Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Invitation to all JF members: Debate!

    Report Post
    Page 8 of 15 FirstFirst ... 678910 ... LastLast
    Results 141 to 160 of 289
    1. #1
      Roulette's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 5,473
      Rep Power : 35629
      Likes Received
      5027
      Likes Given
      5752

      Exclamation Invitation to all JF members: Debate!

      This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:

      1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba East African Time kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT);

      2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;

      3. Debate itaongozwa na Mwali katika lugha mbili: Kiswahili na Kiingereza;

      4. Mwali ataanda na kupost masuali kumi (10) yatakao jadiliwa na waalikwa kwenye thread hiyo, suali la kumi na moja na la kumi na mbili (11 na 12) zikiwa masuali toka kwa waalikwa wenyewe, la kumi na tatu, kumi na nne na kumi na tano (13, 14 na 15) ni suali toka kwa members;

      5. Siku ya debate Mwali atauliza suali moja mmoja na kuwapa waalika, each at his own time , nafasi ya kujibu suali hilo. Waalikwa watapewa not more than 20 min kujibu masuali;

      6. Baada ya waalikwa kujibu suali toka kwa Mwali (au baada ya muda wa dakika 20 kupita), waalikwa wataruhusiwa kuulizana suali la ufafanuzi wa majibu (suali moja kila upande);

      7. Baada ya jibu la ufafanuzi Mwali ataleta suali lenye kufata, na kuendelea na debate. waalikwa pekee ndio watakao jibu masuali, majibu mengine yote yatafutwa;

      8. Masuali yote 15 yakisha jibiwa, debate itafungwa ila members wengine wataalikwa kuchambua na kuwahoji waalikwa ambao watakua huru kujibu au kutojibu masuali;

      9. thread itakua stuck kwa muda wa mwezi mmoja ili members mbali mbali watoe majibu yako kwa masuali ya debate;

      10. Masharti ya JF kuzingatiwa kila wakati.

      Kama kuna maoni yoyote naomba myafikishe kwa kupitia thread hii, kabla ya saa sita mchana tarehe 23 July 2012.

      Asanteni wote na karibuni.

      Update:
      Quote By zomba
      Swaafi sana, nigeomba saa saba isogezwe kidogo iwe saa 8, kwani kama InshaAllah hiyo itakuwa ni wakati wa swalaat dhuhr na sisi Waislaam tutakuwa katika mwezi wa kufunga na kuomba maghfira.

      Unaweza anzisha mjadala wakati huo lakini tukiwa hai na majaaliwa sitoweza kuwepo on line kabla ya saa saba na nusu, nna uhakika saa 8 kamili itakuwa muafaka kwa wote.
      Debate itaanza saa nane kamili (14:00, EAT) as per Zomba's request (post #5)

      Quote By Matola
      Roulette this is acknowledgement receipt of conformation that i will participate the debate.
      Link ya mjadala:http://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297111-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012

      Link ya members wengine kuchangia: http://www.jamiiforums.com/great-thi...ml#post4302632

      Information is not knowledge

      Albert Einstein

    2. Miaka 50

    3. #141
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1846
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Waalikwa wanaalikwa na nani? Mimi naomba mwaliko mapema.
      zomba and Roulette like this.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    4. #142
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,514
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5443
      Likes Given
      3640

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By only83
      Waalikwa wanaalikwa na nani? Mimi naomba mwaliko mapema.
      You must be joking, na kama uko serious basi utakuwa na zaidi ya tatizo.
      Mambo yote ni hapa hapa JF, na hapa kwenye thread hii ndo umeshaalikwa na thread itakuwa Sticky.
      zomba and Roulette like this.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    5. #143
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By Kimbunga
      Huyu hana ban kweli manake siku nyingi sijamuona hapa. Mkuu Ritz nadhani atakuwa meza kuu na wenzake akina Rejao Mchuzi wa bata nk
      Quote By TUMBIRI
      Huyo @Ribosome ni mtu wa ajabu sana. Kwenye thread za kawaida huwezi muona ila subiri uone TUNTEMEKE alete thread! Yeye ndiye anadominate thread nzima. Kwa kifupi siku hizi ni Pro-CCM / Ant-CDM!
      Nimeligundua Ribosome = Zomba

      Nimeona kabadilisha Nick Kimya Kimya Siku ya Debate Atajitambilisha vizuri
      Last edited by Duduwasha; 20th July 2012 at 07:15.
      zomba likes this.

    6. #144
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,264
      Rep Power : 12577
      Likes Received
      5808
      Likes Given
      768

      Default

      Quote By TUMBIRI
      Kamanda Matola nakuona upo online! Tunaomba neno moja tu kutoka kwako kuhusu huu mdahalo! Tunaamini kambi ya Pro-Matola itaangusha kambi ya Pro-Zomba
      Najua siku hiyo itakuwa kama ule mpambano wa Mike Tyson na Evander Holyfield watu wote walikuwa upande wa Tyson lakini alipaanza kuchezea makonde akakimbilia kutafuna siko....Mkuu Kimbunga kama unavyojua zomba akianza kutiririka na data za JK...
      zomba likes this.

    7. #145
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,266
      Rep Power : 891
      Likes Received
      775
      Likes Given
      1464

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Tatizo ni pale mtu atapokuja na issue zinazohusu barabara hapo zomba mtamkoma, good idea Roulette tutajitahidi mida hiyo tuwepo
      zomba and Roulette like this.

    8. FemaTV & Radio

    9. #146
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,856
      Rep Power : 3633
      Likes Received
      1114
      Likes Given
      283

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By Ritz
      Najua siku hiyo itakuwa kama ule mpambano wa Mike Tyson na Evander Holyfield watu wote walikuwa upande wa Tyson lakini alipaanza kuchezea makonde akakimbilia kutafuna siko. Mkuu Kimbunga kama unavyojua zomba akianza kutiririka na data za JK...
      Kumbuka hapa hakuna Usalama wa Taifa wala yule Jaji aliyehukumu kesi ya Lema kwamba watakuja kuwasaidia. Tutawashindilia hoja hadi mkimbie JF kama ndugu yenu Rejao na Mwita25! Zomba kwa Matola ni sawa na empty heard! Subiri uone!

      TUMBIRI (PhD, University of Hull, UK),

      [email protected]
      zomba likes this.
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    10. #147
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Bado nakumbuka ahadi 69 za Kikwete...sijui katekeleza ngapi mpaka sasa?
      zomba and Roulette like this.

    11. #148
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,718
      Rep Power : 720
      Likes Received
      289
      Likes Given
      260

      Default

      Quote By The Boss
      nimeona kuna mtu katoa maana ya debate kwa kiswahili
      mimi najua ilikuwa ni MDAHALO
      sasa hili jina la MNAKASHA ndo nasiika leo
      so ningependa pia walimu wa kiswahili watusaidie pia.
      Ha haaa, Lugha itakayotumika iwe fasaha, na si ya kutohoa na kukosea! sahihisho, mleta thread, Si Suali ni swali!
      The Boss and Roulette like this.

    12. #149
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4301
      Likes Given
      5491

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By The Boss
      nimeona kuna mtu katoa maana ya debate kwa kiswahili
      mimi najua ilikuwa ni MDAHALO
      sasa hili jina la MNAKASHA ndo nasiika leo
      so ningependa pia walimu wa kiswahili watusaidie pia.
      Hili neno kwa mara ya kwanza kama sijakosea,alilitaja Mohammed Said,kwenye ile thread yake inayohusu "wazee wa gerezani ni mashujaa wa uhuru",nakumbuka alisema "hatojiingiza kwenye mnakasha" usiokuwa wa kistaarabu,yani usiokuwa na matusi.I stand to be corrected kama kuna mwenye different memories.
      Last edited by jmushi1; 20th July 2012 at 01:07.
      The Boss likes this.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    13. #150
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By Roulette
      This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:

      1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba EAT kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT);

      2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;

      3. Debate itaongozwa na Mwali katika lugha mbili: Kiswahili na Kiingereza;

      4. Mwali ataanda na kupost masuali kumi (10) yatakao jadiliwa na waalikwa kwenye thread hiyo, suali la kumi na moja na la kumi na mbili (11 na 12) zikiwa masuali toka kwa waalikwa wenyewe, la kumi na tatu, kumi na nne na kumi na tano (13, 14 na 15) ni suali toka kwa members;

      5. Siku ya debate Mwali atauliza suali moja mmoja na kuwapa waalika, each at his own time , nafasi ya kujibu suali hilo. Waalikwa watapewa not more than 20 min kujibu masuali;

      6. Baada ya waalikwa kujibu suali toka kwa Mwali (au baada ya muda wa dakika 20 kupita), waalikwa wataruhusiwa kuulizana suali la ufafanuzi wa majibu (suali moja kila upande);

      7. Baada ya jibu la ufafanuzi Mwali ataleta suali lenye kufata, na kuendelea na debate. waalikwa pekee ndio watakao jibu masuali, majibu mengine yote yatafutwa;

      8. Masuali yote 15 yakisha jibiwa, debate itafungwa ila members wengine wataalikwa kuchambua na kuwahoji waalikwa ambao watakua huru kujibu au kutojibu masuali;

      9. thread itakua stuck kwa muda wa mwezi mmoja ili members mbali mbali watoe majibu yako kwa masuali ya debate;

      10. Masharti ya JF kuzingatiwa kila wakati.

      Kama kuna maoni yoyote naomba myafikishe kwa kupitia thread hii, kabla ya saa sita mchana tarehe 23 July 2012.

      Asanteni wote na karibuni.

      Update:

      Debate itaanza saa nane kamili (14:00, EAT) as per Zomba's request (post #5)

      Ahsanteni kwa hilo. InshaAllah tutakuwa wote siku na saa hiyo.

      Nawatakia wana JF wote Ramadhan Njema, yenye salama, amani na utulivu. Nawapa pole sana walioondokewa na ndugu, jamaa na marafiki zao kwenye ajali ya meli. Nawapa pole na Watanzania wote kwa msiba huu. Tuko pamoja.

      Nachukuwa fursa hii pia kuwaomba msamaha wote tunaokoseana humu jamvini, amma kwa kujibizana kihasira na kejeli na istihizai za hapa na pale. Yote hii ni katika kufunguwana na kupanuana mawazo.

      Nachukuwa fursa hii pia kuwaomba wanajamii wote, JF isiwe ndio chachu ya kuleteana chuki za kudumu iwe za kidini, kisiasa, kijamii, kimtazamo, tukumbuke kuwa sisi sote ni binaadam na kwa dini zote chanzo chetu ni kimoja Adam na Hawa (Eve) na kwa wale wenzetu wasioamini katika vitabu vya dini basi hata "scientifically" kuna genes ambazo zinatufanya tuwe watu na si viatu na sina shaka kuwa hizo genes tunazo sote haijalishi ni wa kabila, taifa, au dini ipi. Kwa hilo, tudumishe amani na tudumishe kuelimishana zaidi ya kulumbana bila ya kuwa na faida japo kidogo katika mabishani yetu. Tukhitilafiane lakini katika kujiendeleza na si kujirudisha nyuma. JF iwe ni chachu na kitovu cha kuelimishana na kuelewana na kufahamiana na iwe ni chachu ya kila mmoja kuheshimu muono wa mwenzake ulio tofauti na wake.

      Tupendane kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi.
      Last edited by zomba; 20th July 2012 at 00:45.
      Richard, Matola, Roulette and 2 others like this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    14. #151
      mndwadage's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 414
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By zomba
      Ahsanteni kwa hilo. InshaAllah tutakuwa wote siku na saa hiyo.

      Nawatakia wana JF wote Ramadhan Njema, yenye salama, amani na utulivu. Nawapa pole sana walioondokewa na ndugu, jamaa na marafiki zao kwenye ajali ya meli. Nawapa pole na Watanzania wote kwa msiba huu. Tuko pamoja.

      Nachukuwa fursa hii pia kuwaomba msamaha wote tunaokoseana humu jamvini, amma kwa kujibizana kihasira na kejeli na istihizai za hapa na pale. Yote hii ni katika kufunguwana na kupanuana mawazo....
      Mkuu zomba kama sio udini na siasa za kumtetea JK hata kwa mapungufu ya wazi, wewe ni kichwa.!
      zomba, Roulette, Sangarara and 1 others like this.

    15. #152
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 669
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By Ritz
      Hujambo mtoto mzuri?
      Hiyo sura yako? Umezaliwa hivyo? Hivi kweli utamuoa dada wa nani na sura hiyo.?????
      jmushi1 and zomba like this.

    16. #153
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4301
      Likes Given
      5491

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By mzee wa njaa
      Hiyo sura yako? Umezaliwa hivyo? Hivi kweli utamuoa dada wa nani na sura hiyo.?????
      Mkuu kwanza si unaona ni "golden member",nenda katizame hiyo status huwa inakuwa achieved kivipi,behind huo msura wa avatar there's something "dada" anaweza ingia mkenge lol!Kuna moja aliingia nayo mwanzo ya uchi lol!JF raha tupu sometimes...As unakutana na watu wa tofauati ambao katika maisha ya bila mtandao tusingekaa tuweze kukutana na kuwasikia,pia kuwasoma...
      Mwali likes this.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    17. #154
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,514
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5443
      Likes Given
      3640

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By jmushi1

      Mkuu umenikumbusha unajuwa nimesahau sijatuma mzigo bado, nakukumbusha na wewe tutume mzigo JF.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    18. #155
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4301
      Likes Given
      5491

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By Matola
      Mkuu umenikumbusha unajuwa nimesahau sijatuma mzigo bado, nakukumbusha na wewe tutume mzigo JF.
      Tru mkuu,ndo nimemaliza shule,so niko kwenye process ya kupata shughuli niliyoisomea mkuu wangu,so hopefully very soon.Uwezo wa kifedha si uwezo wa kihoja and vice versa,however JF is in my heart and it always be...I promise I will do the same bruh.Pia inabidi uwe role model wetu kwa kuanza kama hauko kwenye situation kama yangu,nadhani hata kama sitakuwa na uwezo wa diamond,gold or platinum,nitajitahidi kuchangia chochote na nitaprefer kubakia na status yangu ya Senior expert member.
      Matola and Mwali like this.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    19. #156
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By Mag3
      Did you mean Hypocrites Hypothesis? ha ha haaa!...ever heard of one who approaches greatness on his belly?...it is so that he doent have to be commanded to turn to be kicked!
      Nope. I didn't mean "Hypothesis", I meant "hyperthesis" to the dot. I knew, you are of a different caliber and you'd swallow bait, hook, sinker and line. "Hyperthesis" is a bit too high a target for you.

      I urge you to go read the "hyperthesis philosophy" you might have a hint of what I meant, please do not confuse hyperthesis philosophy with hyperthetic philosophy let alone hypothesis science. If you only know what I mean.
      Mag3, Roulette and Sangarara like this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    20. #157
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4301
      Likes Given
      5491

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By zomba
      Nope. I didn't mean "Hypothesis", I meant "hyperthesis" to the dot. I knew, you are of a different caliber and you'd swallow bait, hook, sinker and line. "Hyperthesis" is a bit too high a target for you.

      I urge you to go read the "hyperthesis philosophy" you might have a hint of what I meant, please do not confuse hyperthesis philosophy with hyperthetic philosophy let alone hypothesis science. If you only know what I mean.
      duh!mdahalo ushaanza?kaazi kweli kweli,Mag3 najuwa mtaenda pound for pound,jaribu kutumia fursa hii kujinoa mkuu.Jamaa naye yuko fit sana tu kwa mjadla,kuna watu ningependelea pia kama ungejaribu kujifua nao kwa mijadala ya constructive,watu kama Nguruvi3,FJM,na Unstoppable na wengine,mwenzio Ritz1 amefaidika sana na hilo.JF change people's lives in many ways...BTW hivi hii status ya taifa letu utaiteteaje mkuu?
      Mag3 and Roulette like this.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    21. #158
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 5,867
      Rep Power : 26882
      Likes Received
      4366
      Likes Given
      4647

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By zomba
      Nope. I didn't mean "Hypothesis", I meant "hyperthesis" to the dot. I knew, you are of a different caliber and you'd swallow bait, hook, sinker and line. "Hyperthesis" is a bit too high a target for you.

      I urge you to go read the "hyperthesis philosophy" you might have a hint of what I meant, please do not confuse hyperthesis philosophy with hyperthetic philosophy let alone hypothesis science. If you only know what I mean.
      Duh!
      jmushi1 likes this.
      Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
      Albert Einstein

    22. #159
      Richard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2006
      Location : LANGLEY
      Posts : 2,272
      Rep Power : 1098
      Likes Received
      490
      Likes Given
      1680

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Thanks Roulette for inviting every member to engage in to discuss politics especially as one member said, its about status quo against the mess we are in. Well, its all about finding answers on how to clean up the mess were in.

      With full anticipation I will be there to contribute. This is not about politicking whereby someone is trying to achieve one's goal.

      Its about enlignment or reasoning to scrutinize something which nas not been right.
      Mag3 and Mwali like this.
      When thinking about my risk assessment, I always remember:
      HAZARD and the RISK .

    23. #160
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,514
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5443
      Likes Given
      3640

      Default Re: Invitation to all JF members: Debate!

      Quote By jmushi1
      duh!mdahalo ushaanza?kaazi kweli kweli,Mag3 najuwa mtaenda pound for pound,jaribu kutumia fursa hii kujinoa mkuu.Jamaa naye yuko fit sana tu kwa mjadla,kuna watu ningependele pia kama ungejaribu kujifua nao kwa mijadala ya constructive,watu kama Nguruvi3,FJM,na Unstoppable.Hivi hii status ya taifa letu utaiteteaje mkuu?
      Wanambeep Kiranga hao.
      jmushi1 and Roulette like this.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    Page 8 of 15 FirstFirst ... 678910 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...