Kwa nini hoja ikiletwa na upinzani inakataliwa na Spika lakini ikiletwa na CCM inakubaliwa;
kwa mfano jana Mbunge wa Wawi alitoa hoja ya kuhailishwa shughuri za bunge ikakataliwa kwa nguvu kubwa lakini ilipoletwa na CCM ikakubaliwa?
Kwa nini hoja ikiletwa na upinzani inakataliwa na Spika lakini ikiletwa na CCM inakubaliwa;
kwa mfano jana Mbunge wa Wawi alitoa hoja ya kuhailishwa shughuri za bunge ikakataliwa kwa nguvu kubwa lakini ilipoletwa na CCM ikakubaliwa?
Jibu: "Mh Spika mh Mbunge anatakiwa amuulize mkuu wa chombo hicho, maana muhimili huu wa serikali hautakiwi kuingilia mihimili mingine(Mahakama na bunge)" ha ha ha ha
haya maswali leo hayapo
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie frustration = expectation/outcome
Leo hakutakuwa na maswali kwa waziri mkuu,
Mh. waziri mkuu kwa nini hadi leo tunaendelea kutumia noti za zamani kwenye mzunguko wetu wa fedha? je kuna adhari au faida yoyote?... natamani sana ningekua mbunge ili pinda anijibu.
Swali la nyongeza Je ni kwa nini nchi yetu ya Tanzania haina umeme wa uhakika ikiwa hadi sasa tuna miaka 50 ya uhuru?? je kuna mbinu gani za kisayansi za kulimaliza tatizo hili na kwa muda gani?? .... majibu Waziri mkuu Pinda.. au kama kuna anayeweza kumsaidia...
swali lakwanza .
1. Tulipatwa na Janga lameli kuanguka miezi sita tu ilio pita na sasa linatokea lingine , je huoni kama wakaguzi wa hizo meli wameshindwa kazi .
2. kikosi chajeshi cha wana maji wana kua na kazi gani kama wanashidwa kuiona vitu vinavyo tokea baharini kwasababu huaga meli haidondoki kama gari na wange weza kuiona nakuiokoa haraka zaidi
Mh. Waziri mkuu,kampuni ya AGROSOL imefanikiwa kuchukuwa eneo kule Lugufu karibuni hekta 10,000,lakini taarifa za uhakika ni kuwa kampuni hii ni ya kitapeli na ndiyo maana wabia wengine wameamua kujitoa
uyu mama uwa ana ni boa sana anapochukulia bunge letu kama hamna tofauti na darasa la chekechea jinsi anavyo waendesha wabunge wetu tena kwa jazba mfano ni ile jana jambo la jana la ajari meli zanzibar kuhahirisha bunge mpka usukumwe dah! kweli hawa CCM wanatakiwa wawe na busara na uadirifu pale wanpofanya uteuzi wa viongozi makini katika sehemu nyeti kama izi za uspika in aibu kweli.
Bunge limeahirishwa hadi kesho asubuhi hii nikutokana na ajali iliyotokea hapo jana
Bungeni Lukuvi alitoa taarifa fupi, then Bunge likaahirishwa hadi Kisha saa tatu asubuhi.
Taarifa ya Lukuvi
Meli ilikuwa na watu 290, watu wazima 250, wengine ni watoto. waliokolewa mpaka jana ni 32 na wanaotafutwa ni 113, kulikuwa na watalii 16, na 14 wameokolewa. Wawili bado.
wametangaza maombolezo ya siku tatu bara na visiwani.Kwa kuwa inahofiwa kuwa kuna abiria kutoka Bara.
Pia alizungumzia kuwa utaratibu wa Mazishi umeshapangwa tayari na wataanza kuzika kuanzia leo taratibu zikikamilika.
Last edited by Mikael P Aweda; 19th July 2012 at 09:19.
Mikael P Aweda 0784 583 330
Elimu kwanza
huyu mama mnafiki mkubwa sana.anajifanya ana majonzi
Bungeni Lukuvi alitoar taarifa fupi, then Bunge likaahirishwa hadi Kisha saa tatu asubuhi. Taarifa ya LukuviMeli ilikuwa na watu 290, watu wazima 250, wengine ni watoto. waliokolewa mpaka jana ni 32 na wanaotafutwa ni 113, kulikuwa na watalii 16, na 14 wameokolewa. wametangaza maombolezo ya siku tatu bara na visiwani.
Mikael P Aweda 0784 583 330
Elimu kwanza
Jana usiku wametangaza waliookolewa 150, maiti zilizopatikana 24 leo tena tunapata kitu tofauti.! mungu awape faraja wafiwa wote amen.
Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!
Kaona aibu,atawa face vp wabunge kwa upùuzi alioufanya jana,mpuuzi tu!
Ndo mwamini kawekwa kwa matakwa ya watu fulani
Inawezekana kweli ana majonzi, lakini kilichonishangaza ni kuahirisha bunge la leo halafu kasema posho yao watapata kama kawaida,,,, si wangetoa sadaka kwenye hayo maafa...
Inna Lillahi wainna Illaihi Rajihunna
Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.
Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul
Anasubiri amri toka mamlaka za juuu
Follow Us Here