Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini
Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo.
Wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili.
Balozi za nchi hizi zinawaomba madocta woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.
Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?
Ni humu humu jukwaani tumekataa kuwa hawajasomeshwa na serekali wamejilipia ada ndio maana hata bodi ya mikopo inawadai....leo hii Kusomeshwa kote huku....
tofautisha boom na gharama za kumsomesha dactari.
Vifaa vya kufundishia dactari pamoja na mishahara ya wakufunzi pale MUHAS vinagharamiwa na serikali, na hii ni kwa vyuo vyote vya umma zikiwemo shule zote za serikali kijana. Hope umeelewa.
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By Maundumula
Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?
Fikira finyu na mawazo kama haya ndio chanzo cha sekta ya afya nchini kuendelea kua duni. WHO inajitahidi kuzisaidia nchi hizi masikini kuepukana na wimbi la wataalamu wa afya kuzikimbia nchi zao kanakutafuta maisha mazuri nchi zilizo endelea..... There are currently more than 250 Malawian doctors in Manchester, which means that there are more Malawian doctors in Manchester than in the entire country of Malawi.
halafu mnataka ku-achieve MDG. Kwa njia hii hatuwezi kuyabadilisha haya yafuatayo.....
About half million maternal deaths are recorded worldwide. More than half of these deaths occur in Sub Saharan Africa, a region that accounts for only 17% of the world population and 12% of births worldwide. The risk of maternal death in African region is 1:16 compared to 1:3,500 in North America, 1:2400 in Europe, 1:160 in Latin America and the Caribbean and 1:100 in Asia (WHO/AFRO2004).
TANZANIA..It is estimated that 1 out of 11 women dies from pregnant and childbirth related complication. According to Tanzania Demographic and Health Survey of 2010 (TDHS) true maternal mortality ratio ranges from 353 to 556 deaths per 100,000 live births.
Changia mawazo abayo yatajenga nchi yetu na sio ushabiki either wa past history za kimasomo au personal issues.
Mbona wengi tu walishasepa kabla hata ya mgomo na hamkuandika? nyie semeni tu kwa vinywa vipana kuwa mna malengo yenu ya kisiasa na hawa madr bila kujijua walitumika kama chambo. Now i even question their intelligence.
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By Guyton
tofautisha boom na gharama za kumsomesha dactari.
Vifaa vya kufundishia dactari pamoja na mishahara ya wakufunzi pale MUHAS vinagharamiwa na serikali, na hii ni kwa vyuo vyote vya umma zikiwemo shule zote za serikali kijana. Hope umeelewa.
Naelewa kuliko unavyofikiri...nimewauliza waliowahi kunijibu kuwa madaktari wanajisomesha kwa gharama zao wenyewe.....
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By Mzee Mwanakijiji
Ni kiburi tu cha wanasiasa; wanafikiria udaktari ni "kama fani nyingine" tu. Gharama ya madaktari wetu kuondoka ni kurudisha huduma ya afya kwa miaka kadhaa nyuma. Lakini kwa vile tatizo lenyewe halijashughulikiwa bado kutakuwa na mgongano wa madaktari na serikali in the future. Hii yote ni matokeo ya sera zilizoshindwa za CCM.
kwa kuwa wewe unatibiwa huko uliko ughaibuni kwa raha lazima uwe mchochezi wa hili na lazima uwe na chuki binafsi na serikali iliyopo madarakani kwa sababu wewe ni kibaraka wa utumwa.
hayo ndiyo mawazo mgando kwamba, wanarudi kusalimia familia!! Doctors wanaondok na familia zao na ndio maana uhamisho wa kwenda nje unachukua muda kwabi yakubidi kwenda kuprocess kwa familia nzima na si wewe kama daktari pekee.Fanya uchunguzi na collaboration with ur higher center mkuu.
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By Mkirua
Naelewa kuliko unavyofikiri...nimewauliza waliowahi kunijibu kuwa madaktari wanajisomesha kwa gharama zao wenyewe.....
hakuna daktari anayejisomesha hapa tanzania,gharama zake ni kubwa sana,kawadanganye wajinga wenzako wasiohoji na kujiuliza.ukiwadanganya wanakuitikia tu.
Naelewa kuliko unavyofikiri...nimewauliza waliowahi kunijibu kuwa madaktari wanajisomesha kwa gharama zao wenyewe.....
kilichopingwa humu ni ile dhana kuwa drs wanasomeshwa bure ukilinganisha na kada nyingine, kitu ambacho sio kweli kwani wao pia wanakupeshwa bumu kama wanafunzi wengine.
Kwahiyo hoja iliyokua ikibishaniwa ni kama madrs wanapewa loan au grant??
Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?
Shughuli ni pale ambapo itabidi muwabembeleze ili warudi tena kwa mazingira bora kama waliyotaka.
Au mmeshaagiza Dks kutoka India kwa mishahara kama ya waliotimuliwa na mazingira kama ya mliowatimua?
Cha mlevi siku zote huliwa na Mgema.
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By Guyton
kilichopingwa humu ni ile dhana kuwa drs wanasomeshwa bure ukilinganisha na kada nyingine, kitu ambacho sio kweli kwani wao pia wanakupeshwa bumu kama wanafunzi wengine.
Kwahiyo hoja iliyokua ikibishaniwa ni kama madrs wanapewa loan au grant??
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By MKL
Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo.
Wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili.
Balozi za nchi hizi zinawaomba madocta woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.
Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?
Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3
duh sasa itakuwa ni issue maana hatutapata madaktari wa ku-replace nafasi za walioondolewa, Unafahamu kama Serikali ilifikiri kupata madaktari kutoka nje ni kama kununua karanga, kwa habari kutoka interfax zinasema kama
Serikali yetu iliwasiliana na Cuba ili waweze kupata madaktari, jibu walilolipata kutoka Cuba kwanza, mshahara kwa wa chini ni USD 10,000.00, na hiyo ni take home bila kukatwa kodi. Pili wanata wapewe nyumba na ulinzi, tatu wanataka wapewe allowances vilevile walipwe na usafiri vilevile. nne wanataka wawe wanakwenda nchini kwao at least mara 3 kwa mwaka,,,,,,,,,,, wanataka kuja kutinga kama ma expert wanaofanya kazi migodini,
vilevile wanasema kama watahitaji vifaaa, sasa hii Serikali yetu mbona ina kiburi sana??? kwa nini haijaribu kuona kukaa na hawa wetu na kuwekana sawa kwenye mahitaji kazi iendelee?? au wanaona aibu kwa kuwa watashindwa??? sasa hebu angalia sasa haoo wanakwenda zao nchi za nje kutinga, na kule watakula pesa ya uhakika, inatupasa tuthamini kazi za hawa mabwana maana si fani ya kuichezea
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
Soon ma intern wengine wataingia sokoni kutoka HKMU, MUHAS, KCMC na Bugando . Halafu hapo hapo kuna mpango kamambe wa kuweka MUHAS kama chuo cha kujitegemea hapo Luguruni tunasubiri fidia kwa wananchi ikamilike.Hii move itaongeza wahitimu wa chuo cha Muhimbili. Sijataja bado ule mpango wa kuweka Medical School pale UDOM ambayo inaweza kutupa madaktari angalau 300 kwa mwaka.
Nenda daktari unaturushia stimu sisi njaa kali wewe unataka 3.5M.
Nasikitika sana kwa watanzania ambao ni maskini kushabikia usaliti katika sekta ya afya.huu ni ulimbukeni na ni ubinafsi mkubwa.
nchi imepoteza dira so kila mtu anatafuta atoke vipi, swala la ku-value nchi yetu ni tatizo pana na suluhu yake ni kubadili mfumo na mind set, mfano wewe unamdharau unashabikia dr kwenda nje kufanya kazi lakini wewe mwenyewe unanunua vifaa vyako vyote ambavyo vinatengenezwa nje ata kama vitu hivyo vinatengenezwa bongo pia.
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By Maundumula
Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?
...and I think it will be TOO SHAMEFUL for U kubaki while ''KISSING POLITICIANS ASSES'' na kujikuta ''UNAFIA NYUMA'' badala ya ''MBELE...!!'',kwasababu tu hukutaka kushirikisha kichwa chako kufikiria kwa undani!
re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa
By fredmlay
Kosa lao nini mpaka tuwafutie balozi zao?? Hivi wewe tukiwa tumesimama wote na wewe una dhahabu mkononi kisha ukaamua kuitupa nikiokota mbele yako ni kosa?? Lazima ifike mahali watanzania tuwawajibishe wanasiasa sio wao kuwa miungu kwa kuifaidi keki ya taifa lakini linapokuja swala la wataalamu ni ukandamizaji usio na kifani.
mkuu kwanini wasubiri sisi tuwasomeshe na wao waokote tuu??
waturudishie madr wetu bwana sisi ni bajeti tuu ndo imekwama ila tunawaitaji sana!
HAWATAKI KURUDISHA TUNAFUNGA BALOZI ZAO!
Follow Us Here