Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Report Post
    Page 9 of 18 FirstFirst ... 7891011 ... LastLast
    Results 161 to 180 of 346
    1. MKL
      #1
      MKL's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2012
      Posts : 96
      Rep Power : 541
      Likes Received
      62
      Likes Given
      6

      Default Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

      Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo.

      Wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili.

      Balozi za nchi hizi zinawaomba madocta woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
      haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.

      Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?

      Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3

    2. Miaka 50

    3. #161
      MANI's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 22nd February 2010
      Location : CHINI YA MBUYU
      Posts : 1,915
      Rep Power : 954
      Likes Received
      569
      Likes Given
      631

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Ndahani
      One day we will be matured enough to make decisions wisely. Kwasababu wengi hatukujua extent ya ubaya wa maamuzi tunayoyafanya pengine tulidharau uwezo na umuhimu wa madaktari.
      Mkuu uamuzi ulifanywa na walijua haya yatayokea but they have nothing to loose those who are making decisions,we the laymen we are the ones to suffer!
      " TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"

    4. #162
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Maundumula
      Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?
      Tena hawakuwa na sababu ya kupiga kelele, wangejiendea huko kimya kimya tu.

    5. #163

      Quote By MKL
      Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo.

      Wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili.

      Balozi za nchi hizi zinawaomba madocta woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
      haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.

      Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?

      Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3
      Hapakuwa na sababu ya kugoma wala kupigizana kelele, ilikuwa the best option ya kufanya. Waende hukohuko!

    6. #164
      Wimana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 1,046
      Rep Power : 556
      Likes Received
      281
      Likes Given
      180

      Default

      Quote By Ritz
      Wanataka mshahara mkubwa wa Milioni 7.7 kwa mwezi kwa mwaka ni Milioni 848,400,000 na muajiri wao serikali hana uwezo...
      Umelishwa upepo ukakushibisa, sasa unataka na sisi tushibe hewa!
      Sikumbuki kama hilo dai ndilo la msingi kuliko mengine. Bandika hapa na hayo madai mengine pia.

    7. #165
      fredmlay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2008
      Posts : 1,515
      Rep Power : 868
      Likes Received
      265
      Likes Given
      931

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Henge
      mkuu kwanini wasubiri sisi tuwasomeshe na wao waokote tuu??
      waturudishie madr wetu bwana sisi ni bajeti tuu ndo imekwama ila tunawaitaji sana!
      HAWATAKI KURUDISHA TUNAFUNGA BALOZI ZAO!
      Si unajua tunawasomesha kwa mkopo?? Sasa kama wamesoma tunataka wafanye kazi kwa ujira pungufu? Kwani wanasiasa wao wanahaki gani mpaka ujira wao uwe wa kufuru? Ni kweli tunawahitaji ila kwakuwa wanasiasa wetu ni jeuri acha wakimbie ndio itasaidia hii nchi kuzinduka toka usingizini.
      A wise man will make more opportunities than he finds:

    8. FemaTV & Radio

    9. #166
      Gwakisa Mwandule's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th June 2012
      Posts : 418
      Rep Power : 432
      Likes Received
      149
      Likes Given
      1

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Kama hivyo ndivyo unavyofikiri kaishauri arsenal ifute mechi na man city kwa kumshawishi van persie kwenda kusaka mataji mbele ya safari
      Quote By Henge
      Kwanini daa tuwafutie ubalozi woote watakaowaiba madr wetu!

    10. #167
      Doreen22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 604
      Likes Received
      69
      Likes Given
      7

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Ha ha ha!, tamuchungu unanichekesha, eti hakuna Daktari anayejisomesha hapa Tanzania kwa pesa yake binafsi, kwa kuwa gharama za kusomea Udaktari ni kubwa sana, nakuonea huruma, sijui unaishi au umetokea maeneo gani ya Tanzania, wapo Madaktari wengi tu wanaojisomesha kwa pesa zao binafsi na za wazazi au walezi wao bila kutegemea Serikali wala Wafadhili, toka food, stationaries, fees, usafiri n.k, na wanaishi maisha mazuri ndani ya Chuo sio ya kubangaiza na kujinyima kwa kupiga dash mchana au asubuhi, watu tumetofautiana Mheshimiwa, usiseme "twafa" sema "nafwa", watu wamejiandaa vema kutunza familia zao though wengine wanatumia fedha za utapeli, wizi, madawa ya kulevya n.k but wapo wanautumia fedha waliyoipata kihalali pia, kuna watu wana hela Bongo hii kama ulikuwa hujui!, Mi kuna mtu namfahamu, Baba yake kamsomesha Urubani Marekani kwa fedha yake mwenyewe ya mfukoni, Baba yake ni Mfanyabiashara, na wala si mtu maarufu, kamgharamia mwanae kila kitu kwenye masomo na maisha yake, kuanzia nauli za kwenda na kurudi, chakula, mavazi, vifaa vya shule, malazi, fedha za matumizi, fedha za matibabu n.k na alikuwa anaishi maisha mazuri tu Marekani ila mwenyewe aliamua kutafuta tu kajob ka kizushi, ili asimkamue sana Mzee wake ili aweze kuhangaika na ndugu zake wengine home bila hofu ya kuhisi mwanaye atakuwa na shida ndogo ndogo, so kuna watu wana hela ndugu yangu, na ukiwaona wengine wako simple tu

    11. #168
      Mahesabu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2008
      Location : manzese
      Posts : 3,034
      Rep Power : 1318
      Likes Received
      218
      Likes Given
      677

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      kwani wao ni wa kwanza kwenda???

    12. #169
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Mwiyuzi
      NATAMANI MADAKTARI HAO WAZUILIWE KUTOKA NJE YA NCHI, kuna Watanzania wengi wanaokufa kwa sababu ya kukosa matibabu...madaktari ni WAJEURI na wana UKATILI sana. They are too selfish and greedy...
      unatamani nini wewe? wakati raisi wako aliwaruhusu waondoke na wakatafute kazi sehemu ambazo wataweza kulipwa kwa kima cha mshahara wanaotaka
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    13. #170
      mvua's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 20
      Rep Power : 364
      Likes Received
      2
      Likes Given
      22

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Henge
      mkuu kwanini wasubiri sisi tuwasomeshe na wao waokote tuu??
      waturudishie madr wetu bwana sisi ni bajeti tuu ndo imekwama ila tunawaitaji sana!
      HAWATAKI KURUDISHA TUNAFUNGA BALOZI ZAO!
      Umesahau tuliwapa wenyewe ruhusa ya kutafuta green pastures elsewhere? Refer to hotuba ya Rais.

    14. #171
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1674
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By fredmlay
      si unajua tunawasomesha kwa mkopo?? Sasa kama wamesoma tunataka wafanye kazi kwa ujira pungufu? Kwani wanasiasa wao wanahaki gani mpaka ujira wao uwe wa kufuru? Ni kweli tunawahitaji ila kwakuwa wanasiasa wetu ni jeuri acha wakimbie ndio itasaidia hii nchi kuzinduka toka usingizini.
      mkuu unajua siasa si professional yeyote anaruhusiwa kuingia!?
      Halafu kukopeshwa mkuu ni sawa but ghalama za kumsomeshea dr mmoja ni sawa na ghalama za kusomeshea ma accountants 10, gharama hizo ni lazima serikali ichangie, nadhani hili hata serikali yenyewe haijui! Ni kodi inayofanywa yoote haya sasa kwanini umuue aliyekusomesha!???
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    15. #172
      Mahesabu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2008
      Location : manzese
      Posts : 3,034
      Rep Power : 1318
      Likes Received
      218
      Likes Given
      677

      Default

      Quote By webondo
      Tena hawakuwa na sababu ya kupiga kelele, wangejiendea huko kimya kimya tu.
      Hiyo ndo ilikuwa option bomba kuliko zote.......wanakumbuka shuka asubuhi......!
      webondo likes this.

    16. #173
      kichomiz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 4,053
      Rep Power : 1232
      Likes Received
      652
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By Maundumula
      Kwani hiyo migomo yao wameanza leo?

      Hawana lolote na wengi wao wataashia humu humu mwananyamala na temeke kwenye viji dispensary.
      Kinachoangaliwa ni maslahi pamoja na mazingira ya kazi mazuri baaasi.

    17. #174
      Tram Almasi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Location : Marsabit
      Posts : 753
      Rep Power : 671
      Likes Received
      217
      Likes Given
      92

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By MKL
      Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo.

      Wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili.

      Balozi za nchi hizi zinawaomba madocta woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
      haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.

      Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?

      Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3
      Lazima washangilie sana kuvuna wasichopanda!Kulipia mafunzo kwa madaktari zaidi ya 300 sio kazi ndogo kwa hiyo atakayepata bahati ya kuwapata hawa madaktari ni faida kubwa sana kwake!hata kama ataamua kuwalipa vizuri sana bado haitafikia gharama za kuwasomesha. So, in short we are loosers.
      "YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs

    18. #175
      Mahesabu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2008
      Location : manzese
      Posts : 3,034
      Rep Power : 1318
      Likes Received
      218
      Likes Given
      677

      Default

      Quote By hippocratessocrates
      We mawazo mgando! kwa akili yako na viongozi wako hilo ndilo dai MUHIMU!! halafu kwa akili yako hata kama ndilo lingekuwa dai pekee nani kakwambia mshahara haupangwi?! kama ni vyepesi kama inavyofikiri kurupuka na kumwambia msaidizi wa kazi za ndani(housegirl) kuwa utamlipa 5000/=Tshs kwa mwezi!! MSHAHARA siku zote wanasikilizana pande mbili..na lile lilikuwa PENDEKEZO na hivyo upande wa pili ulipaswa kupendekeza wanaweza kulipa kiasi gani na sio kusema tu HAIWEZEKANI!
      walikuwa wanalazimisha negotiation kama machinga? kitu cha 500/= machinga ataanzia 15,000/=
      Mi huwa nawafukuza tu manake hamna haja ya ku-negotiate kwani ni kujipotezea muda
      Last edited by Mahesabu; 18th July 2012 at 15:51.

    19. #176
      Kiherehere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 1,074
      Rep Power : 648
      Likes Received
      71
      Likes Given
      132

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By dandabo
      Porojo hizi sasa zinakera. Ndugu wengine tunafanyakazi kwenye mojawapo ya balozi ulizotaja. Acha uongo, si tabia nzuri!
      Ikithibitika kuwa kweli?? Cheki na gazeti la Raia Mwema, nahisi waandishi wake ni watafiti na makini zaidi yako ulie kaa hapo ubalozini!!!!!!

      Shame....ina maana balozi atamwambia mpaka mlinzi????
      CONFIDENCE IS WHAT AM LOOKING FOR.... NOT HAPPINESS

    20. #177
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,417
      Rep Power : 5038
      Likes Received
      782
      Likes Given
      1788

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Maundumula
      Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?
      Kuna siku kiongozi ataugua (siombei mabaya) na atarushwa na ndege hadi south africa, na bahati mbaya/nzuri daktari atakayemtibu atakuwa Mtanzania. Sijui atajisikiaje atakapopona! Ila nadhani ndo itakapokuwa fundisho kwa vitendo.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    21. #178
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1674
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By atufigwege mwandule
      kama hivyo ndivyo unavyofikiri kaishauri arsenal ifute mechi na man city kwa kumshawishi van persie kwenda kusaka mataji mbele ya safari
      nooo siyo kufuta mechi mkuu nikuifunga mancity mpaka atamani kurudi arsenal tena!
      Hawa mabalozi wafutiwe sababu wanasubili matatizo yatokee kwetu tunajitahidi kuyamaliza wao wanawapa ajila kwanini???
      Tunafanya mchakato mkuu hizi ni changamoto katika uongozi!
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    22. #179
      mvua's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 20
      Rep Power : 364
      Likes Received
      2
      Likes Given
      22

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By hippocratessocrates
      muh2 itakuwa na wahitimu 150 wa udaktari na ndicho chuo chenye wahitimu wengi, IMTU,KCMC,WBUCHS, HKMU kinatoa chini ya wahitimu 60 mwaka huu, kati ya wahitimu wote kuna foreigners zaidi ya 40 wanaorudi makwao, wanaobaki some wanaenda katika NGO!! some wanafanya internship ktk hospitali binafsi na wanaobaki ndio ktk serikali yetu sikivu...ikumbukwe kuwa si lazima kufanya internship, ila ukitaka kufanya kazi hospitali ndipo utafanya(hivyo unaweza kufanya mwaka wowote).. sasa ni nani atakayekwenda huko serikalini wakati wakiwa wahitimu tayari wanaweza kufanya kazi nje ya nchi? na pili nani aliyekudanganya hawajui mazingira ya hospitali ilihali mwaka wa nne na wa tano wa masomo hayo ndiyo madarasa yao na wagonjwa wakiwa vitabu?..
      Dah, pokea 'like' mkuu!

    23. #180
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      574
      Likes Given
      163

      Default

      Quote By Mahesabu
      walikuwa wanalazimisha negotiation kama machinga? kitu cha 500/= machinga ataanzia 15,000/=
      Mi huwa nawafukuza tu manake hamna haja ya ku-nevotiate kwani ni kujipotezea muda
      kwa kufukuza kwako unaonekana mbabe, grandiosity!! lakini kumbuka huyo house girl anapokubali kufanya kazi shingo upande yuko radhi kuteketeza familia yako na kutokomea ajuako..mwisho wa siku jambo lililoweza kukugharimu pesa kidogo lina ondoa uhai wako na wa familia yako kwa kutumia sumu ya panya au mende!! halafu majirani ndio wenye kuona mbabe nani! TAFAKARI MKUU.

    Page 9 of 18 FirstFirst ... 7891011 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...