Hotuba ya Kambi ya Upinzani inayosomwa sasa hivi yazua kizaa zaa
Hotuba ya Kambi ya Upinzani inayosomwa sasa hivi yazua kizaa zaa
Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!
Lukuvi ni mtupu kichwani,
Gwaride la chipkizi ndo limemfikisha hapo,
Elimu yake ya juu kabisa ni Certificate,
ya Ualimu shule ya msingi,
Hana uwezo wa kutafsiri sheria,
Zaidi ya ubabaishaji.
Well done spike, mambo yaliyoko mahakamani hayahitajiki kutajwa ndani ya bunge lako tukufu, kwani mambo ya kuaibisha bunge kama haya yasiruhusiwe kwamwe kulichafua bunge lako. Simama imara spika kama ulivyo , vibaraka wa waingereza wasikubabaishe kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
sasa hali imekua sio nzuriii tuta fika apii wa tanzaniaaaa?
Hapa nashangaa kidogo, hivi vyombo vya habari vikiwa kisutu na kutangaza mwenendo wa kasi, huwa vinazungumzia jambo lilikomahakani au nje ya mahakama?
Filikunjombe amechangia vizuri.
amesema jeshi la polisi halina vifaa, vifaa walivyonavyo polisi ni virungu tu vya kuwapigia chadema na wanafunzi wa chuo kikuu wanapoandamana.
Last edited by mhalisi; 17th July 2012 at 14:16.
kumbe keissy alivyotaka kugombea ubunge kwa cdm wakamwambia sio raia wa hapa alivyohamia ccm wakakubali kua ni raia...daah sijawahi ona chama chenye mabavu na udikteta kama hiki...
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Hivi kama kuzungumzia suala lililo mahakamani ni kosa, kwa nini Raisi sio tu alizungumzia bali alitoa fatwa juu ya suala la mgomo wa madaktari lililoko mahakamani? Au Raisi yuko juu ya sheria?
"JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"
But Massage sent and delivered.CCM hiyo inanyong'onyea kama nawaona 2015!
Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? Mmh nadhani tunaotoa michango hapa jf kama jukwaa hili siku tukionana live lazima pachimbike. Mchango wa maandishi tu tunakuwa wakali pia mlio kwenye tv njooni hapa jf mkiwa mnatujuza vizuri,yaliyojiri ili nasi tuchangie pia tukijua kisemwacho.
Follow Us Here