Mimi si mwanasheria, lakini hukumu kama hii hata hakimu wa mahakama ya mwanzo hawezi kuitoa. Hapa ndipo mahakama zetu zilipofika
Mimi si mwanasheria, lakini hukumu kama hii hata hakimu wa mahakama ya mwanzo hawezi kuitoa. Hapa ndipo mahakama zetu zilipofika
wengine sio wanasheria na hatuju kabisa mambo hayo tueleze basi nini makosa ya hukumu hiyo?
tumefika hapa tulipo sababu ya ccm goigoi na kikwete dhaifu
Tusiojua sheria mtatufunga sana hapa naona giza tu
Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!
Mmmh hata mimi naona giza tu.
Kizungu je? Plaint sawa ni legal document na 'Plant' je ni nini hicho wanasheria mtusaidie sisi labda nayo lugha ya kisheria. Ila hata kizungu kinavyo sound ni km cha kihiyo tu anaungaunga tu..... mwee jaji aliyekubuhu
Ni vizuri tukawa na commission ya vetting Judge na Mahakimu kama kenya leo majaji 4 wametemwa kenya kwa kukosa sifa zinazotakiwa kwenye katiba mpya ya kenya, iwe ni tume huru yenye watu makini kabisa. Iko hukumu iliyotolewa na Majaji wa mahakama ya Rufaa iliyohusu mgombea binafsi ilishangaza watu wengi na isipopitiwa itatumika vibaya sana
Naona pia kama Kikoloni hakijakaa sawa. Hivi ni kwa NINI hukumu zinaandikwa kwa kidhungu??
It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle
Ukiisoma utagundua kuwa hakuna heading (kama ni Judgment au Ruling), pia sijawahi mimi binafsi kuiona sheria inayoitwa Chief Justice Rules hapa Tanzania.....bado siamini!!!
Last edited by quimby_joey; 21st July 2012 at 01:30.
"human beings are born empty slate (tabula rasa): their knowledge comes from experience and perception".
Liwalo na liwe
ndio maana kiswahili kinatetewa sana kumbe kuna maficho mahali fulani??
Kitu gani hii??? Ruling, Judgment au ORDER??
CIVIL PROCEDURE CODE ACT Cap 33.
ORDER XX
JUDGMENT AND DECREE
1. The court, after the case has been heard, shall pronounce
judgment in open court, either at once or on some future day, of which
due notice shall be given to the parties or their advocates.
2. A Judge or Magistrate may pronounce a judgment written but
not pronounced by his predecessor.
3. The judgment shall be written by, or reduced to writing under
the personal direction and superintendence of the presiding judge or
magistrate in the language of the court and shall be dated and signed by
such presiding judge or magistrate as of the date on which it is
pronounced in open court and, when once signed, shall not afterwards be
altered or added to, save as provided by section 96 or on review.
4. A judgment shall contain a concise statement of the case, the
points for determination, the decision thereon and the reasons for such
decision.
HII DOCUMENT haieleweki, haina Title, haielezi kiini cha shauri au hoja iliyokuwa ikibishaniwa mahakamani, haielezi msingi wa maamizi na wala sababu za kufikia uamuzi huo..
This Judge "Chingwile.." oooohh my Dog!!!!
ameitoa chumbani kwake nini (in absent of all of the parties)???. Posho hizi hatari sana!!!
"Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.
Nimegundua kumbe watu wengi wanafungwa kwa kutokujua sheria. Ni pande zote mtoa hukumu hajui na mhukumiwa hajui vilevile Kinachotokea hapa ni kufungana hovyohovyo. Hebu fikiri hapo angekuwa Dr si tayali ameshaua? Sasa wanasheria hebu kuweni makini mnang'ang'ania tu kuitwa waheshimiwa!!
ha!maaawe!
Lissu is brilliant
Follow Us Here