Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Report Post
    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast
    Results 81 to 100 of 131
    1. #1
      motema yapembe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 17
      Rep Power : 363
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

      Leo kamanda. wa police wa Dar es salaam Amevieleza vyombo vya habari kuwa alie mkamata ndie mtuhumiwa na alikuwa Kwenye ibada ya three 13/07 2012. hivyo sijui mchungaji kasema nn!, amesha pelekwa mahakamani hivyo hairuhusiwi kuhoji jambo lolote lililo mahakamani!
      his ndo bongo bana!

      source, channel 5

    2. FemaTV & Radio

    3. #81
      Asterisk's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 215
      Rep Power : 394
      Likes Received
      49
      Likes Given
      107

      Default Re: Serikali imewafunga wananchi/wanahabari mdomo kwa kupeleka mwehu/kichaa mahakamani!!!

      Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, hayo mambo utayakuta tanzania tuu, na si popote hapa duniani

    4. #82
      Electron's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 91
      Rep Power : 365
      Likes Received
      48
      Likes Given
      59

      Default Re: Serikali imewafunga wananchi/wanahabari mdomo kwa kupeleka mwehu/kichaa mahakamani!!!

      Hii nchi sasa! Watu wanajifanyia mambo tu, ni uvunjaji wa haki za binadamu kumfungulia mashtaka aliye na ugonjwa wa akili na kutumia lolote asemalo katika hali ya ugonjwa wake kama ushahidi dhidi yake......

      Idealy huyo bwana Mulundi alitakiwa awe assessed na a panel of psychiatrists na watoe ripoti yao, (I insist a panel kwa sababu hao Psychiatrist nao ni madaktari). Lakini kwa vyovyote ukweli hautafutwi, ila zinazofanyika ni juhudi za kuuzika ukweli wenyewe!

      Moja ni kuwa katika ujinga wake kova ni kama "kipofu kaona mwezi" kwa mgonjwa huyu au mbili Joshua Mulundi ni pandikizi atakayeingizwa mlango wa mbele na kutolewa wa nyuma vumbi litakapotulia...... kwani si tunakumbuka kile kisa cha majambazi yaliyokamatwa Buguruni sijui mwaka gani hapo hivi karibuni, waliopaswa kuwa jela wanatumikia vifungo vyao.... nani aliwatoa? Na lile saga liliishaje? Ni mchezo wao wa siku zote tu.....

      As a result of class-class struggle (zile porojo za history sijui civics) naamini ipo siku watu watasimama na kusema enough is enough..... and we heading there for sure... change is inevitable

    5. #83
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,477
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3044
      Likes Given
      1017

      Default

      Quote By Kasimba G
      Wawe na imani na mabwepoliccm plus tiss? Ana maana hiyo?Karukwa na akili huyo, wa tz wa sasa siyo wa enzi za upe!
      mkuu wengine tunaiheshimu UPE wewe unaidhihaki?
      palalisote likes this.

    6. #84
      Ngambo Ngali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2009
      Posts : 2,569
      Rep Power : 1027
      Likes Received
      530
      Likes Given
      398

      Default Re: Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

      Quote By Gerald
      Ngambo Ngali.
      Hapa ndio katiba mpya inapotakiwa kubadilisha hii tabia mimi sio mtaalamu sana wa sheria ila navyoujua serikali ina mihimili mitatu bunge, mahakama na dola sasa hapa kila kimoja kinasheria zake na miongozo yake so, kwa uzoefu swala likishakua mahakamani uwezi kulijadili tena hata kama wananchi wakitaka kulijadili bado litakua limevunje sheria za nchi so mtalijadili wapi? Pia hata ulimboka akirudi atalijadili wapi? Either avunje sheria ya nchi kujadili jambo lilipo mahakamani.
      1. Serikali haina mihili mitatu, nchi ndio yenye mihili mitatu.

      2. Gerald, nchi haiendeshwi kwa mazoea, bali huendeshwa kwa kufuata Katiba, sheria na kanuni zinazotungwa kisheria, ndio maana Kova alisema in a very sweeping and general statement, bila hata supporting legislation kuwa hairuhusiwi kuongelea suala la Mkenya, which is wrong.

      3. Wananchi tuna haki ya kujadili, Kova asizungumzie vitu asivyovijua. Wanaharakati jitokezeni kututetea wananchi tupate haki yetu ya kupata habari.
      Injustice anywhere is a threat to justice everywhere.

    7. #85
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,194
      Rep Power : 31379
      Likes Received
      9590
      Likes Given
      683

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      This Kova guy is retarded.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    8. Miaka 50

    9. #86
      Mtoto Wa Mbale's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2011
      Posts : 420
      Rep Power : 494
      Likes Received
      143
      Likes Given
      1

      Default Re: Nani wa kumlaumu chadema au polisi waliopuuza taarifa za awali

      Si tu kwamba polisi walipuuza taarifa, bali walishiriki mauaji kwa kutochukua hatua stahiki kwa wakati.

      Ccm imedhamiria kufanya machafuko hapa nchini kwa kutumia polisi na vyombo vingine vya usalama kwao.

      Wananchi tuiache ccm ijifie yenyewe.

    10. #87
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,873
      Rep Power : 2289
      Likes Received
      1139
      Likes Given
      1479

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      The reputation of the Tanzania Police Force and the larger security fraternity by extension is AT ITS LOWEST TO-DATE than ever before in history of this country.

      Indeed, to heel fully out of this kind of a self-imposed ethical, justice and fairness doldrum, it may very well require a highly focused sweeping security apparatus reforming in alignment with the present day pluralistic political set up of our society hand of time for them to win back public faith and support in their duties.

      It is such an absurdity that these days no one can ever tell you the difference between what is a National Interest from tht which is purely a partisan CCM interest.

      The security personnel are either willingly in choice to both CCM and all that which are painted, seen and felt CCM or the are in a forced mutiny of NOT serving their true boss who are the tax-payers from across-sectional political and religious camp.

      How I long for those good old days when the common citizens' wishes and interests were put at the top of every other business of the security personnel.

      How hard it has since become of we Tanzanians that we just can't resist a feel of being such an orphaned nation in terms of able, fair and up-right political leadership or may be Mwalimu Nyerere ma have been just going out of his ways to offer us much more than what a leader of his stature is require to do!!!!!!!!

    11. #88
      kupelwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Location : DAR-ES-SALAAM
      Posts : 456
      Rep Power : 482
      Likes Received
      120
      Likes Given
      31

      Default Re: Serikali imewafunga wananchi/wanahabari mdomo kwa kupeleka mwehu/kichaa mahakamani!!!

      Quote By Umslpogaaz
      Wanasheria mnisaidie. Hivi mtuhumiwa kama akidhaniwa ni kichaa anapandishwa moja kwa moja kizimbani, au anafanyiwa uchunguzi kwanza na daktari, na akionekana ni mzima wa kuweza kujibu mashtaka ndio anapandishwa mahakamani?
      Kimsingi ka kweli kulikuwa na hisia ya kuwa huyo anayetuhumiwa ni kichaa, ilitakiwa afanyiwe uchunguzi wa kitabibu kuthibitisha, ndo afungiliwe mashitaka.hapa kilichofanyika ni kutaka watu wasiendeleze mjadala wa mtuhumiwa sababu , bado kuna utata.Kova anauchizi pia, au anatumika bila ridhaa.Sababu anaonekana kujichanganya mno.Nivyema waache drama wakubali uchunguzi huru, huu ubabaishaji hautasaidia.
      Umslpogaaz likes this.

    12. #89
      palalisote's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th August 2010
      Location : WA HAPAHAPA
      Posts : 2,061
      Rep Power : 2038
      Likes Received
      928
      Likes Given
      3825

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Quote By Kimbunga
      mkuu wengine tunaiheshimu UPE wewe unaidhihaki?
      hajakutendea haki haswa (UPE= UNIVERSAL PRIMARY EDUCATION).

    13. #90
      Kigano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 276
      Rep Power : 414
      Likes Received
      130
      Likes Given
      189

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Quote By KANYIMBI
      Nimemuona Kova anasema kuwa taarifa za awali alizozitoa huyo mkenya bado anazipa uzito. hadi hapo madaktari watakapothibitsha kuwa huyo mtuhumiwa ni chizi.
      Rafiki, naomba hapo kwenye red sema "MWEHU" ili tuende sawa tukiwa on the same agenda, halafu inakuwaje ni mapambano kati ya polisi na madaktari ? kwanini polisi hawasumbuki na wala hawaumii na swala la kutekwa na kupigwa kwa dr. Ulimboka ? wao wanapinga tuuuu kila kitu, na wanajaribu kutoa taarifa za uwongo, kwa faida ya nani ?

    14. #91
      OPTIMUS TZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th January 2012
      Posts : 390
      Rep Power : 447
      Likes Received
      60
      Likes Given
      1

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Quote By hendeboy
      dcp sulemani kova amesemani hataki malumbano na mchungaji gwajima kuhusiana na mtu aliyemteka dr. olimboka,
      akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kuwa wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi lao
      Tuna imani sana kaka nani kamwambia hatuna imani?

    15. #92
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,873
      Rep Power : 2289
      Likes Received
      1139
      Likes Given
      1479

      Default Re: Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

      PARTISAN SECURITY PERSONNEL IS A FAMILY NOT GOOD ENOUGH FOR A COUNTRY COMMITTED TO MULTIPARTY POLITICAL DEMOCRACY AND THE TENETS OF GOOD GOVERNANCE

      The reputation of the Tanzania Police Force and the larger security fraternity by extension is AT ITS LOWEST TO-DATE than ever before in history of this country.

      Indeed, to heel fully out of this kind of a self-imposed ethical, justice and fairness doldrum, it may very well require a highly focused sweeping security apparatus reforming in alignment with the present day pluralistic political set up of our society hand of time for them to win back public faith and support in their duties.

      It is such an absurdity that these days no one can ever tell you the difference between what is a National Interest from tht which is purely a partisan CCM interest.

      The security personnel are either willingly in choice to both CCM and all that which are painted, seen and felt CCM or the are in a forced mutiny of NOT serving their true boss who are the tax-payers from across-sectional political and religious camp.

      How I long for those good old days when the common citizens' wishes and interests were put at the top of every other business of the security personnel.

      How hard it has since become of we Tanzanians that we just can't resist a feel of being such an orphaned nation in terms of able, fair and up-right political leadership or may be Mwalimu Nyerere ma have been just going out of his ways to offer us much more than what a leader of his stature is require to do!!!!!!!

      We need change NOW AND HERE for all crucial apparatus of governance, individual mind-sets and heightened NATIONAL (Not CCM) ETHOS and total arrest for corruption and embezzlement of large chunks of funds from public coffers!

    16. #93
      OPTIMUS TZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th January 2012
      Posts : 390
      Rep Power : 447
      Likes Received
      60
      Likes Given
      1

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Kova ndo IGP mtarajiwa

    17. #94
      afwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 672
      Rep Power : 568
      Likes Received
      76
      Likes Given
      114

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Kova ni kibaraka asiejua kuwa serikali haina shukurani.

    18. SG8
      #95
      SG8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Location : DSM
      Posts : 2,553
      Rep Power : 4176
      Likes Received
      771
      Likes Given
      730

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Quote By hendeboy
      dcp sulemani kova amesemani hataki malumbano na mchungaji gwajima kuhusiana na mtu aliyemteka dr. olimboka,
      akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kuwa wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi lao
      Harrison Mwakyembe alishatusaidia kuonyesha jinsi jeshi letu lilivyokosa dira na linavyotumika kwa maslahi ya baadhi ya watu
      "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"

    19. #96
      manshiroo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd July 2012
      Posts : 113
      Rep Power : 369
      Likes Received
      83
      Likes Given
      92

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      hivi jamani inahitaj elimu ya kiasi gani ili kujua kwamba hili jeshi la polisi siyo la kuaminika? je yahitaji watu wenye ujuzi gani kujua kwamba jeshi hili linaongozwa na serikali ya kichwa cha mtu?

      jamani miye naomba nimuulize hivi huyu Kova kwani kabla Dr uli hajatekwa je kuna mwananchi mwingine yeyote ambaye alikuwa amesharipotiwa kutekwa? kama ndiyo walituletea fback wananchi? haya je mwananchi huyu alitekwa chini ya police surveillance?

      hebu atupe haya majibu ili tuendelee kumuonyesha jinsi ambavyo kamwe hatutaweza kuwa na imani na jeshi hili linaoongozwa na aserikali ya kichwa kimoja tu.

      hainiingii akilini eti dr anatekwa wakati gari la polisi liko doria tena mawili yanapita eneo hilo. hainiinii akilini kwamba watu wote waliokuwa kwenye eneo la tukio wasiweze kumtetea dr kama hakukuwa na mazingira yenye kutisha tena ambayo bunduki zimeonekana.

      hainiingii akili huyu mkenya aje ateke dr uli from no where lol! kwani hivi maneno haya tumchome sindano ya sumu, hapana tumchome kisu mara hapana tumpige bunduki mara hapana huyu amesha kufa tu tusipoteze nguvu tumfunie na majani aozee hapa jamani kweli ni tz ama? mazingira haya kweli hayatoshi kutufanya tusiwe na imani na jeshi? hivi mkeye huyo angekuwa ametumwa kumuua could he debate on what to be done at the crime scene? haiitaji kuwa na degree ama phd ya intelijensia kujua huu ni mchezo wa watu fulan.

    20. #97
      afwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 672
      Rep Power : 568
      Likes Received
      76
      Likes Given
      114

      Default Re: Serikali imewafunga wananchi/wanahabari mdomo kwa kupeleka mwehu/kichaa mahakamani!!!

      Wamegundua kuwa plan yao ni weak. Wanatafuta namna watakavyo engage plan B knowing that Watanzania ni vilaza

    21. #98
      Mwanandani's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 152
      Rep Power : 0
      Likes Received
      29
      Likes Given
      0

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Hata mwanangu wa chekechea hana imani na jeshi la polic.kama MWAKIEMBE,SAMWELI SITA WALISEMA,HAWANA IMANI NA JESHI LA POLIC,JUZI PIA WATU MAKINI MBOWE,DR SILAHA WAMESEMA HAWANA IMANI NA JESHI LA POLIC!HUYU MWANANGU WA CHEKECHEA ATA SEMAJE ANA IMINI NA JESHI LA POLIC?HATA KICHAA SASA HANA IMANI NA JESHI LA POLIC.

    22. #99
      MAMMAMIA's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Near You
      Posts : 3,794
      Rep Power : 3257
      Likes Received
      1496
      Likes Given
      1206

      Default Re: Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

      Quote By jmushi1
      Siyo kwamba hawajui kudanganya,hawaoni umuhimu wa kutumia sophisticated means kwasababu wanawadharau sana wananchi.Wanaona hakuna haja ya kutumia hizo efforts na wanauhakika litapita tu kwasbabu watanzania wengi wanasubiri hadi siku ya kiama ndo wauwaji waadhibiwe na mungu.
      Hakika jmushi1 - Ni upepo, utapita!
      "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

    23. #100
      MD25's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2012
      Location : Mugumu, Serengeti
      Posts : 1,903
      Rep Power : 897
      Likes Received
      539
      Likes Given
      66

      Default Re: dcp suleman kova atoa ufafanuzi kuhusu mch. gwajima

      Huyo mwehu kova ajiandae kuunganishe kwenye kesi zitakazomkabili legelege DHAIFU pindi atakapotoka madarakani.

    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...