Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.
hebu tuambie wewe hiyo meli iliyozama inaitwaje?
Jk mwenyewe wala hana habari kuwa meli imezama...
Hii ndiyo Tanzania! Hata waliofariki (waliopotea) tunatajiwa idadi tofauti tofauti!
Ni kweli ila sababu c kwamba yeye Vangimembe ni imara sana hapana! bali wananchi wenyewe wa Isimani bado sana! 2010 Kuna mtu alijjitokeza kutaka kugombea,alichofanya alikuja Dar akamtisha Lukuvi wakati huo RC kuwa atamlipua kwa elimu yake fake alichofanya Lukuvi alim accomodate yule jamaa Seacliff kwa siku kadhaa kisha akamvutia mpunga jamaa akarudi jimboni akafanya usanii kurejesha form basi.
Ata kuwa amehujumiwa na cdm!
Hiyo meli inaitwaje?
Alisoma na kupata habari kupitia JF ,!
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
Sasa Kama serikali haina taarifa rasmi Hii ni Atali
Apa issue sio Lukuvi but serikali as a whole
Kwa Ajari Hii Nathani ni wakati muafaka kitengo cha Majanga under PM Kupiga Mihela
Hiyo boti ni ya kampuni ya SEAGULL.
serikali haina cordination
Lukuvi ni Jivi tu wale wale
“True leadership must be for the benefit of the followers, not the enrichment of the leaders"
Kupiga Mihela? Unamaana hizi ajali ni dili za watu?
kwa mujibu wa tbccm,meli inaitwa STARGIC
Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush
Follow Us Here