Nini tataizo kama kaamua kuwaonyesha his true colors! He is another upcoming nonesense in the Tanzanian politics
- SAHIHISHO: NYUMBA AMEJENGA KINYEREZI, ALIIANZA KABLA HAJAMUOA MKE WAKE, AMBAYE ALIMUOA MWAKA 1995, NA MKE WAKE HAKUWA NA KAZI MPAKA MWAKA 2000, BY THEN NYUMBA ILIKUWA TAYARI NA INAKARIBIA KUISHA, NAJUA NI MYAKYUSA MWENZAKO NA HII NI AINA FLANI UA PR MMEAMUA RECENTLY KUIANZISHA KUMCHAFUA JAMAA; UKWELI NI KWAMBA NYUMBA NA SHAMBA NI MALI YAKE NA NDIVYO HATA HATI INAVYOSEMA.
- JAMAA AMEANZA UBAHARIA HATA MKE HAJAFIKA ULAYA, NA NDIYE ALIYEMLETA MKE US, BY THEN JAMAA ALIKUA US FOR 10 YEARS TAYARI, INFACT ANAYEISHI KWA KUDANDIA MKE NI WEWE KAMA UONGO SEMA UNAFANYA KAZI WAPI BRO? AU UNAFANYA KAZI FBI KAMA UNAVYOWADANGANYA WATU?
- HALAFU KUMBUKA HII NI NYUMBA YA PILI JAMAA KUJENGA SIO YA KWANZA, NA ILE YA KWANZA ULIIJENGA WEWE UKIWE MKE WAKE AU WHAT? UNAJUA HUKU MJINI WANAUME WA AINA YAKO HUWA WANAVALISHWA HELENI PUANI, KANGA NA USHANGA KIUNONI!!
eS!
- kwa hiyo hizi picha ndio zinaamua kama anaweza kuwa kiongozi au asiwe? Au atakuwa kiognozi mzuri au hawezi? No wndoer hili taifa tumekwama, kwani viongozi wasio na picha kama hizi wamekusaidia nini kwenye hili taifa wewe masikini wa akili?
- picha za maisha ya mtu ambazo hazikuwa siri, ingekwua hapo juu kwenye hizo picha kuna mke wa mtu, kuna kuvuta unga, kuna kulala nao, sawa mimi ningekwua ni jamaa ningefurahi sana kuona mshindani wangu kisiasa akizitumia maana ninjia rahisi sana kuzitumia for one's own advantage tena the society tuliyonayo sasa, poleni sana mlioko nje ya nchi kwani naona wengi mnadhani badi ni ile ile society ya stone age huku bongo!!
- kama kuna a politician anayeweza kumalizwa na picha hizi, wakati tuna wanasiasa walioiba na usahhidi upo then huyo sio a politician wa kweli, politician wa kweli anatakwua kzuitumia hizi picha kwa faida yake kwa sababu hapo zilipochukuliwa zipo na za wanaume, so anachohitaji ni kuonyesha zilipochukuliwa na kuonyesha kwamba ni mbinu chafu tu, wapiga kura wengi ni wanawake, ukienda mitandao mingi toka jana utakuta wanamtetea sana jamaa kuhusu hizi picha so aliyedhani zitamsaidia kumuua jamaa anahitaji kufikiria sana maana kuiba hela za wananchi sio sawa na hizi picha!!
Es!!
mwacheni le mutuz apumue jamani. Maisha yake binafsi hayatuhusu sisi. Hata uongozi wake ndani ya chama hautuhusu
William J Malecela, Le Baharia, Le Mutus, Le Big Show dodoma City!????????
Jamaa yupo busy siyo siri
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
Toba!!!! Mtandao unakuwa na kukua. Well let's hope kuwa jamaa anatumia condom correctly and consistently, otherwise iko shughuli! Wote tunahitaji kuwa waangalifu na mitandao.
Be faithful to your wife or stick to one steady partner.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Muda huu angetakiwa yupo maeneo ya ajali amezama kwenye uokoaji lakini ndio kwanza anapiga miayo pale joly club
Huyu si ndio alishindwa kujieleza siku ya kuhojiwa waliokuwa wanagombea uwakilishi wa EALA?
Nadhani ile siku alikuwa anawawaza hawa wasichana wake badala ya maswali ya audience.
Nadhani hafai kupewa hata ukilanja wa darasa la kwanza.
kweli man wakati ule naona anaandka @NYC nilidhani niwa age ndogo ila alipofika bongo kuna siku nilimuona live sikuamini kumbe ni mtu aged kwangu tena mbali sana ila matendo na umri wake ni - ,+.wazungu wanatoka ulaya na america wanakuja na misahada kwa watoto wasiojiweza na famil duni ,yeye kaish uko robo karine anakuja hapa bongo ndo anaitsha harambee ya kusaidia watoto walio ktk mazngra magumu ainiingii akili,badala angepga mzigo arudi na makontena ya nguo aje kuwapa watoto anakuja na mawazo ya kukamua watu ndo apele msahada. Anadharaulisha watu wote walio ughaibuni they are there for nythng na wakirudi bongo wanakuwa awana malengo.
I told u sio kila kichwa kina akili, vingine kama cha huyu jamaa ni MATOPEEEEEEEEEEEEEEEEEE....... ...........
"Happiness is what you think, what you say, and what you do are in harmony"
Huyu sio le mutuz tena naona ni le totoz... Yani hizo picha ka 50cent hongera man...kula bata lifes 2short
Follow Us Here