Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Report Post
    Page 5 of 18 FirstFirst ... 3456715 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 346
    1. MKL
      #1
      MKL's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2012
      Posts : 96
      Rep Power : 541
      Likes Received
      62
      Likes Given
      6

      Default Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

      Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo.

      Wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili.

      Balozi za nchi hizi zinawaomba madocta woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
      haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.

      Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?

      Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3

    2. Miaka 50

    3. #81
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,384
      Rep Power : 1027
      Likes Received
      1160
      Likes Given
      595

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Blessing
      HUREEEEY ENDENI JAMANI TUONE HATA WALIMU MKIPATA ENEO NZURI GO TO TEACH THIS CCM GOVERNMENT A LESSON. Watatoka Bungeni kuhudumia Wagonjwa na Kufundisha ma skuli yetu. Wabombavu sana wote wa CCM wanavyoona eti Wanagoma ma Daktari na Walimu. Hawa CCM wanafanya mzaha kusema ongo kwa Chadema. Tunawajua na tunaelewa na tunaulewa na ATUDAGANYIKI. HONGERENI MADAKTARI YETU ENDENI JAMANI NI UHAI WENU NA FAMILIA. HATA KAMA MIMI I will take a better package where I will feel respected, comfortable as well as my family. HUREEEEY NA GO FOR IT MADAKTARI
      Anyway tutaendelea tu kufundishana huenda siku tutaelewa...Serekali ya CCM sio wahanga katika hilo...Mwalimu wangu wa CIVICS alinifundisha kuwa serekali ina mafiga matatu...Executive, Judiciary and Parliament....Naomba elimu kidogo hapa haswa tunaposhangilia...suppose huduma ni mbaya sana kwenye hospitali zetu...to what extent Mawaziri (including president vice and PM), wabunge na mamaji (ambao ndio serekali yenyewe) watakuwa/wanakuwa affected na hiyo hali?? Je ni wateja wa hizo hospitali ambazo madaktari wake wanaondoka??

      Hadi sasa hatuna walimu na kuna shule zina wanafunzi zaidi ya 500 lakini kuna mwalimu mkuu na msaidizi wake tu....je watoto wa hii serekali (mawaziri, Mahakimu na Wabunge) ni miongoni mwao hao??

      Tukishatafakari hayo maswali turudi ama kushangilia haya mambo tukiwa tunajua what are we celebrating....kama sio watoto wa shangazi mjomba na watoto wa baba yako waliotapakaa sehemu mbali mbali za nchi na walalahoi kwa ujumla wanakuwa victimized.....

      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    4. #82
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,163
      Rep Power : 12557
      Likes Received
      5736
      Likes Given
      748

      Default

      Quote By CAY
      Wakienda watanzania watatibiwa na nani?Utawapeleka kule ambako wewe huwa unapekekwa kwa kodi ya mwananchi masikini?
      Wanataka mshahara mkubwa wa Milioni 7.7 kwa mwezi kwa mwaka ni Milioni 848,400,000 na muajiri wao serikali hana uwezo...
      Maundumula likes this.

    5. #83
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,486
      Rep Power : 2120
      Likes Received
      566
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By Anselm
      Hayahaya magazeti ambayo Wahariri wake wengi wao ni Walevi wa mataptap...!!
      Waacheni watekeleze maagizo ya Mkuu wao wa nchi ya kwenda kule wanapofikiria wanaweza kulipwa mshahara wa equivalent to 7.5M kwa mwezi.
      soma thread ya "Serikali ilipokosea katika madai ya madaktari" na kufanya mahesabu uone kama inafika hiyo "7.5mil"..na hata kama ingekuwa inafika mfano mzuri ni Rwanda(iliyokuwa ktk vita 1994 iliyoharibika kiuchumi, yenye vyanzo vya mapato madogo kuliko Tz lakini bado yenye kujali daktari na kumlipa dola 2500USD kwa mwezi !!bila allowances.. huoni aibu kwa nchi yako hii!!

    6. #84
      Makamuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Posts : 1,061
      Rep Power : 597
      Likes Received
      210
      Likes Given
      21

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Na mimi ntaenda kujiandikisha japo nina mgomo baridi

    7. #85
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,937
      Rep Power : 1431
      Likes Received
      1507
      Likes Given
      1615

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Si nilisikia wangefanya "Mass Resignation"? wamefikia wapi sasa?
      Butola likes this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    8. FemaTV & Radio

    9. #86
      Twasila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2011
      Posts : 436
      Rep Power : 493
      Likes Received
      58
      Likes Given
      0

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      (By Mkirua
      Kwa hili sina haja ya kuweka siasa...Let them go in peace...wakapate hiyo 7.7)

      They go in peace and we remain in pieces.


    10. #87
      KAKA A TAIFA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2011
      Posts : 542
      Rep Power : 516
      Likes Received
      62
      Likes Given
      3

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      God dont kill people,god is great friend he will lead us into peace

    11. #88
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Mbona hadithi ni nyingi? si waende tu, walikatazwa? hapa hatuna shida na madaktari wanaogoma kutibu wagonjwa kwa sababu za kipato na marupurupu.

      Kwanza wakiwa huko nchi itafaidika zaidi na fedha za kigeni watazoingiza wakizileta kujenga na kusaidia jamaa zao.

      Tunawatakia kila la heri, safari njema na mishahara minono. Wapwa zangu wawili (madaktari) nao ntawaambia wafanye bidii ya kwenda huko maana nnajuwa mimi ndio wa kuwatazamia miradi yao hapa. Kwi kwi kwi teh teh teh!

      Bongo Bingo.
      Last edited by zomba; 18th July 2012 at 12:30.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    12. #89
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,486
      Rep Power : 2120
      Likes Received
      566
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By Mwiyuzi
      NATAMANI MADAKTARI HAO WAZUILIWE KUTOKA NJE YA NCHI, kuna Watanzania wengi wanaokufa kwa sababu ya kukosa matibabu...madaktari ni WAJEURI na wana UKATILI sana. They are too selfish and greedy...
      Endelea kutamani hadi mwisho! Uwazuie kwa kosa lipi!walipoambiwa wakatafute "mshahara" wanakojua kana kwamba walikuwa wanadai na si kutoa pendekezo, na kudharauliwa!!waTz wanaendelea kukosa matibabu kwa wanapata matibabu "Lugalo"..so kama unaumwa njoo tu hapa lugalo kulingana na W/mkuu alivyosema lakini waache waende kama Rais wako alivyowapa green light.

    13. #90
      msnajo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 665
      Rep Power : 555
      Likes Received
      75
      Likes Given
      92

      Default

      Quote By Lyimo
      "Kutokana na ukweli huo basi kama daktari anayeona kuwa hawezi kufanya kazi Serikalini bila ya kulipwa mshahara huo awe huru kuacha kazi na kwenda kwa muajiri anayeweza kumlipa kiasi hicho. Nasi tutamtakia kila la heri. Hana sababu ya kugoma ili ashinikize kulipwa mshahara huo. Asisumbuke, hatalipwa mshahara huo." (JK et al., 2012)
      This is shame! Serikali inaandaa wataalam na kuwatupilia mbali!! Hasara yooote ya nini?? Just imagine, fora a person to become dr bingwa, it takes not less than 10 yrs na inagharimu sio chini ya 100 mil. Lakini Mkuu wa Nchi anawapa ruhusa ya kwenda wanapojisikia. Hapa nakubali "akili ndogo" inaongoza akili kubwa. Wao hata mafua tu wanakwenda India, eti kufanya check up! Vipi kuhusu sisi wananchi??

    14. #91
      genekai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2010
      Location : Loitering!
      Posts : 7,496
      Rep Power : 2078
      Likes Received
      1060
      Likes Given
      1568

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Shida kubwa ya nchi hii ni kuwa wanasiasa wameruhusiwa kuingilia kazi za wataalamu!!!! Maamuzi mengi ni ya kisiasa na kulipizana visasi pasipo kuangalia maumivu kwa mwananchi wa kawaida!!!!!
      The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

    15. #92
      MkamaP's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2007
      Posts : 4,675
      Rep Power : 1569
      Likes Received
      310
      Likes Given
      93

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Mkirua
      Anyway tutaendelea tu kufundishana huenda siku tutaelewa...Serekali ya CCM sio wahanga katika hilo...Mwalimu wangu wa CIVICS alinifundisha kuwa serekali ina mafiga matatu...Executive, Judiciary and Parliament....Naomba elimu kidogo hapa haswa tunaposhangilia...suppose huduma ni mbaya sana kwenye hospitali zetu...to what extent Mawaziri (including president vice and PM), wabunge na mamaji (ambao ndio serekali yenyewe) watakuwa/wanakuwa affected na hiyo hali?? Je ni wateja wa hizo hospitali ambazo madaktari wake wanaondoka??...
      They are affected in virtual mode.

    16. #93
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Ritz
      Wanataka mshahara mkubwa wa Milioni 7.7 kwa mwezi kwa mwaka ni Milioni 848,400,000 na muajiri wao serikali hana uwezo...
      Mkuu umekosea kuandika au ni nimesoma vibaya, Kuwa hizo Trioni 848.4 (milioni 848,400,000) ndo mishahara ya Dr. wetu kwa mwaka!. Siamini
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    17. #94
      artorius's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 485
      Rep Power : 469
      Likes Received
      92
      Likes Given
      0

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      The moral of the story is never mix medicine and brake fluid

    18. #95
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,700
      Rep Power : 716
      Likes Received
      287
      Likes Given
      258

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By dandabo
      Porojo hizi sasa zinakera. Ndugu wengine tunafanyakazi kwenye mojawapo ya balozi ulizotaja. Acha uongo, si tabia nzuri!
      Ha hah haa, Bungeni Ndugai lisema taarifa za kunukuu magazetini ni za udaku!

    19. #96
      Butola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Posts : 1,520
      Rep Power : 782
      Likes Received
      266
      Likes Given
      647

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      Quote By Sizinga
      Si nilisikia wangefanya "Mass Resignation"? wamefikia wapi sasa?
      Bado wanajipanga kwanza,njaa mbaya!!

    20. #97
      msnajo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 665
      Rep Power : 555
      Likes Received
      75
      Likes Given
      92

      Default

      Quote By dandabo
      Porojo hizi sasa zinakera. Ndugu wengine tunafanyakazi kwenye mojawapo ya balozi ulizotaja. Acha uongo, si tabia nzuri!
      Wasiliana na Raia Mwema. Unaweza ukawa unafanya kazi ubalozini, lakini huwezikujua kila kitu! Sasa kama unafanya usafi ubalozini utayajua haya kweli????

    21. #98
      mapanga3's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st May 2012
      Posts : 208
      Rep Power : 396
      Likes Received
      25
      Likes Given
      2

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      mmmmhh! Kaz kweli kweli

    22. #99
      mopaozi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Posts : 2,446
      Rep Power : 757
      Likes Received
      258
      Likes Given
      49

      Default re: Madaktari waliofukuzwa waulamba Namibia, Botswana, Rwanda na S' Africa

      maavii waende wanajua kuongea kizungu walishazoea kuongea kiswahili wengi watashindwa tu interview heri waiangukie serikali iwarudishe kundini
      Kamarada likes this.

    23. #100
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,486
      Rep Power : 2120
      Likes Received
      566
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By Maundumula
      Bora waondoke tu watuondolee kiwingu watakbaki wale wenye moyo wataendelea kupiga kazi.
      wenye moyo?!!seriously?! wakati walikuwa wanatukanwa, kukejeliwa, kudhihakiwa na kudharauliwa?! leo hii wao ndio tunarudi kwao wakiwa na VISASI na huduma mbovu!! sasa hivi naamini watakaorudi wako radhi kutuacha ( wazee, wakinamama, watoto nk) tukifa au kuteseka kwani hasira zimewajaa na kukatishwa tamaa! vifo vitaongezeka na visingizio vitakuwa vingi hata pale penye uwezo wa kutibiwa na hapo ndipo siasa itakuwa imefanikiwa.

    24. Study Abroad
    Page 5 of 18 FirstFirst ... 3456715 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...