Leo jioni ktk pitapita zangu barabara ya DARAJA BOVU to Uwanja wa ndege Zanzibar nimeshuhudia UMATI MKUBWA WA VIJANA wengi mno wakiwa ni Wazanzibari waislam na wafuasi wa Taasisi ya UAMSHO wakiandamana kama kawaida yao wakimaliza mihadhara yao wakiwa na kauli mbiu hii:
"PIGA MABOMU, PIGA RISASI LAKINI MUUNGANO HATUUTAKI.........." na "SENSA HATUITAKI........."
Cha kushanganza Polisi wapo lakini hakuna hawawezi kuwafanya lolote na nimewasikia wakisema kuwa katu hawatoshiriki SENSA NA WANAWAUNGA MKONO WAISLAM WENZAO WA TANGANYIKA.
Mhadhara wa leo jumapili mpendae. Haya ni Maandamano yaliyofanyika juzi ijumaa jioni lakini hakuna media yyte ilioyatangaza.

Reply With Quote



Follow Us Here