Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

    Report Post
    Page 10 of 10 FirstFirst ... 8910
    Results 181 to 196 of 196
    1. #1
      babykailama's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th March 2012
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      227
      Likes Given
      77

      Default Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Na declare interest kuwa mimi ni Mbunge na nimeamua kuanzisha hii therad ili tuwekane sawa hapa baada ya kukamilisha uchunguzi wangu.

      Kuna Mbunge mmoja wa kike juzi aliniomba tupate naye chakula na tulipokaa alianza kunishawishi kwa kwa nguvu nyingi sana kuwa tuikatae kwa nguvu zote bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini itakapowasilishwa na tukiweza tumseme sana na kumkataa Katibu wa Wizara hiyo kuwa hafai. Aidha alikuwa ananisisitizia niwambie na wengine hivyo na kwamba tumpongeze MD William Mhando maana anafaa sana. Mwisho wa chakula alikataa nisilipe na akanilipia na pia kutaka kunipa fedha za mafuta kwa ajili ya gari langu kitu nilichomkatalia.

      Jana na leo baada ya hili la kuwasimamisha watumishi wa TANESCO nikaona niingie ndani kutafiti undani wa kinachoendelea na nikaunganisha zile juhudi za Mbunge mwenzangu ambaye alikuwa na mwenzake (Mh. wa kike ambaye ni shoga yake ) ikanibidi kuanza upelelezi wangu ambao sasa matokeo yake nimeamua kuyamwaga hapa wazi baada ya kupata ukweli toka vyanzo vyangu vinavyoaminika toka ndani ya TANESCO na Taasisi zingine husika za umma .

      I. Uwezo mdogo sana wa ndg. Mhando katika kuongoza Shirika
      Huyu jamaa ameshindwa kuongoza TANESCO KABISA. He lacks managerial skills and his interpersonal communication is very weak and questionable. Toka ameingia amejenga makundi kwa misingi ya ukabila, urafiki na wizi. Ushahidi pia mnaweza kuuliza yale maoni ya watumishi wa TANESCO yaliyokusanywa na Katibu Mkuu wa Wizara. Nimefuatilia hata shule yake ni ya kuungaunga na hakika ilikuwa mbovu sana aliposoma huko Cuba.

      Hakika habari za ndani kabisa zinasema uteuzi wake kuwa MD alichukuliwa toka namba tatu katika ranking wakati kulikuwa na mtu wa kwanza na wa pili walioachwa wenye uwezo kwenye vetting yao.


      II. Kushiriki wizi ndani ya Shirika
      Huyu ni mwizi moja kwa moja kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Bodi yake Rtd. General Robert Mboma na Makamu wake. Yaani huyu Mwenyekiti wa Bodi, Afande yeye anawauzia mafuta ya kuendesha mitambo TANESCO tena kwa bei ya juu Tshs. 2000/= kwa lita wakati sokoni ni 1500/=. Kwanini Mwenyekiti wa bodi huyu mzee mstaafu wa jeshi afanye biashara na chombo anachokisimamia akisababisha a conflict of interests and zero accountability?

      TANESCO wanakusanya yapata Tsh. Billioni 100 kwa kila mwezi na hakuna ajuaye hizo fedha zinafanya kazi gani zaidi yake MD, Incarge wa idara ya fedha na Gererali Mboma. Kwa sasa TANESCO wameshindwa hata kulipa madeni anayodaiwa na wako mbioni kuuza mitambo yake.

      Kimkakati, sasa wamemega fedha nyingi mno (nasema tena mno) na wanazisabaza kwa kuanzia kwa baadhi tu (si wote) ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge na wao bila kufikiri wameamua kichwa kichwa eti kwenda kuonana na Wizara kesho kusimamisha hatua zilizochukuliwa na Wizara juu ya huyu MD.

      Na kwa kudhihirisha mahusiano yake na Generali , kama mwenyekiti wa Bodi amekataa kusaini barua ya kumsimamisha MD na watuhumiwa wengine kitu cha ajabu sana kwa sababu tu ya kulinda maslahi yake ya biashara anayofanya hapo TANESCO. Mzee huyu hatosheki na pensheni na marupurupu apewayo kama posho za vikao na kutembelea Shirika n.k kila mara.


      III. Hujuma kwa Taifa kwa lugha za ‘ kiufundi’ .
      Leo nimeambiwa na Injinia mmoja mwandamizi wa Tanesco ninayemwamini sana kuwa hakika ugomvi umeanza kwa sababu kama kawaida yao, MD na kundi lake walitaka kutangaza kuwepo na mgao (kwa kubumba) wa umeme kwa lugha za kiufundi ili waendelee kufaidi kutokana na biashara zao za majenereta na mafuta. Sasa Wizara kwa kutaka kupigania maslahi ya wananchi wakawakatalia na hapo ndipo huyu kilaza anaamua kukata umeme mwenyewe kwa kiburi cha mwenyekiti wake anayetengeneza mamilioni ya fedha za nje (USD) kwa kila mwezi kupitia mgao wa kubumba.

      Kilichoniuma kuliko vyote ni kwamba huyu Mh. Mwenzangu mwanadada kwa nini alinifuata na kunilisha nami chakula kichafu kama zilivyo fedha chafu bila mimi kujua, nitamshughulikia kibinafsi . Nimepata ukweli kuwa huyu mwanamama ni Mpenzi wake huyo MD na watu kibao wanalijua hili na yeye anatumia nafasi yake ya ujumbe kwenye kamati husika ya Bunge kuendelea kumfanya huyu MD buzi lake la kudumu. Tanesco.

      Na kwamba haikuwa tu kwangu bali kawatembelea wengi akiwa na fuko la fedha akijaribu kugawa kwa usiri sana na kushawishi eti tukatae bajeti ya Wizara na pia wamfukuze Katibu Mkuu wa Wizara (eti wanasema anajifanya kuleta ulokole wa kisabato, kitu ambacho ni kweli huyu jamaa ni wa SDA lakini kosa lake sasa nalifahamu kuwa ni kwamba amekuta ameingia katika anga za TANESCO- mradi wa watu wachache na sio wa umma.


      Hitimisho:
      1. Wabunge tuweni macho (Independent Committee iundwe kama ya Mwakyembe ) tuone nani anasema ukweli na awajibishwe. Suala laBajetu hatuhitaji kufundishwa sisi tunawasubiri wao waiwasilishe tutaipima na kuuliza maswali yanayopaswa.

      2. Mamlaka husika, vunja hiyo Bodi ya TANESCO kabisa sasa hivi na wawekwe watu wasiohusika na mahusiano ya kimaslahi na watumishi wa TANESCO na wawe wenye uwezo wa kuisimamia vyema. Why always taking retired people? Tanzania ni kubwa sana na ina wasomi kibao na wenye uwezo wa kuongoza Bodi kibao!!

      MD na Mh. mpenzi wako na shoga wako na hii Kamati ya Bunge inayosimamia Wizara ya Nishati kuweni macho na kila mnachotaka kukifanya sasa maana media, wala kusambaza barua kwa Rais, PM na kwa Waziri mhusika haitawasaidia. Umma wa watanzania leo umesha wamulika kuwa ninyi ni wahujumu wa uchumi.

      Sisi wabunge wenye akili na wananchi tutawaangukia ninyi na yeyote ambaye anataka kuwaunga mkono katika upuuzi wa kuihujumu TANESCO, kutumia mhusiano ya kimapenzi kujaribu kutuhadaa na zaidi ya yote kushindwa kuongoza shirika hili la TANESCO NA KUJITUNGIA MIGAO YA UMEME ILI MFAHIDI !
      Mkandara, Jasusi, Chief and 45 others like this.
      Pa shoka hapaingii kisu


    2. #181
      kibogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Location : MBEYA
      Posts : 1,805
      Rep Power : 722
      Likes Received
      448
      Likes Given
      337

      Default

      Quote By armanisankara View Post
      ni nani huyu mbunge...
      kabwe zuber zito

    3. #182
      mzawahalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2010
      Posts : 487
      Rep Power : 577
      Likes Received
      73
      Likes Given
      15

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      NDEBILE UNATAMANI pOSHO ZA WABUNGEEE! NENDA VIWANJA VYA DODOMA UTAZILA.
      MH. MBUNGE CONGRATS JOB WLL DONE. UMETIMIZA WAJIBU WAKO ALUTA CONTINUA.
      TAKUKURU RUDISHENI IMANI YENU BASI KWA WANANCHI KWA KUANZIA NA HUYO MWENYEKITI WA BODI MPAKA WANAKAMATI YA MADINI YA BUNGE.

    4. #183
      Kingmairo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Location : In the Palace
      Posts : 875
      Rep Power : 538
      Likes Received
      268
      Likes Given
      87

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Mi kina wakati naliona bunge ni kama genge la wauza na wanywa kahawa barazani tu. Kelele zimekuwa nyingi halafu hakuna mabadiliko! Hebu vuta kumbukumbu zako ukumbe ni ishu ngapi wabunge walishakomaa, wakatoka povu na wengine karibu hata wapande juu ya meza lakini maazimio yake ni kama hakuna au hayatekelezwi. Nikiangalia ishu ya Richmond/Dowan, ishu ya jairo, mgomo wa madaktari wa kwanza ule, riport ya CAG! Hizi ni baadhi ya tu ya ishu zilizowahi pita bungeni wabunge wakawaka kama mafuta lakini jiulize je kuwaka kwao kumebadilisha nini? Is it significant?

    5. #184
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,732
      Rep Power : 736
      Likes Received
      301
      Likes Given
      36

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Kutokana na watu kujua kutengeneza uongo kuwa ukweli umefanya akili ya watanzania isifanye kazi tena. sasa kila kitu watu wanajua huu uongo wa kupangwa tunaacha hawa Mafisadi waendelee kutumaliza, tukiamka hakuna kilicho baki,

    6. #185
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,426
      Rep Power : 16506
      Likes Received
      4327
      Likes Given
      5510

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By kibogo View Post
      kabwe zuber zito
      Mleta hoja si alisema ni mbunge wa kike,pengine anayezungumziwa hapa ni mwingine.Or there's something I'm missing?Inasemekana pia ni "wabunge" wa hizo kamati.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato


    7. #186
      babykailama's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th March 2012
      Posts : 226
      Rep Power : 413
      Likes Received
      227
      Likes Given
      77

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Hata nani mwanzoni nilikuwa siamini kuhusu Zitto. Lakini baada ya sakata hili mmmm!! basi.


      Wakati mimi naanza kupuliza kipenga cha upotoshwaji katika kumtetea Mhando na harakati za mafisadi watembeza hongo; Zitto yeye alikuwa akizunguka na kupeperusha bendera za hao mafisadi na kwa kiburi chake na ukurupukaji akiitisha vikao kupinga hatua yeyote isichukuliwe. Kama mtu hana mkono katika hongo alianzaje kutetea mtu ambaye ameombwa akae kando tu kupisha uchunguzi?

      Lakini polepole makucha yake yamekuwa wazi.

      Wakati mimi napenda maendeleo ya Chama changu, muulizeni Zitto yeye agenda yake ni nini chamani kwake kwa kuwakaribisha wenzake kwa kisingizio cha kuzindua Album huku akiwa na nia ya kuwatumia kujitangaza kuwa ana uwezo wa kuwa Rais akitegemea kuzusha mgogoro chamani kwake na alipoulizwa akatamka humu kuwa anaamini gazeti zaidi kuliko akina Mh. Nassari. Video clip yenye kauli ya Mh. Nassari ilipoletwa humu na kulinganishwa na maneno ya gazetini; jawabu mnalo ninyi! Huyu ni mtu mbaya na hafai kabisa!
      Ngongo and kibogo like this.
      Pa shoka hapaingii kisu

    8. #187
      kookolikoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 1,974
      Rep Power : 761
      Likes Received
      284
      Likes Given
      147

      Default

      vita ya urais 2015 vinavyoitesa ccm sasa vimeingia rasmi na chadema!

      Quote By babykailama View Post
      Hata nani mwanzoni
      nilikuwa siamini kuhusu Zitto. Lakini baada ya sakata hili mmmm!! basi.


      Wakati mimi naanza kupuliza kipenga cha upotoshwaji katika kumtetea
      Mhando na harakati za mafisadi watembeza hongo; Zitto yeye alikuwa
      akizunguka na kupeperusha bendera za hao mafisadi na kwa kiburi chake na
      ukurupukaji akiitisha vikao kupinga hatua yeyote isichukuliwe. Kama mtu
      hana mkono katika hongo alianzaje kutetea mtu ambaye ameombwa akae
      kando tu kupisha uchunguzi?

      Lakini polepole makucha yake yamekuwa wazi.

      Wakati mimi napenda maendeleo ya Chama changu, muulizeni Zitto yeye
      agenda yake ni nini chamani kwake kwa kuwakaribisha wenzake kwa
      kisingizio cha kuzindua Album huku akiwa na nia ya kuwatumia kujitangaza
      kuwa ana uwezo wa kuwa Rais akitegemea kuzusha mgogoro chamani kwake na
      alipoulizwa akatamka humu kuwa anaamini gazeti zaidi kuliko akina Mh.
      Nassari. Video clip yenye kauli ya Mh. Nassari ilipoletwa humu na
      kulinganishwa na maneno ya gazetini; jawabu mnalo ninyi! Huyu ni mtu
      mbaya na hafai kabisa!

    9. #188
      Anheuser's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2011
      Posts : 1,317
      Rep Power : 681
      Likes Received
      338
      Likes Given
      138

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By babykailama View Post
      Na declare interest kuwa mimi ni Mbunge
      Una declare interest kwamba wewe ni Mbunge.

      Unajua maana ya ku declare interest kweli wewe Mheshimiwa?

      Baadhi ya wabunge wetu kwa kweli mnasikitisha.

    10. #189
      Hon.MP's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 136
      Rep Power : 376
      Likes Received
      66
      Likes Given
      30

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      wabunge pazeni sauti mfanye yafuatayo:

      1. Bodi nzima ya TANESCO ivunjwe, iundwe upya

      2. Akina Mkono & Mkono advocates company wasipewe tena kazi yoyote ya kuitetea serikali

      3. Wote waliopokea rushwa waangaliwe kama ukoma na watajwe hadharani.

      4. Mhando, Mkewe na vibaraka wake waliokuwa wananyonya shirika la Tanesco wasogezwe mahakamani ndani ya siku 7

      5. Mikataba ya wenye majenereta ipitiwe upya na kutangazwa kabisa ndani ya bunge tujuwe wanalipwa nini na ni mikataba ya mpaka lini

    11. #190
      ukwelikitugani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 664
      Rep Power : 573
      Likes Received
      296
      Likes Given
      867

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By Kunta Kinte View Post
      Wewe nawe inaelekea ni wale wale- kama unajua yote haya na ni mbunge kama unavyojitapa mahali sahihi pa kuwaumbua hao unaowatuhumu ni ndani ya ukumbi wa bunge-Kumbuka alivyofanya Kafulila kwa wale aliowakuta wakiomba rushwa. Hizi habari zenu za kuchafuana kwa visingizio vya uzalendo vimezidi. Tulisoma barua walizoandikiana wizara na Mhando, kutokana na mawasiliano hayo bado sijaliona tatizo la Mhando liko wapi unless utoe ushahidi kuthibitisha vinginevyo
      Aibu yako mtu mtu mzima ovyo... !!
      Utii bila Uhuru ni Utumwa,
      Uhuru bila Utii ni Wendawazimu.. by Julius K. Nyerere

    12. #191
      ukwelikitugani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 664
      Rep Power : 573
      Likes Received
      296
      Likes Given
      867

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By babykailama View Post
      haya sasa naomba watetezi wa md mhando na wale waliokuwa wanapokea fedha za waarabu na wahidi wenye makampuni ya ufisadi waje hapa waendeleze hii thread!

      Naendelea kuibua yote mpaka viongozi waendelee kuheshimu nguvu ya umma.


      mwanzilishi wa jf ubarikiwe sana, mh. Selasini, mh. Lugola na wengine wote mola awajalie kwa kuwa wakweli na jasiri!!

      Dada mh. Mwenzetu mgawa fedha hapo upo! Na bado maana takukuru itawaita mueleze mlipozipora hizo fedha mlizokuwa mnazigawa ili mchafue viongozi wazuri na kuwanyanyua mafisadi wenzenu.

      Hatukubali kuchezeshwa kama ...... Wowowo!!
      Daaahh... Wakola sana... Kudos!! wanaosema ati uyaseme Bungeni, hawajui ati ni mambo mangapi ya msingi ambayo yanachinjiwa baharini na Watukufu viongozi wa bunge..., SHAME ON THEM@!!!!
      Utii bila Uhuru ni Utumwa,
      Uhuru bila Utii ni Wendawazimu.. by Julius K. Nyerere

    13. #192
      Kunta Kinte's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th May 2009
      Posts : 2,608
      Rep Power : 2547
      Likes Received
      614
      Likes Given
      769

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By ukwelikitugani View Post
      Aibu yako mtu mtu mzima ovyo... !!
      Nilisema, "kutokana na mawasiliano hayo bado sijaliona tatizo la Mhando liko wapi unless utoe ushahidi kuthibitisha vinginevyo" sasa kwa kuwa kuna ushahidi wa ziada umepatikana mimi ni nani kupinga!? halafu sioni sababu ya kutukana watu wazima kwani naamini hata baba na mama yako nao ni watu wazima (labda sio hovyo kama mimi!!)
      Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales

    14. #193
      Ukwaju's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Dodoma
      Posts : 3,579
      Rep Power : 1155
      Likes Received
      672
      Likes Given
      884

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By babykailama View Post
      Hata nani mwanzoni nilikuwa siamini kuhusu Zitto. Lakini baada ya sakata hili mmmm!! basi.
      Wakati mimi naanza kupuliza kipenga cha upotoshwaji katika kumtetea Mhando na harakati za mafisadi watembeza hongo; Zitto yeye alikuwa akizunguka na kupeperusha bendera za hao mafisadi na kwa kiburi chake na ukurupukaji akiitisha vikao kupinga hatua yeyote isichukuliwe. Kama mtu hana mkono katika hongo alianzaje kutetea mtu ambaye ameombwa akae kando tu kupisha uchunguzi?
      Lakini polepole makucha yake yamekuwa wazi.
      Wakati mimi napenda maendeleo ya Chama changu, muulizeni Zitto yeye agenda yake ni nini chamani kwake kwa kuwakaribisha wenzake kwa kisingizio cha kuzindua Album huku akiwa na nia ya kuwatumia kujitangaza kuwa ana uwezo wa kuwa Rais akitegemea kuzusha mgogoro chamani kwake na alipoulizwa akatamka humu kuwa anaamini gazeti zaidi kuliko akina Mh. Nassari. Video clip yenye kauli ya Mh. Nassari ilipoletwa humu na kulinganishwa na maneno ya gazetini; jawabu mnalo ninyi! Huyu ni mtu mbaya na hafai kabisa!
      Picha ndo inaanza au ni Episode, hii thread ilitangulia mapema July 16 tukaipinga leo tunayaona, Gazeti la Dira limewataja Wabunge wanawake wa2 humuhumu JF kweli baby karama picha nzima umetuonyesha sasa malizia usiogope tena, maana Naibu amekubaliana na Hoja ya kuwatimia wote
      Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum

    15. #194
      BIG X's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2011
      Location : WHITE HOUSE
      Posts : 767
      Rep Power : 418
      Likes Received
      197
      Likes Given
      168

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Kuna mambo humu ukisoma unahisi mwili kutetemeka na kufa ganzi. bora niache kusoma.
      GOOD JUDGEMENT COMES FROM EXPERIENCE, BUT EXPERIENCE COMES FROM BAD JUDGEMENT.

    16. #195
      BIG X's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2011
      Location : WHITE HOUSE
      Posts : 767
      Rep Power : 418
      Likes Received
      197
      Likes Given
      168

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Quote By babykailama View Post
      haya sasa naomba watetezi wa md mhando na wale waliokuwa wanapokea fedha za waarabu na wahidi wenye makampuni ya ufisadi waje hapa waendeleze hii thread!

      Naendelea kuibua yote mpaka viongozi waendelee kuheshimu nguvu ya umma.


      mwanzilishi wa jf ubarikiwe sana, mh. Selasini, mh. Lugola na wengine wote mola awajalie kwa kuwa wakweli na jasiri!!

      Dada mh. Mwenzetu mgawa fedha hapo upo! Na bado maana takukuru itawaita mueleze mlipozipora hizo fedha mlizokuwa mnazigawa ili mchafue viongozi wazuri na kuwanyanyua mafisadi wenzenu.

      Hatukubali kuchezeshwa kama ...... Wowowo!!
      Natamani kukufahamu
      GOOD JUDGEMENT COMES FROM EXPERIENCE, BUT EXPERIENCE COMES FROM BAD JUDGEMENT.

    17. #196
      Eng. Y. Bihagaze's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 8th September 2011
      Location : Czech(but now in DAR)
      Posts : 778
      Rep Power : 5122
      Likes Received
      595
      Likes Given
      111

      Default Re: Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

      Kila Mwenye mapenzi mema na Taifa Hili LAZIMA aseme kitu. kwe upepo tulionao meli inaweza kuzama wakati wowote. wale wote ambao hawajajitenga na panya Lazima wahukumiwe kama panya wakati meli mpya itapokuwa ikipiga pangaboi zake. Kabla meli haijazama lazima ujipambanue waziwazi kama wewe ni miongoni mwa panya au la. ukijifichaficha hatutajua ni nani huyo mwerevu au joka, tutahukumu kama mmoja wa panya.

      asikudanganye mtu, wananchi wa leo wanafuatilia sana Bunge na sasa wameshajua miongoni mwa migomba nani panya na yupi mzalendo. sasa wewe kama ni mzalendo lakini bado umejifichaficha sana shauri lako, utatembezewa bakora kama panya vile vile..

      UKITAKA MIJITU MINGI ISIELEWE WE ONGEA MINATONATO TU..
      Pathologically.."women must bear all loves" ..Atheisms .

    Page 10 of 10 FirstFirst ... 8910

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...