Haya wakuu nimeinyaka hii kitu sehemu jinsi alivyofunguka ...
ichekini wenyewe
muda si mrefu utasikia na yeye kaokotwa mabwepande au kanisa lake limefutiwa usajili au ni freemason au ni drug dealer... chezea TISS NA SERIKALI YA MAGAMBA WEYE
Haya wakuu nimeinyaka hii kitu sehemu jinsi alivyofunguka ...
ichekini wenyewe
muda si mrefu utasikia na yeye kaokotwa mabwepande au kanisa lake limefutiwa usajili au ni freemason au ni drug dealer... chezea TISS NA SERIKALI YA MAGAMBA WEYE
Hivi Kova kujiuzulu anasubiri nini
Duuuuuuh,Yule Mchungaji ameenda Shule,amewachanachana kuhusu huyo Mkenya Mwehu,nimeangalia Mlimani Tv nimebaki Mdomo wazi!!
Gwajima ni noma kawachana kweli kweli
pongezi mchungaji gwajima kwa upevukaji wako kiakili na jinsi ulivyoonyesha wewe si mvivu wa kufikiri na kupembua.
Kauli ya Mchungaji Gwajima ni ushahidi kwamba serikali yetu inazidi kuishiwa uhalali wa kuongoza nchi na pia ni ushahidi kwamba wananchi wa kada mbalimbali wameichoka kiasi cha kutokuionea aibu tena aisee!
Zomba vipi njoo na single yako mpya hapa jf
sasa Gwajima ajiandae kupambana na jeshi la polisi , TISS na serikali....itakua ngumu kumuachia kimya kimya, watamtautia scandals tu.
Ikibidi waumini wa Gwajima wakafyeke msitu wa MabwePande haraka sana!
For when they are saying, “Peace and safety,” then sudden destruction will come on them
Hivi ni kwanini hakufikiria huyu jamaa akamatiwe pale Mtambani?Labda wangesitirika kidogo
Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.
Nilivyoona press conference ya Kova niliamini Gwajima kawekwa mfukoni, dili limechongwa vizuri, nilikua nasubiri Gwajima aje na kuelezea vizuri jinsi tukio lilivyotokea !
Sasa sijui nani kamuingiza Kova "chaka"....aliemshauri Kova kuitisha press conference itabidi ashugulikiwe, mimi siamini Kova ni mjinga namna hiyo, lazima kuna watu wake walimwambia kila kitu kiko sawa .....la sivyo kuna sehemu kaikosea serikali, na sasa serikali "inamuundia zengwe"...ili imtoe kwenye kiti chake.... Kova akitaka kulinda heshima yake ....aanze kusafisha jeshi la polisi na kuanza kwa kuwaondoa hao waliomletea hiyo report ya "kichaa wa Gwajima" ...
For when they are saying, “Peace and safety,” then sudden destruction will come on them
katika you tube to cheki kwa jina lipi?
Hivi kwanini Kova anakubari kutumika kama Kondomu??
Mnang'oa meno ya Tembo ili mukayauze, mnang'oa meno na Kucha za Watanzania wasio na hatia ili iweje?
Film inaendelea!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haifunguki
Wana Jamii Forums mnatisha, kweli huu ni mtandao wa Ma-Genious.
kama umesikiliza vema maelezo ya Mch. Gwajima jana, utagundua waziwazi kuwa, nukuu zake muhimu
zilitokana na michango ya wana-JF. Ukianzia issue ya yule Mafia-ACP Msangi, mpaka habari ya ndani kabisa ya migomo ya madaktari. Hii inaonyesha kuwa JAMIIFORUMS ni tegemeo hata kwa wakuu wa Dini..BRAVO!!!!
tiririka mkuu na sisi utujuze hayo mchungaji aliyoyanukuu
Last edited by odinyo; 16th July 2012 at 09:03. Reason: wrong spelling
Hata usalama wa Taifa ,viongozi wa vyama vya siasa ,manjagu na wengine tele wanafaidika na michango yangu.
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
Unajua hawa polisi wepesi wanaleta majibu mepesi,kwa akili ya huo ni upepo tu utapita.
Follow Us Here