Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 54
    1. #1
      Joblube's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2011
      Posts : 270
      Rep Power : 474
      Likes Received
      98
      Likes Given
      0

      Default Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Kataa ukubali lakini ajali ya Meli Zanziba imesababishwa na CHADEMA.

      Kwa umahiri wao wa kupeleka hoja zenye maslahi kwa nchi kumekifanya chama hiki kipendwe sana na wananchi na kuifanya CCM kuwa na wakati mgumu kwa wananchi na sasa kazi ni moja tu kwa CCM kuingamiza CHADEMA badala ya kutatua kero za wananchi kwa kuwa hawako radhi kuachia nchi.

      Nahili ni tatizo la kudumu kwa kuwa sasa hivi akili ndogo inaongoza akili kubwa. Nani anabisha kuwa ajali ya Zanzibar haijasababishwa na CHADEMA?

      Ukitaka uhakika muulize Mhe Stella Manyanya.


    2. MTK is offline
      MTK
      #21
      MTK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 1,001
      Rep Power : 4513
      Likes Received
      317
      Likes Given
      365

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Quote By Joblube View Post
      Kataa ukubali lakini ajali ya Meli Zanziba imesababishwa na CHADEMA. Kwa umahiri wao wa kupeleka hoja zenye maslahi kwa nchi kumekifanya chama hiki kipendwe sana na wananchi na kuifanya CCM kuwa na wakati mgumu kwa wananchi na sasa kazi ni moja tu kwa CCM kuingamiza CHADEMA badala ya kutatua kero za wananchi kwa kuwa hawako radhi kuachia nchi. Nahili ni tatizo la kudumu kwa kuwa sasa hivi akili ndogo inaongoza akili kubwa. Nani anabisha kuwa ajali ya Zanzibar haijasababishwa na CHADEMA.


      Ukitaka uhakika muulize Mhe Stella Manyanya.
      Hilo nalo neno?! kumbe ndio maana hata Ana makinda alikuwa anasita kuahirisha kikao cha bunge akidhani CDM ndio imezamisha meli, duh they are running scared indeed!!!!

    3. #22
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 972
      Rep Power : 897
      Likes Received
      344
      Likes Given
      329

      Default

      [QUOTE=Biohazard;4270649]Kweli CHADEMA inahusika sababu hata Bahari jana ilikua imevaa Gwanda.[/QU hahahaiahaha tena na walio survive wote wamevaa magwanda!
      Biohazard likes this.

    4. #23
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,374
      Rep Power : 996
      Likes Received
      311
      Likes Given
      211

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      [QUOTE=princess enny;4272201]
      Quote By Biohazard View Post
      Kweli CHADEMA inahusika sababu hata Bahari jana ilikua imevaa Gwanda.[/QU hahahaiahaha tena na walio survive wote wamevaa magwanda!
      hahahaha .....Gwanda kwa kwenda mbele

    5. #24
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 972
      Rep Power : 897
      Likes Received
      344
      Likes Given
      329

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      bt kwenye ajali kama hizi tuwe 2namshrikisha mungu zaid na sio vyama! Kwani huko ni kulaumiana pasipo sababu!

    6. #25
      Alfred Daud Pigangoma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2009
      Location : TABORA, TANZANIA
      Posts : 688
      Rep Power : 658
      Likes Received
      288
      Likes Given
      215

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Nimechoka kuchangia kwenye mada za leo sasa nasoma tu!
      “The person who says it cannot be done should not interrupt the person doingit.” Chinese proverb


    7. #26
      MPIGA ZEZE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th May 2011
      Posts : 610
      Rep Power : 532
      Likes Received
      218
      Likes Given
      220

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Hili suala halipaswi kujadiliwa hapa kwa sababu kesi iko MAHAKAMANI! Alhaj Kovu amemsomea mashtaka kapteni wa meli (ambaye kwa bahati nzuri alipona) mahakamanii Kisutu leo asubuhi. Kwa mujibu wa Katiba yetu tukufu, ni marufuku kujadili suala ambalo liko mahakamani!!!!

    8. #27
      Ng`wanakidiku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2009
      Posts : 1,150
      Rep Power : 748
      Likes Received
      220
      Likes Given
      401

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Quote By Biohazard View Post
      Kweli CHADEMA inahusika sababu hata Bahari jana ilikua imevaa Gwanda.
      Halafu ilikuwa inaandamana bila kibali cha polisi na kibwagizo cha "peoplesss...............! " Sasa meli ikaingilia msafara polisi wakaifyatulia mabomu ya machozi abiria wakaparangana ikakosa balance
      Mimi siyo mwana siasa!

    9. #28
      Precise pangolin's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,761
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1609
      Likes Given
      684

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Quote By Ritz View Post
      Mods JF imevamiwa na utoto.
      Mkuu umesahau hizi ndio single za ccm kwenye majukwaa tukizisema sisi inakuwa ni utoto

    10. #29
      mwaxxxx's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 347
      Rep Power : 420
      Likes Received
      69
      Likes Given
      0

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      tunatoana sadaka

    11. #30
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 972
      Rep Power : 897
      Likes Received
      344
      Likes Given
      329

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      [QUOTE=Biohazard;4272229]
      Quote By princess enny View Post

      hahahaha .....Gwanda kwa kwenda mbele
      acha kunifurahsha mkuu

    12. #31
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,374
      Rep Power : 996
      Likes Received
      311
      Likes Given
      211

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Quote By Ng`wanakidiku View Post
      Halafu ilikuwa inaandamana bila kibali cha polisi na kibwagizo cha "peoplesss...............! " Sasa meli ikaingilia msafara polisi wakaifyatulia mabomu ya machozi abiria wakaparangana ikakosa balance
      Hahahahahahaha......... Nasikia walishauriwa kutumia maji ya pilipili ili abiria wajirushe kwenye maji wenyewe. Lakini polisi hawakufanya hivyo.... Toba....!!!!!

    13. #32
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,374
      Rep Power : 996
      Likes Received
      311
      Likes Given
      211

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      [QUOTE=princess enny;4273012]
      Quote By Biohazard View Post
      acha kunifurahsha mkuu
      Hivi hujawahi kujiuliza ni kwann lawama cku hizi zinaaangukia kwa CHADEMA mama yangu? Yani kila kitu CDM

    14. #33
      Isiri's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 19
      Rep Power : 367
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Quote By Ng`wanakidiku View Post
      Halafu ilikuwa inaandamana bila kibali cha polisi na kibwagizo cha "peoplesss...............! " Sasa meli ikaingilia msafara polisi wakaifyatulia mabomu ya machozi abiria wakaparangana ikakosa balance
      Hilo la CHADEMA kuhusika halipingiki kabisaa,

      Kwani meli ilipopata thoruba si ndio hao waliopanda juu ya meli na kuifanya ipinduke na mjue Kova anajiandaa kutuletea picha nyingine ya mwisilaam wa CHADEMA aliyekuwa mmoja waliopanda juu ya meli na kuifanya ipinduke akitubu msikitini.

      Huku Manyanya na Nchemba wakiifanyia documentary Bungeni baadaye.

      Poleni sana Watanzania wenzetu mliopoteza wapendwa wenu, Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu.

    15. #34
      Kakubilo Kasota's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th March 2012
      Posts : 166
      Rep Power : 400
      Likes Received
      53
      Likes Given
      21

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Nahisi kama wachangiaji wengi hamjamuelewa huyu mtoa maada, yule mama anaejiita Engineer akisoma hapa na hakika ataona aibu sana of course hata magamba wenzie.

      Kwani kuna ubishi sikuhizi kila kitu CCM wanasingizia CDM, ukifanyika uzembe wa kwao, watasema CDM, mliosoma Fasihi, mweleweni mtoa maada, ana maana tofauti na mnavyo mfikiria, mi namuunga mkono, this why Riz1 amekuwa wa kwanza kutoa comment tena za kuomba hii iondolewe!

    16. #35
      MSOROPOGAS's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th March 2012
      Posts : 41
      Rep Power : 376
      Likes Received
      8
      Likes Given
      17

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      jifunze kuthamini muda wako, utani mpaka kwenye maisha ya watu. watu wanamachungu kwa kuwapoteza ndugu zao wewe unaleta utani. funguka...wanahusika au hawahusiki vipi.

    17. #36
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,838
      Rep Power : 0
      Likes Received
      565
      Likes Given
      295

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      hoja kutoka kwa msomi wa chadema

    18. #37
      Seif al Islam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2011
      Posts : 1,165
      Rep Power : 560
      Likes Received
      271
      Likes Given
      425

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      brilliant thinking by you.bravo

    19. #38
      Howdesi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Posts : 29
      Rep Power : 445
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      Yaani wakuu mara nyingi huwa wanajamvi tunajikuta kumesahau kuchangia thread husika na kuanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, ni vema tuchangie hoja ili kuleta manufaa na kutoa ufafanuzi pale tunapoweza kwa manufaa ya nchi hii. otherwise hayo hayatusaidii kwakweli

    20. #39
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 972
      Rep Power : 897
      Likes Received
      344
      Likes Given
      329

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      [QUOTE=Biohazard;4275495]
      Quote By princess enny View Post

      Hivi hujawahi kujiuliza ni kwann lawama cku hizi zinaaangukia kwa CHADEMA mama yangu? Yani kila kitu CDM
      mi nashangaa!! hebu nijuze!!

    21. #40
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,374
      Rep Power : 996
      Likes Received
      311
      Likes Given
      211

      Default Re: Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

      [QUOTE=princess enny;4288871]
      Quote By Biohazard View Post
      mi nashangaa!! hebu nijuze!!
      The issue ni kwamba CDM ina MAKE HEADLINE

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...