes Given
      804

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Things are Easier said than done! kwa Tanganyika nayoifahamu kizazi hiki sidhani kama kinaweza kufanya yaliyofanywa na Tunisia, Misri, Libya, Yemen na sasa Syria! sisi tuendelee kulalamika tuu siku zinasonga mafisadi wanazidi kututumbukizia mirija mingi zaidi ya kutunyonya!
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    7. #26
      Communist's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,924
      Rep Power : 0
      Likes Received
      641
      Likes Given
      811

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By OSOKONI View Post
      Things are Easier said than done! kwa Tanganyika nayoifahamu kizazi hiki sidhani kama kinaweza kufanya yaliyofanywa na Tunisia, Misri, Libya, Yemen na sasa Syria! sisi tuendelee kulalamika tuu siku zinasonga mafisadi wanazidi kututumbukizia mirija mingi zaidi ya kutunyonya!
      Unatuchukulia poa sio?

    8. #27
      Nyakageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2011
      Posts : 5,555
      Rep Power : 1607
      Likes Received
      816
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Tume ya Katiba View Post
      heshimuni maoni ya mtakatifu nyerere kwa niaba ya kanisa kulinda muungano
      1kB brainned!

    9. #28
      nduu/mamaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Location : AROUND THE WORLD
      Posts : 2,274
      Rep Power : 1015
      Likes Received
      559
      Likes Given
      174

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Mwiba View Post
      Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
      cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

      Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.
      mambo ya tetesi ni uzushi mtu,kwa bongo maandamano sahau,kama raia tu wanashindwa kuandamana kwa madai ya msingi au mambo ya kipuuzi kabisa yanayofanya na serikali kama ishu ya madaktari inayomgusa mtu direct tofauti na muungano usitegemee watu kuingia barabarani kudai tanganyika.yako wapi maandamano ya kupinga dowans kulipwa? yako wapi maandamano ya wafanyakazi kama walimu kudai malimbikizo yao? pamoja na nyongeza ya mishahara?
      Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;wala fedheha yake haitafutika. Mithali:6:32-33.

    10. #29
      nduu/mamaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Location : AROUND THE WORLD
      Posts : 2,274
      Rep Power : 1015
      Likes Received
      559
      Likes Given
      174

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Communist View Post
      Unatuchukulia poa sio?
      communist sio kuwa anatuchukulia poa,wabongo ni waoga ajabu ila ni wazuri kwa kulalamika.shamba la bibi,nchi ya wagagagigikoko
      Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;wala fedheha yake haitafutika. Mithali:6:32-33.

    11. #30
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,988
      Rep Power : 2594
      Likes Received
      641
      Likes Given
      777

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Kwa nini hawataki kuirudisha? Mbona visingizio vingi. Halafu Mtikila kaingia mitini, au anazeeka.
      We shall overcome, righteousness shall always prevail.

    12. #31
      Endeleaaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 560
      Rep Power : 710
      Likes Received
      125
      Likes Given
      43

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Watanganyika wala hamuhitaji kuandamana, tulieni tu maana Zanzibar wanaifanya hiyo kazi ya kurudisha Tanganyika. Muungano ukishavunjika automatically Tanganyika itarudi hewani.
      Nguruvi3 likes this.
      1. HARNESS THE POWER OF CHANGE, 2. FACE REALITY!, 3. MANAGING LESS IS MANAGING BETTER
      4. CREATE A VISION AND THEN GET OUT OF THE WAY

    13. #32
      MpigaKelele's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Posts : 2,352
      Rep Power : 993
      Likes Received
      516
      Likes Given
      1566

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Kudai Tanganyika kisa wazanzibar wachache wamewadanganya wazanzibar wengi kuwa muugano ni dhuluma kwao sio jambo sahihi.

      Tunaweza kufikiri kuirudisha jina la Tanganyika kama kufanya hivyo kutakuwa na manufaa kwa watanzania katika kuwaondolea kero zao zinazowakabili kwa sasa na zinazotarajia kuwa kipidindi kijacho.

      Hivi Kweli mnaamini kuwa kurejesha Tanganyika :
      1.kutaondoa Ufisadi kwa watawala na raia wengine?
      2. Kutawezesha kuboresha maslahi ya wafanyakazi watanzania?
      3.Kutawezesha wakulima, wafugaji, wavuvi, wawindaji,wasanii, na wengineo kupata maboresho ya maslahi ya kazi zao?
      4. Kutaodoa watoto yatima wanotaabika mitaani?
      5.Kutarejesha maadili mema ya baadhi ya watoto, vijana, wazee, watawala, watanzania mmoja mmoja ambayo yameshuka kwa kasi ya ajabu ktk siku za hivi karibuni?
      6.Kutaondoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia nyumba za ibada kama kichaka cha kudhulumu watanzania?
      7.Kutaondoa ushukaji wa ubora wa elimu inayotolewa na taasisi za serikali hapa nchini?
      .....
      .....
      .....
      orodha ni ndefu ... niambieni ninyi mnaotaka kurejesha Tanganyika, kama Tanganyika mnayoitaka inaubavu huo.

      Watanzania tuna matatizo mengi ambayo yanatukabili, mimi siamini hata kidogo kuwa kurejesha Tanganyika itakuwa ni suluhisho la matatizo yetu.

      Kama kuna mfumo wa nchi juu ya umoja wetu ambao waweza kuwa natija na kutuletea heshima na angalau kutatua matatizo yetu ni kuwa na nchi yenye serikali moja ikiziua kabisa Zanzibar na Tanganyika. mfano mmoja wa nchi zilizonufaika na mfumo huu Ujerumani mashariki na Ujerumani magharibi, ushaidi upo kwani sasa Ujerumani iliyoungana inasaidia katika kutatua matatizo ya kifedha kwa nchi za Hispania, Ugiriki n.k

      Binafsi siungi mkono hoja ya kudai Tanganyika katika mazingira ya sasa.
      Curiosity.........
      A well tight cornered rat can bite a Cat...

    14. #33
      Communist's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,924
      Rep Power : 0
      Likes Received
      641
      Likes Given
      811

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By MpigaKelele View Post

      Uunge au ukate mkono. Tanganyika inarudi. Imekuwa no bodies business.

    15. #34
      MpigaKelele's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Posts : 2,352
      Rep Power : 993
      Likes Received
      516
      Likes Given
      1566

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Communist View Post
      Uunge au ukate mkono. Tanganyika inarudi. Imekuwa no bodies business.
      Naamini kelele nilizozipiga zitakuwa zimewaamusha baadhi ya wale waliokuwa amepitiwa na usinginzi.
      Communist: Nimekuelewa na naheshimu mawazo yako lakini msimamo wangu huko palepale
      Curiosity.........
      A well tight cornered rat can bite a Cat...

    16. #35
      MachoMakavu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2008
      Posts : 349
      Rep Power : 650
      Likes Received
      36
      Likes Given
      12

      Default

      Mere gossip!

    17. #36
      Mafie PM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th March 2011
      Posts : 1,213
      Rep Power : 664
      Likes Received
      182
      Likes Given
      1212

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Mpesapesa View Post
      mh. akili zako kama za chadema = fupi
      Unawashwa?

    18. #37
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,985
      Rep Power : 16312
      Likes Received
      3401
      Likes Given
      4342

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Mpesapesa View Post
      mh. akili zako kama za chadema = fupi
      tatizo lakuwaza na masaburi hizi ni bora akili fupi zinaweza tumika lakini sio kutumia masaburi shame on u
      Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.

    19. #38
      Malaria Sugu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th July 2009
      Posts : 2,408
      Rep Power : 0
      Likes Received
      247
      Likes Given
      18

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Hakuna kitu kama hicho,watu wanatoa maoni ya katiba mpya maswala ya maandamano hayapo

    20. #39
      Mkojo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 32
      Rep Power : 357
      Likes Received
      4
      Likes Given
      10

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Quote By Makamuzi View Post
      Hizo taarifa nlizipata muda fulani nlipokutana na jamaa mmoja wa ikulu..
      Abed au yupo mwingine ha ha ha

    21. #40
      Malaria Sugu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th July 2009
      Posts : 2,408
      Rep Power : 0
      Likes Received
      247
      Likes Given
      18

      Default Re: Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

      Tanzania ni moja na watu wake ni wamoja,acheni uchochezi

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...