Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 59 of 59
    1. #1
      ibange's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 1,358
      Rep Power : 1108
      Likes Received
      403
      Likes Given
      23

      Default Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Mimi si mwanasheria, lakini hukumu kama hii hata hakimu wa mahakama ya mwanzo hawezi kuitoa. Hapa ndipo mahakama zetu zilipofika




    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Cape city's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th October 2011
      Location : CAPE TOWN
      Posts : 96
      Rep Power : 405
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Nchi ya Giza

    4. #42
      Sikonge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2008
      Location : Sikonge, Tabora
      Posts : 7,860
      Rep Power : 2333
      Likes Received
      2869
      Likes Given
      5535

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Ngona Mama wa Malawi aje atutwange na atawale Tanzania hatimaye.

      Wengine wako busy na UDINI......, Ukabila na ..............

      Malawi, njooni muinyooshe Tanzania.
      Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).

    5. #43
      KABALE's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 91
      Rep Power : 600
      Likes Received
      14
      Likes Given
      4

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Quote By Consultant
      Naona pia kama Kikoloni hakijakaa sawa. Hivi ni kwa NINI hukumu zinaandikwa kwa kidhungu??
      Jamani WaTz tuko pabaya... Fikiria a kwa waliomaliza Kidato cha Nne na hata kufaulu kupata shahada ya pili hawakijui Kiingereza. Kibaya zaidi hata Kiswahili ndiyo HAWAKIJUI kabisa.. tatizo zaidi. Fikiria tunapokuwa na kiongozi mkuu kama Raisi anaongea na watu wakawaidA anachanganya na Kiingereza na Kiswahilii unategemea nini! Akikumbana na Shaka Sali wa VOA naboronga vilevile.

      Kumi, hata vilugha vyetu hatuvijui.Tuliaminishwa ya kuwa kama mtu akiongea kilugha ni mkabila ambayo si kweli. Kama ingekuwa hivyo Basi Mwenyezi Mungu ni mkabila No 1kwa vile alioumba lugha za makabila mbalilimbali. Nona aibu mwanasiasa anakwenda mbele ya Bunge kuomba na fasi ya kuwa mb wa AM anaishia kuongea mambao ya ajabu.... Ni MATUNDA YA ELIMU BORA CHINI YA CCM MIAKA 50 YA UHURU
      Last edited by KABALE; 4th August 2012 at 12:14.

    6. #44
      KABALE's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 91
      Rep Power : 600
      Likes Received
      14
      Likes Given
      4

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Quote By Msajili
      Hiyo si hukumu, ni rejection ya Plaint kwa kukosa sifa za kimahakama. Sasa uliyeweka hii mada onyesha hizo Kasoro unazoziona usilete majungu
      Bure sana. Yaani hapo chini huwezi kuona gramatical errors alizoandika Jaji.. au na wewe ulisoma shule za "kayumba" ka yeye?
      SoNotorious likes this.

    7. #45
      SoNotorious's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th September 2011
      Posts : 766
      Rep Power : 510
      Likes Received
      185
      Likes Given
      248

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Hii ni hukumu au memo, hii ni kawaida kiongozi akiwa dhaifu hawezi kuchagua msaidizi ambae anamzidi uwezo, sote tunajua jk akili zake haziwezi kuona zaidi ya umbali wa kope za macho yake, unategemea wasaidizi atakaoteua si ndo watua vipofu wa akili kabisa. Hii ndo maana tunataka katiba mpya ili teuzi hizi ziptie mchujo wa kufa mtu, sio mjinga yeyote ili mradi amechaguliwa kuwa rais kwa mbinu anazojua yeye anakuja kutuchagulia wajinga wenzie wafanye maamuzi magumu yenye kuamua mustakabali wa maisha ya mtu u nchi. Shame on you jk.

    8. Miaka 50

    9. #46
      luhala's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th February 2012
      Posts : 195
      Rep Power : 405
      Likes Received
      74
      Likes Given
      128

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Quote By Bob G
      Ni vizuri tukawa na commission ya vetting Judge na Mahakimu kama kenya leo majaji 4 wametemwa kenya kwa kukosa sifa zinazotakiwa kwenye katiba mpya ya kenya, iwe ni tume huru yenye watu makini kabisa. Iko hukumu iliyotolewa na Majaji wa mahakama ya Rufaa iliyohusu mgombea binafsi ilishangaza watu wengi na isipopitiwa itatumika vibaya sana
      Mimi pia si mwanasheria lakini sipendi kabisa hili la wanasiasa kuchakachua "Proffession" za watu kama alivyofanya JK kwa kuteua baadhi ya majaji wenye vigezo hafifu kabisa! Ingefaa tufike mahali wawe wakiwapendekeza potential judges miongoni mwao kwa kuzingatia sifa, weledi na uzoefu kisha kuwasilisha kwa Rais ambaye kabla ya kuwathibitisha atapeleka majina hayo Bungeni yathibitishwe? Mtindo huu wa kuwateua majaji kwa utashi wa mtu mmoja aliyeko Magogoni ndiyo unatujazia lundo la majaji vibaraka na substandard kama ilivyo sasa na kushusha kabisa hadhi ya asasi hii muhimu kama moyo wa Taifa.
      Afadhali ukoloni wa Mwingereza kuliko huu utumwa na ugandamizaji wa CCM!

    10. #47
      Man 4 M4C's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd August 2012
      Posts : 464
      Rep Power : 827
      Likes Received
      64
      Likes Given
      15

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Unajua hata uhakiki wa elimu na vyeti huna tatizo kubwa sana,watu wanapewa kazi kwa sababu wanavyo vyeti na si kwasababu wanajua inafanyika vipi. Pia utaratibu wa kuteua katika baadhi ya taasisi ni tatizo kubwa

    11. #48
      wagaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 598
      Rep Power : 479
      Likes Received
      123
      Likes Given
      92

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Quote By maitario
      Mimi si mwanasheria, lakini hukumu kama hii hata hakimu wa mahakama ya mwanzo hawezi kuitoa. Hapa ndipo mahakama zetu zilipofika



      kwa uelewa wangu, nadhani mleta mada ameshangaa hukumu kutolewa in favor of defendants kwa sababu tu plaint imeandikwa na kuwasilishwa ktk aina ya karatasi ambayo si yenyewe (isiyokubalika na chief justice). inaelekea kuna karatasi maalum iliyopendekezwa kutumika wakati wa ku file plaint (latin planctus = complaint, madai, malalamiko)
      Je, wanasheria ni kweli planctus ya plaintiff inaweza kutupwa kwenye dustbin simply because the type of paper used was of wrong type???!!!!!!!
      Tafadhali tufafanulieni hapo.
      Halafu hao defendants wote ni wale Mafisadi wa TZ!!
      Huyo wa kwanza kama sikosei yupo pia ktk sakata la meremeta na Tangold. Swahiba wake mkubwa BWM.
      sitashangaa kama wrong type of paper ikawa sababu ya kuwamaliza hao plaintiffs.
      "Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"

    12. #49
      Msajili's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 72
      Rep Power : 374
      Likes Received
      11
      Likes Given
      6

      Default Re: Tundu Lissu Yupo Sahihi: Angalia Hukumu za Majaji Voda Fasta wa JK

      Quote By KABALE
      Bure sana. Yaani hapo chini huwezi kuona gramatical errors alizoandika Jaji.. au na wewe ulisoma shule za "kayumba" ka yeye?
      Ni kweli nimesoma shule za Kayumba, wewe uliyesoma shule za FM Akademia nionyeshe hizo grammatical errors (kwa kizungu chako ni GRAMATICAL errors )...au Ndiyo wale wale majungu.com?

    13. #50
      FDR.Jr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th June 2008
      Posts : 859
      Rep Power : 729
      Likes Received
      59
      Likes Given
      88

      Default

      jamani ni jukumu la mahakama kulinda utamaduni,kanuni na sheria. jaji yuko sahihi 100%. Karatasi hazikuwa sahihi,amezikataa ili warudi kwa usahihi ili awasikilize. kesi haikufutwa hapo,yanini makurasa tele ktk ku remind Legal papers? Big up Mh. Alice

    14. #51
      Salary Slip's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 1,347
      Rep Power : 693
      Likes Received
      652
      Likes Given
      384

      Default Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      Wadau hivi haiwezekani kauli ya mh. Tundu Lissu kuhusu sifa na uteuzi wa majaji sasa ikapelekea kuona haki inatendeka?Kuna jaji atakaekubali kuendelea kutumika na mwishowe akaonekana ni miongoni mwa wale wasio na sifa?

      Mimi nafikiri wakati tunafurahia kuona haki inatendeka,yafaa pia kumshukuru mh. Tundu Lissu kwa mchango wake ktk kusimamia heshima na uwajibikaji wa mahakama zetu hasa kupitia majaji.

      Tusisahau ukweli unauma.
      Last edited by Salary Slip; 22nd December 2012 at 21:03.
      Nicholas and Daudi Mchambuzi like this.

    15. #52
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,995
      Rep Power : 12012
      Likes Received
      5320
      Likes Given
      5144

      Default Re: Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      Tundu Lisu anawatwanga bungeni lakini pia anawapeleka puta mahakamani. Kwa staili hii sina shaka kwamba heshima ya mahakama hasa majaji wa mahakama kuu na rufaa itarudi mahali pake.
      Daudi Mchambuzi likes this.

    16. #53
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,199
      Rep Power : 3657
      Likes Received
      1315
      Likes Given
      2193

      Default Re: Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      sina wasiwasi na Lissu,bado ana kazi tamu ya kumkalisha kiti moto ZItto.Sijui atachomokea wapi?Na majibu yake ya kijinga.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    17. #54
      Paul Katyega's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 139
      Rep Power : 387
      Likes Received
      29
      Likes Given
      23

      Default Re: Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      Mkuu nakuunga mkono.

    18. #55
      Samboko's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th October 2011
      Posts : 170
      Rep Power : 416
      Likes Received
      37
      Likes Given
      4

      Default Re: Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      Mkuu umenena.

    19. #56
      Diwani Msia 2015's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st December 2012
      Posts : 75
      Rep Power : 338
      Likes Received
      12
      Likes Given
      0

      Default Re: Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      Hakunaga kama Tundu Lissu.

    20. #57
      Heavy equipment's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th October 2012
      Posts : 406
      Rep Power : 414
      Likes Received
      70
      Likes Given
      1

      Default Re: Kauli ya Tundu Lissu kuhusu majaji vs hukumu ya Lema

      ''Heri Dr.slaa aingie ikulu kuliko Tundu lisu aingie bungeni'' from JK

    21. #58
      Kimbweta's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th July 2012
      Posts : 62
      Rep Power : 357
      Likes Received
      41
      Likes Given
      1

      Default Tumuunge mkono Tundu Lissu..mmejionea wenyewe mfano wa Majaji wa kuteuliwa kwa fadhila!!

      Watu wanaweza kumpuuza na kumuona Tundu Lissu kama vile chizi lakini anacho kitetea ni cha msingi sana kwa mustakabali na ustawi wa utawala wa kisheria wa nchi yetu. Nadhani mpaka wale wanaompinga watakapo kuwa wamenyimwa haki au jamaa zao kama ilivyo tokea kwa Mh.Lema na wananchi wa Arusha ndipo wataelewa umuhimu wa jambo hili analolipigania Mh.Lissu. Kesi ya Lema hata mtu anaye soma sheria mwaka wa kwanza Chuo Kikuu angeweza kuiamua kwa sababu kila kitu kilikuwa wazi lakini kwa mshangao madudu aliyoyafanya jaji yule ni fadheha kwa mahakama.

      Kati ya mambo yaliyo shangaza sana kabla hata ya hukumu ni kuona viongozi mbali mbali wa CCM tayari wanaijua hukumu hiyo hata kabla haijasomwa. Mmoja wapo ni Mwigulu ambaye alimwambia Lema "Tayari umetiwa dole" Vile vile iliongelewa uhusiano kati ya msemaji wa Ikulu Bwana Salvatory Rweyememu na Judge Rwakibarila(ukizingatia ni kabila moja) na hata kuna thread moja iliyopostiwa hapa jamvini na mtu aliyenasa maongezi ya simu kati yao(Rweyemamu na Rwakibarila wakiongelea kesi hiyo), wengine walisikika wakisema "Jimbo la Arumeru tunawaachia lakini la Arusha mmeliwa" na mengine mengi ikiwemo Jaji kuonekana kutii maelekezo ya mkuu wa mkoa, Jaji kukataa ushahidi wa upande wa CDM akidai kuwa mashahidi ni viongozi wa chama hivyo wana interest na kesi hiyo lakini kwa mshangao akakubali ushahidi wa upende wa CCM ambao mashahidi ni viongozi wa chama ambapo pia wana interest kwenye kesi hiyo..ajabu iliyoje!!!???

      Tatizo kubwa hapa ni mfumo mzima wa uteuzi wa hawa mabwana sababu teuzi nyingi zimezingatia ushikaji na kulipana fadhila. Haya yangefanywa kwa vyeo vingine lakini siyo kwa nafasi muhimu kama za viongozi wa mahakama. Bora rushwa ipite sehemu zote lakini mahakama jamani iwe huru. Chombo hiki ndicho umma mzima unakitegemea kupata haki. Kama majaji wangekuwa wanafukuzwa kama ilivyo ajira nyingine basi Jaji Rwakibarila hapaswi kuendelea na nafasi hiyo. Huwezi kukata hukumu ambayo jamii nzima inaguna hata ambao hawakusoma sheria..laana iliyoje..

      Kwa muktadha huu nawasihi majaji wanao lalamiliwa na Tundu Lissu ambapo hakuna aliyeweza kuleta ushahidi kukanusha hoja ya bwana Lissu zaidi ya kutuletea majibu mepesi naomba waone aibu na kujiuzuru kabla katiba mpya haijaweka vifungu ambavyo vitawa disqualify, au kuingia utawala mpya 2015 utakao angalia vigezo vya teuzi na mkajikuta mko nje. Msidhani CDM wakishika dola 2015 au chama kingine makini mtaendelea kuwa kwenye nyazifa hizo. Kuweni waungwana kama yule Jaji wa Kenya aliye jiuzulu baada ya kukutwa na kosa la kumtishia mlinzi. Jamani kazi za kufanya ni nyingi siyo lazima ujaji tu, mbona nchi hii watu kujiuzuru ina kuwa issue hata ukikutwa na makosa!
      Last edited by Kimbweta; 23rd December 2012 at 05:24.
      Malunde-Malundi likes this.

    22. #59
      Malunde-Malundi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2008
      Posts : 1,254
      Rep Power : 831
      Likes Received
      111
      Likes Given
      40

      Default Re: Tumuunge mkono Tundu Lissu..mmejionea wenyewe mfano wa Majaji wa kuteuliwa kwa fadhila!!

      Agree with you

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...