Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

    Report Post
    Page 1 of 7 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 122
    1. #1
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,316
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5857
      Likes Given
      771

      Default Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Wanabodi,

      Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

      Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

      Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

      Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

      Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
      Profesa and MchukiaUonevu like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      mndwadage's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 414
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      umemaliza.?

    4. #3
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,316
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5857
      Likes Given
      771

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.

    5. #4
      SEBM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2012
      Posts : 336
      Rep Power : 3533
      Likes Received
      258
      Likes Given
      98

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Dhaifu

    6. #5
      MtamaMchungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 1,541
      Rep Power : 807
      Likes Received
      710
      Likes Given
      64

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Tumewazoea huna jipya. The same old song.
      Mboko likes this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,316
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5857
      Likes Given
      771

      Default

      Hawa ndio wafuasi wa Chadema angalia majibu yao.
      Profesa and beyanga like this.

    9. #7
      KISAKA MORIS's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 367
      Rep Power : 430
      Likes Received
      30
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By Ritz
      Wanabodi,

      Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

      Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

      Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

      Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

      Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
      Andika "HARAKATI BILA MIKAKATI NA MBINU DHAIFU (HAFIFU) ZA MWIGULU MOSES NCHEMBA" ndiyo utaeleweka vizuri.
      popobawa2012 likes this.

    10. #8
      KISAKA MORIS's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 367
      Rep Power : 430
      Likes Received
      30
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By Ritz
      Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
      Kinachonichukiza na wakati mwingine kunifurahisha sana huwa huna jipya kabisa, huwa unanichukiza sana na kunifurahisha kidogo.

    11. #9
      nkyalomkonza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2012
      Posts : 672
      Rep Power : 582
      Likes Received
      242
      Likes Given
      75

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Sasa umeandika au Ume.ha.ra?

      Mwisho wa kutetea udhalimu kwa malipo ya posho mwisho wake umekaribia.
      popobawa2012 likes this.

    12. #10
      nkyalomkonza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2012
      Posts : 672
      Rep Power : 582
      Likes Received
      242
      Likes Given
      75

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Quote By Ritz
      Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
      Unamzungumzia mwigulu nchemba???. Kama ni yeye ongezea na neno Muuaji.

    13. #11
      nkyalomkonza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2012
      Posts : 672
      Rep Power : 582
      Likes Received
      242
      Likes Given
      75

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Quote By Ritz
      Hawa ndio wafuasi wa Chadema angalia majibu yao.
      Na wewe ndie kibaraka wa Nape na Msaliti wa nchi hii. Hivi wanao watajifunza nini kwa baba kama wewe.??

    14. #12
      cheichei2010's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2010
      Posts : 544
      Rep Power : 548
      Likes Received
      182
      Likes Given
      42

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      sura mbaya kama umetoka kufukuliwa kwenye mchanga

    15. #13
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,749
      Rep Power : 4197
      Likes Received
      1012
      Likes Given
      416

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Quote By Ritz
      Hawa ndio wafuasi wa Chadema angalia majibu yao.
      Achana nao hao mkuu, hawana uwezo wa kufikiri!
      "If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”

    16. #14
      Ng'wanangwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,990
      Rep Power : 1647
      Likes Received
      1136
      Likes Given
      416

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Quote By Ritz
      hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
      inatokana na watu wa aina yako wanaoendesha maisha yao kwa kuwalisha sumu ya uwoga Watanzania ili waendelee kuitumbuwa nchi.
      CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...

      REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha

    17. #15
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,069
      Rep Power : 923
      Likes Received
      837
      Likes Given
      0

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Pia mbinu chafu waliyotumia ni ya kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka ili waichonganishe SERIKALI SIKIVU na Madakari na wananchi kwa upande mwingine. Ndiyo maana hawataki kuunda tume huru ya uchunguzi.

    18. #16
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Quote By Ritz
      Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
      Hivi Ritz, kwasababu usalama unafanya kazi kwa kanuni na taratibu wake, tuambie, na wewe ni msemaji wa usalama wa Taifa? Tumeona siku hizi kuna mparanganyo mkubwa wa watu wanaotoa habari kwa niaba ya serikali. Just trying to understand....
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    19. #17
      ruhi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 226
      Rep Power : 410
      Likes Received
      12
      Likes Given
      61

      Default

      Quote By ritz
      wanabodi,

      baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye dr slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

      Dr slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza dr slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

      Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa rb. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama dr slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

      Dr slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, itakumbukwa mwaka 2010 dr slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

      Dr slaa kama hana imani na uongozi wa rais kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda ikulu kuonana na rais kikwete katika mchakato wa katiba...hivi dr slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
      kwa sasa kange lugora mp,amemtaja kweka kua anasaidiana na majambazi kufanya ujambazi sasa amesema anaushaidi ebu subiri kama polisi watafanya cha maana kuhusu ili kwa kumfikisha kweka MAHAKAMANI kama ushaidi ni wa kweli au kumweka lugora kwa uzushI.

    20. #18
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,749
      Rep Power : 4197
      Likes Received
      1012
      Likes Given
      416

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Quote By Ritz
      Wanabodi,

      Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

      Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

      Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

      Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

      Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
      Mimi siku zote najiuliza , mtu akitaka nchi istawalike ana maana gani.
      Kutotawalika ni kwa aina gani?
      Tuna mifano kama Somalia na hivi karibuni kuna Syria.
      Je huko ndiko CHADEMA ilikoelekeza macho yake? ili mradi tu wapate kutawala?

      Aombaye gharika, na hana hata boti, asitegemee weledi wake wa kuogelea, atachukuliwa na maji tu.
      Profesa and Ritz like this.
      "If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”

    21. #19
      Ngongoseke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st January 2012
      Posts : 1,089
      Rep Power : 590
      Likes Received
      255
      Likes Given
      237

      Default

      Quote By masopakyindi
      Achana nao hao mkuu, hawana uwezo wa kufikiri!

      Hawa wafuasi ni vilaza tupu'nashangaa wanajiita great thinker'kweli greath thinker anaendeshwa na ushabiki usio na maana,kila kitu CDM kiko sawa kwa asilimia mia moja,imekuwa Chama cha malaika hiki?

    22. #20
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1847
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

      Ritz ni kubwa zima lakini hoja zako za kitoto kabisa.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    Page 1 of 7 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...