Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kumbe CDM hamna Wasomi

    Report Post
    Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 164
    1. #1
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2085
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Kumbe CDM hamna Wasomi

      Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

      Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3841
      Likes Given
      12234

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By Hakikwanza
      We zezeta kama wewe unapata wapi akili ya kupiga hesabu?
      Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.
      TIMING and chama like this.

    4. #22
      Hakikwanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th December 2010
      Posts : 1,107
      Rep Power : 2653
      Likes Received
      147
      Likes Given
      18

      Default

      Quote By Jasusi
      Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.
      Swali gani hapo lililokuwa valid hapo zaidi ya *****?

    5. #23
      Wingu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,975
      Rep Power : 1218
      Likes Received
      247
      Likes Given
      41

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu

    6. #24
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3841
      Likes Given
      12234

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By Awadhi2009
      Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu
      Kama unaona kichefuchefu nakushauri ukatapike katika choo cha magamba.
      chama likes this.

    7. #25
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      ccm inawasomi wengi sana na wametumia usomi wao kuliangamiza taifa.pumbaf
      Jodoki Kalimilo likes this.

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      MtamaMchungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 1,539
      Rep Power : 806
      Likes Received
      710
      Likes Given
      64

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Wasomi wa CCM wameifikisha wapi CCM na nchi kwa ujumla? Mwenyekiti wenu mchumi wa chuo kikuu hajui kwa nini nchi anayoiongoza ni maskini!

      Wasomi CDM wako wengi sana, tofauti ni kuwa wengi wao ni vijana wadogo na professionals wenye shughuli zao. Unataka wote tuvae magwanda kwenda maofisini ndio mjue kuna wasomi kiasi gani! 2015 ndio utaona ninachozungumzia leo.

    10. #27
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2085
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By Jasusi
      Huwezi kuwaona kwa sababu unaangalia ndani ya box. Sisi tunaangalia nje ya box. Siasa za personalities ndizo zimewafikisha CCM hapo walipo. Hawana ideas, hawana sera, hawana vision. Sisi tunajenga vision ya kuwasaidia Watanzania kujikwamua na ufisadi, kuwasaidia Watanzania wawe wawekezaji na wajasiriamali wenyewe, kuwasaidia Watanzania kusimamia maendeleo yao bila kutegemea wale waliotunyonya na kutufikisha hapa kwamba ndio wakombozi wetu. Sasa wewe ukianza kuangalia personalities, huwezi kuwaona, lakini ukijikita katika sera na vision wapo Watanzania ndani na nje ya nchi ambao wako tayari kulisukuma gurudumu hili la mageuzi.
      WaTz ndani na nje ya nchi ,kweli wapo tena wengi sana,ila hawa hawawezi kukubalika kushika nafasi za uongozi kama za Uraisi na mawaziri wake ,haiingii akilini ,mimi hapa napigana na chama tawala kufa kupona nadhalilika mitaani nanyanyasika bungeni halafu tunaibuka kidedea unamtoa mtu ulaya aje kuwa waziri ,naona kitanuka.

      Karume hakusoma baada ya Mapinduzi ,wengi walimfuata kudai wadhifa akawambia haiwezekani kumtoa mtu kijijini akaendeshe meli akimaanisha kwamba si kila mtu anaweza kuwa kiongozi kuongoza serikali.

      Jambo moja nitalikubali ikiwa Raisi anaweza kumchagua mtu yeyote yule ambae pengine si wa chama chake,sio mbunge kuwa waziri wake ,hapo mnaweza kuwategemea hao WaTz watakaoweza kusaidia kulisukuma gurudumu la maendeleo.

      Ila kwa ninavyoiona CDM ndani ya nchi yetu na jinsi walivyo viongozi walio mstari wa mbele katika chama hiki ambao tegemeo lao na waongozwa ni kwa wao kutoa Raisi na mawaziri,sioni kama kitatosheleza ngazi nilizohitaji kupangiwa safu(proposed)
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    11. #28
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,872
      Rep Power : 30216
      Likes Received
      4700
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Mwiba
      Mbona silaha zinajulikana ,ninavyofahamu silaha za Chama ni sera ,? Na nilichowapa ni ushindi hivyo katika ushindi nilihitaji ni nani hao ambao(proposed) wataongoza nchi hii ? baada ya kushinda uchaguzi ,mbona mnakuwa wagumu ni kitu rahisi tu ,inaonyesha hamujiamini mnaogopa ,si ndio !
      Ndoto za mchana, aren't you anyhow better than that!??

    12. #29
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,688
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1590
      Likes Given
      676

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Ni kweli CDM Hakuna wasomi kabisa waliosomea kuiba rasilimali za hii nchi Kama ilivyo ccm

    13. #30
      TIMING's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Roaming...
      Posts : 20,084
      Rep Power : 12251
      Likes Received
      6014
      Likes Given
      6851

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By Mwiba
      Naona mnafufuka mmoja mmoja ,yaani mnakuwa kama mazombi ,unaulizwa wewe unarukia kwengine ,mkuu hapa nazungumzia CDM tu .

      Inawezekana wewe humjui hata kiongozi mmoja wa CDM zaidi ya Slaa,Zito,Mnyika,Lisu na mbowe ni hatari kubwa sana kuwa na wafuasi wa dizaini zako.
      kwenye red patamu..........
      .....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!

    14. #31
      TIMING's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Roaming...
      Posts : 20,084
      Rep Power : 12251
      Likes Received
      6014
      Likes Given
      6851

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By Jasusi
      Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.
      heshima kwako... sometimes inakua ngumu kuweka sense kwa wasio na sense
      .....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!

    15. #32
      Ng`wanakidiku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2009
      Posts : 1,128
      Rep Power : 739
      Likes Received
      216
      Likes Given
      395

      Default

      Quote By Mwiba
      Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

      Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
      Wewe umesoma mpaka darasa la ngapi? Je ktk ukoo wenu kuna msomi?

    16. #33
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,872
      Rep Power : 30216
      Likes Received
      4700
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Awadhi2009
      Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu
      Hata ubunge hatukujipanga tukachukua majimbo kibao,uraisi pia hatukujipanga hadi tume ya uchaguzi,TISS,na CCM wakawa timu moja, wewe shabiki hujui kilichoko ndani ila waulize akina Bomani na TISS watakwambia!

    17. #34
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2085
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By MtamaMchungu
      Wasomi wa CCM wameifikisha wapi CCM na nchi kwa ujumla? Mwenyekiti wenu mchumi wa chuo kikuu hajui kwa nini nchi anayoiongoza ni maskini!

      Wasomi CDM wako wengi sana, tofauti ni kuwa wengi wao ni vijana wadogo na professionals wenye shughuli zao. Unataka wote tuvae magwanda kwenda maofisini ndio mjue kuna wasomi kiasi gani! 2015 ndio utaona ninachozungumzia leo.
      Tunasoma kutokana na makosa yaliopita kama hayo ya CCM ,kosa la CCM katika tawala baada ya Nyerere ni kutowajibika na kutofuatwa sheria kila mmoja anakula upande wake na kila mmoja anamuogopa mwenzake ,tumeona baada ya zoezi la kubadilishwa Mawaziri kidogo kuna muelekeo ,weka kando hilo.

      Mimi nipo na washika dola watarajiwa Chadema au hilo ni kosa kujadili ? Nionavyo CDM ikijaaliwa kukamata dola ,ni lazima kuhakikisha sheria zinafiatwa kuanzia juu hadi chini bila ya kuogopana ,hakuna atakae kuwa juu ya sheria,kwa msemo mwengine sheria itatakiwa itawale na sio itawaliwe kama tuonavyo ndani ya utawala wa CCM.

      Hivyo kutahitajika wenye elimu na hizo professionals ,ambazo unasema mnazo ila mpo nje ya pazia sikubaliani na wewe kuwa itakuwa rahisi kukuvuta ndani ya uwaziri au Uraisi ,wakati waliotia viraka kuhangaika na chama wapo na tunawaona kwenye majukwaa na kama nyinyi mpo vaeni magwanda kwenye mikutano tuwaone ,weka mbali ofisi ,hivi unasubiri watu wapiganie huko halafu wewe uwe waziri ? Labda uwe ni ndugu au jamaa wa mkuu.

      naamini safu itatokana na hawa tuliowazoea kuwaona wakiwa mstari wa mbele ndio nikasema tupangieni hao proposed.
      Jasusi likes this.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    18. #35
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,572
      Rep Power : 5617
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2283

      Default

      Quote By Angel Msoffe
      ccm inawasomi wengi sana na wametumia usomi wao kuliangamiza taifa.pumbaf
      Ndo faida ya wasomi wa CCM....
      Wasomi wanaoingia mikataba mibovu.....unafanya mchezo na
      10%
      Wasomi wanaokwwiba pesa na kuzihifadhi swis
      Wasomi wenye trilion 3.....za kukwibaaaa
      Wasomi wauza ardhi kwa kigezocha uwekezaji....hawa wasomi ukiwa mzungu na 10% yako wanakukatia ardhi, then unaenda kukopa benki ya ndani......loh.....
      Wasomi wanaopima viwanjaa na kuchukuliwa na wasomi wao wabunge na mawaziri....
      Wasomi wanaouza wanyama nje ya nchi......
      Wasomi wa EPA, Richmond....
      Wasomi walioshindwa kuifanya tanzania kuwa na umeme wa kutosha....
      Wasomi walioshindwa kusupply maji safi na salama nchi nzima...
      Wasomi wanaoshindwa kutoa huduma bora za afya...
      Wasomi wanaoshindwa kutoa mikopo ya elimu ya juu...
      Wasomi wanaohakikisha elimu inaboreshwa kwa wanafunzi kusomea kwenye nyasi....
      Wasomi wanaofikiri uchumi wa tanzania upo juu kwa kuangalia idadi ya magari...
      Wasomi walioongoza umati wa watanzania kunywa kikombe kwa babu wa loliondo....
      Wasomi ambao hawachelewi kuku-ulimboka....
      Wasomi ambao hawajui kwanini tanzania ni masikini
      wasomi walioshindwa kutengeneza ajira kwa vijana.....

      CCM oyeeee
      kigumu chama cha mapinduzi....
      Zidumu fikra za mwenyekiti......

    19. #36
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,872
      Rep Power : 30216
      Likes Received
      4700
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Mwiba
      Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

      Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
      Unataka wasomi mkuu, kama akina Mkulo,Karamagi,Ngeleja,Lowasa, Nundu,Ekelege,Blandina Nyoni,Mponda,Maige,na wenzao!? i wapi tija yao?

    20. #37
      DALLAI LAMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 2,831
      Rep Power : 888
      Likes Received
      697
      Likes Given
      0

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Ccm kuna wasomi wazuri..RAIS Lusinde,PM Atakuwa Prof Steven ngonyani,MAKAMU WA RAIS Komba,WAZIRI WA FEDHA Lameck Airo.

    21. #38
      Mabala The Farmer's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th July 2012
      Posts : 34
      Rep Power : 352
      Likes Received
      8
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Awadhi2009
      Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu
      basi kutokana na mawazo kushoto uliyonayo,uraisi tutampa PRO.MAJIMAREFU maana naona magamba mnataka na mnaamini Nguvu za Giza.

    22. #39
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2085
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Aloo mimi nimesoma kiasi tu,nikianzia kisosora tanga(RC) nikapitia Jumuia pale mkabala na standya mabasi nikaelekea duga shule ya tapa palikuwa na mbuyu barabarani(umeanguka) kutoka hapo nikasoma Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,nikamalizia chuo cha ufundi civil eng somewhere undislosed location.Sina taarifa za ukoo nimezaliwa peke yangu wazazi wangu wawili walifariki katika ajali ya basi sekenke.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    23. #40
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2085
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: Kumbe CDM hamna Wasomi

      Quote By legendary
      mimi naitaj kiongozi na siitaj msomi kwani ni wasomi wangapi wapo kwenye serikali hii ya ******? nini wanachofanya zaidi ya kubuni mbinu za kutuibia kila cku?kwa kuwapa maprofesa uongoz ni kuzalilisha elimu zao wa 7bu wanafanya madudu mpaka naona hakuna haja ya kusoma. kwa mfano huyu mchemba ana elimu ya darasani lakn hajaelimika hata kidogo kwa maisha ya kawaida hamnazo huyu.
      Okay ,na mimi naona kama uonavyo ,hatuhitaji msomi ,mimi sijasema katika hiyo safu lazima mupange wasomi,huko ni kujikanyaga ,ila katika hizo nafasi ni lazima kujipanga ili gurudumu alilodai Mkuu Jasusi liweze kusukumwa kwa maarifa na ustadi mkubwa lisije likalalia upande mmoja ,ni akina nani hao waliomo CDM kuanzia Uraisi na baraza la mawaziri 15 ambao mnaweza kuwapropose.
      Jasusi likes this.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...