Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Report Post
    Page 6 of 7 FirstFirst ... 4567 LastLast
    Results 101 to 120 of 135
    1. #1
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA

      Madhumuni yetu ni:

      1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
      2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote.
      3. Kujenga Uchumi Imara na kulinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
      4. Kupinga kwa nguvu zote aina zote za ubaguzi na ukandamizaji.
      5. Kuheshimu mikataba ya kimataifa inayohusu haki halisi za binadamu.

      ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    2. Study Abroad

    3. #101
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default

      Quote By Lawrence Luanda
      Tutakaribia msijali..............
      Tuko pamoja, karibu sana ADC - DIRA ya Mabadiliko.

    4. #102
      lawyer christina's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 348
      Likes Received
      1
      Likes Given
      10

      Default

      Quote By hasan124
      ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA

      Madhumuni yetu ni:

      1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
      2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote.
      3. Kujenga Uchumi Imara na kulinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
      4. Kupinga kwa nguvu zote aina zote za ubaguzi na ukandamizaji.
      5. Kuheshimu mikataba ya kimataifa inayohusu haki halisi za binadamu.

      ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.
      Tunahitaji kujua Katiba yenu inasemaje! Ili tujue Kama kweli ninyi ndio wakombozi.

    5. #103
      kimboka one's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd January 2010
      Posts : 620
      Rep Power : 598
      Likes Received
      61
      Likes Given
      2

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      wekeni katiba yenu tuisome hapa isije ikawa ni taasisi ya watu kama vilivyo vyama vingine vya siasa

    6. #104
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By kimboka one
      wekeni katiba yenu tuisome hapa isije ikawa ni taasisi ya watu kama vilivyo vyama vingine vya siasa
      TULIWASILISHA KATIBA YETU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA pamoja na maombi ya usajili WA muda Kama taratibu za ofisi yake zinavyoamuru.
      Msajili aliipitia na kutupatia MAAGIZO Kama si USHAURI WA kuifanyia marekebisho aliyoyaona Kabla ya kutoa rasmi kwa ajili ya wanachama wetu na wananchi WA Tanzania kwa ujumla.
      Soon baada ya kukamilisha zoezi la Uhakiki WA kudumu linaloendelea hivi sasa katika mikoa ya Dodoma, Tabora, Lindi, Mtwara na Dar ES Salaam mnamo tar. 17-08-2012, Katiba yetu itakua Tayari kwenye website ya Chama ambayo ni adctz.
      Kwa matakwa AMA mahitaji niliyoyaona kwa baadhi/wengi WA wanaJamii walioonyesha kuvutiwa na Chama chetu sio vibaya nikawapatia mambo MUHIMU YALIYOMO KWENYE KATIBA YETU:
      1. Ukomo WA Uongozi: Vipindi viwili vya miaka mi5 mi5 kwa uongozi WA Kitaifa.
      2. Kiongozi kutangaza Mali zake ndani ya KIPINDI cha MIEZI MITATU mara baada ya kuchaguliwa.
      3. Kufukuzana: Kutakua na CHOMBO cha Kutatua migogoro ya chama nje ya chama kitakachokuwa CHINI ya Uongozi WA Mwanasheria AMA jopo la wanasheria ili kukwepa personal interest ie: makundi hivyo suala la kutimuana kiholela halitokuwepo katika chama Chetu.
      4. KATIBA pia itatambua Uwepo WA MwenyeziMungu, Itasaidia kupata viongozi waadilifu, wachamungu hivyo kupunguza matendo yote maovu ie: Ufisadi, Wizi WA Mali za Umma, Udikteka etc.
      5. Walemavu wasipungue asilimia TANO (5%) katika ngazi zote za Uongozi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kuna zaidi ya walemavu millioni NNE (4mil.) NCHINI Tanzania.
      6. Asilimia hamsini ya wanawake katika ngazi zote za Uongozi.
      Hayo ni baadhi tu ya maeneo muhimu yaliyopo kwenye KATIBA yetu.
      KARIBUNI ADC - DIRA ya mabadiliko.
      lawyer christina likes this.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    7. #105
      lawyer christina's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 348
      Likes Received
      1
      Likes Given
      10

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By hasan124
      .... Katiba yetu itakua Tayari kwenye website ya Chama ambayo ni www.adctz.com
      Kwa .....
      5. Walemavu wasipungue asilimia TANO (5%) katika ngazi zote za Uongozi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kuna zaidi ya walemavu millioni NNE (4mil.) NCHINI Tanzania.
      6. Asilimia hamsini ya wanawake katika ngazi zote za Uongozi.
      Hayo ni ...
      Huu Ni mwanzo MZURI (kwenye blue), nafasi za upendeleo kwa KINA mama na walemavu, japo walemavu mmeweka asilimia Ndogo lakini sio ishu, Sasa Je inakuwaje Kama hawatojitokeza kugombea nafasi husika? Ie: wanawake na walemavu, nafasi zao zinajazwaje?
      Shibuda OYEEEEE!!

    8. Miaka 50

    9. #106
      lawyer christina's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 348
      Likes Received
      1
      Likes Given
      10

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By hasan124
      TULIWASILISHA KATIBA YETU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA pamoja na maombi ya usajili WA muda Kama taratibu za ofisi yake zinavyoamuru.
      Msajili aliipitia na kutupatia MAAGIZO Kama si USHAURI WA kuifanyia marekebisho aliyoyaona Kabla ya kutoa rasmi kwa ajili ya wanachama wetu na wananchi WA Tanzania kwa ujumla.
      Soon baada ya kukamilisha zoezi la Uhakiki WA kudumu linaloendelea hivi sasa katika mikoa ya Dodoma, Tabora, Lindi, Mtwara na Dar ES Salaam mnamo tar. 17-08-2012, Katiba yetu itakua Tayari kwenye website ya Chama ambayo ni adctz.
      Kwa matakwa AMA mahitaji niliyoyaona kwa baadhi/wengi WA wanaJamii walioonyesha kuvutiwa na Chama chetu sio vibaya nikawapatia mambo MUHIMU YALIYOMO KWENYE KATIBA YETU:
      1. Ukomo WA Uongozi: Vipindi viwili vya miaka mi5 mi5 kwa uongozi WA Kitaifa.
      2. Kiongozi kutangaza Mali zake ndani ya KIPINDI cha MIEZI MITATU mara baada ya kuchaguliwa.
      3. Kufukuzana: Kutakua na CHOMBO cha Kutatua migogoro ya chama nje ya chama kitakachokuwa CHINI ya Uongozi WA Mwanasheria AMA jopo la wanasheria ili kukwepa personal interest ie: makundi hivyo suala la kutimuana kiholela halitokuwepo katika chama Chetu.
      4. KATIBA pia itatambua Uwepo WA MwenyeziMungu, Itasaidia kupata viongozi waadilifu, wachamungu hivyo kupunguza matendo yote maovu ie: Ufisadi, Wizi WA Mali za Umma, Udikteka etc.
      5. Walemavu wasipungue asilimia TANO (5%) katika ngazi zote za Uongozi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kuna zaidi ya walemavu millioni NNE (4mil.) NCHINI Tanzania.
      6. Asilimia hamsini ya wanawake katika ngazi zote za Uongozi.
      Hayo ni baadhi tu ya maeneo muhimu yaliyopo kwenye KATIBA yetu.
      KARIBUNI ADC - DIRA ya mabadiliko.
      Mtamudu VIPi kumgundua kiongozi Kama ametangaza Mali zake zote kihalali/kweli? (kwenye blue)?
      Namba moja (kwenye red) nimeipenda hii au ndio Yale ya Maalim Seif na CUF yake? (usultani) Je?ni kweli wengi mlioanzisha ADC ni wale mliofukuzwa CUF hivyo mnachuki iliyopelekea mfanyie kazi mapungufu mliyoyaona CUF zaidi?
      Shibuda OYEEEEE!!

    10. #107
      OLE LEKULE's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st March 2010
      Posts : 15
      Rep Power : 471
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Hoja kuhusu Upandikizi na kwamba Uzuri wa Chadema sio kila mtu anaukubali na ndio maana hasa ya demokrasia. Lakini pia huko kuungana nadhani chadema ndio wa mwanzo kupinga muunganiko huo. Tumeona baada ya kuukwaa Ukuu wa Upinzani Bungeni hawajataka kushirikiana na chama chochote cha Upinzani.

      Vyama pandikizi usijaribu kuviita vyama vya upinzani mkuu, Na kama huamini hilo, mjaribu ninyi kuungana nao hafu nchi hii iwe na vyama 3 tu. ccm, MAKAMANDA hafu na ninyi (collition ). Hafu tuone sokomoko lake, wengine mkiona tu mambo magumu mtaanza kumlamba mkulu miguu awateue mjengoni.

    11. #108

    12. #109
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By OLE LEKULE

      Vyama pandikizi usijaribu kuviita vyama vya upinzani
      mkuu, Na kama huamini hilo, mjaribu ninyi kuungana nao hafu nchi hii iwe na vyama 3 tu. ccm, MAKAMANDA hafu na ninyi (collition ). Hafu tuone sokomoko lake, wengine mkiona tu mambo magumu mtaanza kumlamba mkulu miguu awateue mjengoni.
      Kwanza elewa katika details alizonazo msajili WA vyama vya Siasa hakuna kitu kinachoitwa vyama pandikizi. Vyote ni vyama vya Siasa na vimepitia taratibu zote zilizowekwa kisheria (kiwe chama tawala AMA hivi vya upinzani ie: including hao makamanda wako) hadi msajili kujiridhisha ndio akavipatia usajili WA kudumu.
      Tuliona bunge lililopita CUF CHINI ya uongozi WA MHE. HAMAD Rashid Mohamed Kama kiongozi wa Upinzani Bungeni, walishirikisha vyama vyote bila kujali ukubwa na udogo wao na ndipo mahala ambapo hao unaowaita makamanda walipoibukia.....vp AMA mnahofu ya kufunikwa mkitoa nafasi kwa vyama vingine?
      Siasa haiendi hivyo Kama ni kujipanga chama Kama chama ndio kinachoweza kujipanga kupangilia mikakati yake na kuifanyia kazi na ndipo Magamba yatang'oka na sio kwa kuhofia vyama vingine vya upinzani kwa kuvipachika jina la Pandikizi.
      Karibu ADC.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    13. #110
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,976
      Rep Power : 0
      Likes Received
      224
      Likes Given
      1

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      nawatakia kazi njema

    14. #111
      chinekee's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th December 2011
      Posts : 126
      Rep Power : 399
      Likes Received
      12
      Likes Given
      2

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Zitto kabwe utahangaika sana yaani wewe ni tatizo kubwa katika hii nchi na nia afadhali ukimbilie huko mapema maana umekua SUMU ya kifutu na kutuulia chama chetu chadema

    15. #112
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By tamuchungu
      nawatakia kazi njema
      Inshaallah!
      Karibu ADC.

      ADC - DIRA ya Mabadiliko.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    16. #113
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 448
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Mna kaudhaifu cha ubunifu mtaweza hayo uloandika maana hata rangi ya bendera mmeiba

    17. #114
      alpha5's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2011
      Posts : 127
      Rep Power : 429
      Likes Received
      20
      Likes Given
      215

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      go to hell ADC hatukutaki

    18. #115
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 448
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Mngeweza kuwa na bendera yenu ningeamini hayo uloandika yanawezekana lakini kwakuiba bendera hata sera mtaiba.Mpunzike kwa amani

    19. #116
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By alpha5
      go to hell ADC hatukutaki
      Chama Chetu cha ADC ni mfuasi mzuri wa demokrasia na kikatiba ni hiyari yako kutukataa, Lakini huko "Hell" hatuendi hata kama UKISALI UCHI......Tunakuja kuwashika, Tunakuja kuwakomboa WaTanzania, Tunakuja kuchukua Nchi. 2015 ADC Ndio mkombozi wako.
      Karibu ADC.
      ADC - DIRA ya Mabadiliko.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    20. #117
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By Kipimbwe
      Mngeweza kuwa na bendera yenu ningeamini hayo uloandika yanawezekana lakini kwakuiba bendera hata sera mtaiba.Mpunzike kwa amani
      Maumivu yakizidi muone daktari.......Ninge shauri mods mngeweka kipengele cha kupima watu akili Kabla hawa jawa registered.
      Sasa Bendera ipi mnayotaka?!!.......eti Bendera yenu! Kwani Nyie ndio mlioumba rangi duniani?
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    21. #118
      lawyer christina's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 348
      Likes Received
      1
      Likes Given
      10

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By Kipimbwe
      Mngeweza kuwa na bendera yenu ningeamini hayo uloandika yanawezekana lakini kwakuiba bendera hata sera mtaiba.Mpunzike kwa amani
      Hili suala la Bendera Mbona Chadema mmelikomalia hivyo? Kwani kufanana rangi inawapunguzia nini au mnawaogopa hawa ADC? La Msingi hapa ni Kama wamejipanga kweli kwa ajili ya mageuzi NCHINI na sio vibaraka.
      hongera zenu ADC kwa hatua mliyofikia.
      Shibuda OYEEEEE!!

    22. #119
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 503
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Quote By lawyer christina
      Hili suala la Bendera Mbona Chadema mmelikomalia hivyo? Kwani kufanana rangi inawapunguzia nini au mnawaogopa hawa ADC? La Msingi hapa ni Kama wamejipanga kweli kwa ajili ya mageuzi NCHINI na sio vibaraka.
      hongera zenu ADC kwa hatua mliyofikia.
      Bora dada yangu lawyer christina nisadie katika jambo hili. Kila MTU ana uhuru WA kufanya jambo lolote analotaka MRADI tu havunji sheria za Nchi, Suala la Rangi za Bendera kufanana na za CDM sio la kulipa uzito KIASI hicho, Basi na wao tuwaambie wameiba rangi za CUF Maana ndio chama cha kwanza kutumia rangi hizo.
      Kikubwa hapa ni sera zetu, Je tumejipanga ipasavyo? Ni kweli tuko tayari kwa upinzani AMA washindikizaji tu! Haya ndio maeneo muhimu ya kuyatazama. Hao CCM na kijani Yao Mbona ndio WA kwanza kutupiga mabomu ya machozi naikibidi risasi za moto pindi tuandamanapo?

      Karibun ADC.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    23. #120
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 448
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

      Tatizo sio rangi Christina na mwenzio tatizo ni ubunifu hakuna mmecopy kila kitu bado sera tu

    24. FemaTV & Radio
    Page 6 of 7 FirstFirst ... 4567 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...