Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

    Report Post
    Page 7 of 10 FirstFirst ... 56789 ... LastLast
    Results 121 to 140 of 194
    1. #1
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,907
      Rep Power : 1857
      Likes Received
      625
      Likes Given
      421

      Default Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      mods niko ndago msifute ni kweli.

      wabunge wa chadema walifika saa
      8.30 mchana huu lakini fujo na kuendelea kati ya mashabiki wa ccm na chadema watu wawili nimeona wamekufa na wengine kujeruhiwa kwa mawe. hali si shwari nitaleta taarifa zaidi baadaye natumia simu
      KWENYE MKUTANO KUNA JOHN MNYIKA NA KITILA MKUMBO KIJANA ALIYEKUFA ANAITWA YOHANA MPINGA MIAKA 30 MKAZI WA KIJIJI CHA SONGAMBELE KATA YA NDAGO JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI LA MBUNGE MWIGULU NCHEMBA INADAIWA NI MFUASI WA CCM KAPIGWA KWA MAWE. WANA CDM TISA WAMEKAMATWA NA POLISI.

      NAAMBIWA YULE WA PILI ALIKUWA BADO KUFA KAKIMBIZWA HOSPT.

      CDM walipofika eneo la mkutano kabla ya utambulisho WAITARA akaanza kumtukana MWIGULU NCHEMBA kuwa ni malaya, fisadi na mwongo ndipo mtu mmoja wa ccm akasisimama kwa amani na kutaka wasitoe matusi bali waongee sera. ghafla mawe yakaanza kuporomoshwa na kutupwa ikawa vurugu hadi mauaji.


      UPDATES..

      Quote By Tumaini Makene
      Wakuu na Mods

      Njia ya muongoni fupi sana. Wabunge wa CHADEMA wasiokuwa na majina wamefika Ndago saa 8.30 mchana?????!!!!!!

      Wakuu, kuna Operesheni ndogo kwa Mkoa wa Singida yakiwa ni maandalizi ya operesheni kubwa kwa mikoa mitano, Singida, Iringa, Dodoma, Manyara na Morogoro, kama ilivyoazimiwa na Kamati Kuu mapema wiki hii.

      Kazi hiyo iko chini ya timu inayoongozwa na Kamanda Mwita Mwikabwe Waitara, yeye ndiye mratibu wa ziara hii fupi na leo ilianzia katika Wilaya ya Iramba, Jimbo la Iramba Magharibi, ambapo mikutano ya hadhara imefanyika katika maeneo ya Ndago na Kinampanda.

      Kulikuwa na taarifa tangu siku tatu zilizopita, timu ikiwa bado Dar es Salaam, kuwa kuna kikundi cha vijana wamekodiwa, wananunuliwa pombe, wakiandaliwa kufanya fujo ili mkutano huo usifanyike kisha ionekane CHADEMA wameshindwa kufanya mkutano kwa Mwigulu Nchemba. Bahati mbaya sana kitumbua chao kimeingia mchanga. Nafikiri hata huyu mleta maada ni sehemu ya hiyo propaganda.

      Sasa wakati mkutano umefunguliwa tu, Kamanda Mwita akawa-preempty kwa kuwaambia kuwa taarifa hizo tayari zinajulikana na polisi wawe makini. Haa! Jamaa waka-panic. Walikuwa mbele kabisa pale. Wakaanza kurusha maneno, wanapiga makelele, wanazunguka zunguka pale mbele ya hadhara. Mbele ya polisi. No action.

      Kelele za kundi lile, hazikuwa zikivumilika. Wananchi hawakukubali uvunjifu wa amani wa makusudi uliokuw aukifanywa mbele ya polisi. Yaani sinema ile ilikuwa Ilemela-type, kule ambako wabunge wa CHADEMA walivamiwa, kukatwa mapanga mbele ya polisi wenye silaha. Brothers, huwezi kuamini lile kundi likajitenga pembeni na kuanza kurusha mawe.

      Wananchi wengi waliokuwa pale mkutanoni kwa mamia, hawakukubali ufidhuli ule. Wakawafukuzilia mbali wale wahuni. Mkutano ukaendelea kwa amani kabisa, kisha tukaelekea mkutano wa pili Kinampanda, ambako John Mnyika, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi na Mbunge wa Ubungo, amemaliza kupiga nondo kama alivyopiga Ndago.

      Wananchi wamemskiliza John kwa makini, sasa kazi zinanunuliwa. Nondo zinawagusa wananchi wa Iramba Mashariki, yakiwa ni maandalizi ya Opereseheni kubwa inayokuja mikoa hii muda si mrefu.
      Last edited by MAMA POROJO; 14th July 2012 at 20:13.
      dedam, Mafie PM, Gilo24 and 2 others like this.


    2. #121
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By ndyoko
      Lazima damu imwagike ili uhuru wa kweli upatikane!
      utakufa wewe kwanza then tunakutupa kagera uwe chakula cha mamba.nyambafffffff

    3. #122
      Mzizi wa Mbuyu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 3,375
      Rep Power : 1309
      Likes Received
      589
      Likes Given
      428

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Quote By Remote
      mkuu hivi mzigo huwa unapiga saa ngapi? Maana kwenye kila post ya siasa naona comment yako au ndio kitengo chenyewe chini comrade nape?
      - ni hayoo tu kidumu chama chetu
      .........



      Hii ni taasisi mazee, iko kuleeeee ! unakata kona Stanbic Bank Makao makuu!!...

      Matu yeyote analog in kwa password ya wazi .....lengo likiwa nio moja tu...Kuitetea Serikali dhaifu!!

      We mchinguze utaamini maneno yangu...


      ......
      Ukweli ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha usiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.

    4. #123
      MVUMBUZI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2011
      Posts : 2,716
      Rep Power : 1119
      Likes Received
      712
      Likes Given
      380

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      CHADEMA hawana tabia ya kuanzisha fujo kwani siku zote hata kule Arumeru, Ilemela na Igunga walioanzisha fujo ni CCM. Kwa hiyo kama amekufa mtu we are very sorry ila hiyo damu na ile ya Arusha na ya akina Kiwea na machemli itakuwa juu ya CCM na viongozi wake ikiwalaani.

    5. #124
      ruhi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 232
      Rep Power : 415
      Likes Received
      14
      Likes Given
      65

      Default Re: Mtu mmoja afariki katika vurugu za mkutano wa chademe huko singida

      Ebu weka habari kamili ili watu wakuelewe,achana na habari nusunusu hapa,TBCCM waliosikiliza ni wengi kama wewe ivyo

    6. #125
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Nahuzunika sana watu wanapopoteza maisha eti kisa chama,,,au vyma,,,,so shame


    7. #126
      Mafuluto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2009
      Posts : 812
      Rep Power : 2979
      Likes Received
      170
      Likes Given
      312

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Sitashangaa kusikia Mwigulu ndiyo kinara wa michezo hii....!! Inanikumbusha wabunge wa CCM wa kusini walivyokuwa wanalia bungeni eti chadema imeingilia maeneo yao as if wao wanamiliki watu ktk maeneo hayo.

      Kuonyesha ni wapumbav wakawa bado wanalilia issues zile zile ambazo chadema walikuwa wamezi-address ....!!

      Kama mnajiamini mnafanya mnayotakiwa kufanya why kuwa na wasiwasi na watu wakija kufanya mikutano ?

      Mnaogopa nini hasa...?

    8. #127
      simplemind's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2009
      Posts : 2,949
      Rep Power : 1179
      Likes Received
      528
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Tume ya Katiba
      chadema wanaipeleka nchi pabaya, serikali ichukue hatua zenye nguvu za ziada. Kuwaachia hawa wahuni ni hatari sana. Poleni raia wema kwa vifo vinavyowakumba.
      wewe uhuni CCM imewafanyia watanzania zaidi ya nusu karne hujauona?

    9. #128
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,457
      Rep Power : 19241
      Likes Received
      4172
      Likes Given
      3368

      Default

      Quote By Ngoromiko
      CHADEMA hawawaamini polisi, hivyo waliwaambia wasije kuwapa ulinzi.....ndo matunda ya kiburi cha kijinga.
      zamani nilipokuwa mjinga nilijua dereva ana haki ya kukugonga kama uko barabarani na amekupigia honi hutaki kupisha..hivyo basi jeshi la polisi ni jukumu lao kulinda amani ya nchi hii upende usipende ni mpumbavu tu ndiyo anaweza kufikria huo ujinga unaousema..

    10. #129
      Doreen22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 608
      Likes Received
      69
      Likes Given
      7

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Watu wakiambiwa tunaelekea pabaya, wanaona utani, wallah 2015, mkiiba tena kura, mtajuta!

    11. #130
      muwaha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th May 2009
      Location : Lake Duluti
      Posts : 721
      Rep Power : 658
      Likes Received
      128
      Likes Given
      56

      Default

      Quote By rais wa migomo
      Tunaomba taarifa zaidi sisi tulioko nje ya nchi tujue kinachoendelea,walikuwa ni wabumge gani hao.,hilo mbona ni jimbo la mwigulu wao walifuata nini huko.
      Hakuna mwenye jimbo ...aliuziwa na nani???

    12. #131
      majorbuyoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 663
      Rep Power : 2617
      Likes Received
      183
      Likes Given
      238

      Default

      Quote By Ngoromiko
      Du! kumbe CDM ndo wameua, wamezoea kama walivyomfanyia Dr Ulimboka. Kuna haja ya kukifuta hiki chama.
      ...........kushabikia CCM ni upumbavu na ni ngumu sana kuiruhusu akili yako ifanye kazi ya kufikiri kabla ya kuanza kuropoka ropoka. Mwerevu hutumia ubongo wake kutafakari kitu cha kuzungumza lakini mjinga hutumia mawazo yake ya ovyo kuufikirisha ubongo wake dhaifu.

      Hongera mkuu kwa mtazamo wa ki-ccm na watu hawatakushangaa maana ikiwa viongozi wenu ni jamii ya akina Lusinde, Komba, Wassira na wengineo wanaongea utumbo, si ajabu kwa bendera kama wewe kuongea uharo.

    13. FJM
      #132
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,213
      Rep Power : 2580
      Likes Received
      5344
      Likes Given
      4607

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Nitoe pole kwa wote waliukutwa na maafa na RIP watanzania wenzetu. Nchi iko majaribuni.

      CHADEMA wamefanya mikutano mingi sana na mikubwa. Ukiachilia mbali tukio la kusikitisha huko Arusha, mikutano ya CHADEMA imekuwa ya amani tupu hata mende hadhuriwi, sasa leo nini kimesababisha fujo huko Singida?

      Lakini pia ningependa kujua wale vijana wa Green Guard waliokuwa wamepata mafunzo jimboni kwa Mwigulu Nchemba mahsusi kwa uchaguzi wa Igunga, wako wapi? walirudi makwao Singida? na je wamo kwenye hizi fujo za leo? Nirudie tena, sipendi kabisa siasa za Nchemba. Zimejaa chuki na uchochezi.

    14. #133
      ZeMarcopolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2008
      Posts : 7,554
      Rep Power : 5114
      Likes Received
      2603
      Likes Given
      2287

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Is it confirmed kuwa kuna watu waliokufa kwenye vurugu hizo?

      Mtu ambaye hayuko tayari kuvumilia kauli za upande pinzani kwanini ahudhurie mikutani yao?
      "To greed, all nature is insufficient"

    15. #134
      Doreen22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 608
      Likes Received
      69
      Likes Given
      7

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Naona 2015 watagawa matrekta kwa kila kaya, sio kutoatoa khanga tena!, teh, teh, teh!,

    16. #135
      Makala Jr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2011
      Posts : 1,937
      Rep Power : 888
      Likes Received
      402
      Likes Given
      0

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Tutafute mantiki,kama CHADEMA ndo wameenda kufanya mkutano je,inawezekana wangejiandalia fujo? Ili iwe nini? Kwa jinsi ninavyomfahamu Nchemba anaweza kuhusika.Ni mara kadhaa amekuwa anawaambia uvccm wajiamini kwa lolote kwani vijana wa chadema wanatishia nyau mtu mzima wanapojiita makamanda! Anyway,it is an assumption but such kind of trick mostly used by ccm pioneers and even on their 35 yrs which they celebrated at Mwanza,the relative trick used I wish you all remember it!

    17. #136
      Tukundane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2012
      Posts : 918
      Rep Power : 817
      Likes Received
      140
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Nyetk
      wakuziba wewe kweli unafaa kuzibwa maana you are an empty hole! Aliyempa Mwigulu sovereign power mtaa wowote kwenye nchi hii ni nani? Kwa akili yako unahalalisha yeye kufanyia watu fujo simply because yuko jimboni kwake? Kwa maana yako hiyo watanzania wote wasiokubaliana na sera za JK ambaye kwa sasa ndiye raisi wa eneo lote lililo ndani ya mipaka ya nchi hii waende wakafanyie siasa nchi gani?

      Hadi tuje tutoke kwenye matongotongo ya watu kama wewe bado tuna safari ndefu kweli!
      Na hapa ndipo ccm wanapokosea walipopewa utawala tu nchi wanahesabu kuwa ni mali yao majimbo walioshindi ni mali yao na wako tayari kulinda hata kwa kumwaga dam na ndicho kilichotokea.

      Si kweli kuwa nchemba anajimbo ambalo ni mali yake wala hakuna jimbo linaloitwa nchemba bali kuna jimbo la iramba maghariba.hii hali ya kusema kuwa jimbo ni mali ya fulani ndiyo imesababisha mambo yote haya na nchemba ndie atakuwa anahusika moja kwa moja kutoka na akili zake zilivyo.
      Nyetk likes this.

    18. #137
      Doreen22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 608
      Likes Received
      69
      Likes Given
      7

      Default

      Ujue kuna watu wakikaa siku mbili bila kutukanwa, hawajisikii raha, ndio kama huyo!
      Quote By majorbuyoya
      ...........kushabikia CCM ni upumbavu na ni ngumu sana kuiruhusu akili yako ifanye kazi ya kufikiri kabla ya kuanza kuropoka ropoka. Mwerevu hutumia ubongo wake kutafakari kitu cha kuzungumza lakini mjinga hutumia mawazo yake ya ovyo kuufikirisha ubongo wake dhaifu.

      Hongera mkuu kwa mtazamo wa ki-ccm na watu hawatakushangaa maana ikiwa viongozi wenu ni jamii ya akina Lusinde, Komba, Wassira na wengineo wanaongea utumbo, si ajabu kwa bendera kama wewe kuongea uharo.

    19. #138
      OKW BOBAN SUNZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 1,617
      Rep Power : 0
      Likes Received
      608
      Likes Given
      657

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Mi nashukuru Mungu nipo huru na Mwigulu Nchemba, huyu mtu ni hatari sna zaidi ya shetani....namuonea huruma mzee Madelu kutuga toto hili..........huyu hana tofauti na wale vigogo walioitumbukiza Kenya kwenye janga baada ya uchaguzi, yuko radhi kupoteza maisha ya watu akiikingia kifua CCM. Alishaapa hili mbele yetu tukadhani anatania na sasa naona implementation yake.....kila la kheri Mwigulu, ila keep in your mind that CCM wote motoni
      Mlitika likes this.

    20. #139
      Luushu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 248
      Rep Power : 412
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Poleni wafiwa lakini jamii ijifunze kitu kutokana na huu msiba

    21. #140
      moshingi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 209
      Rep Power : 424
      Likes Received
      56
      Likes Given
      100

      Default Re: Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

      Hili ni tukio la kusikitisha sana...skujua kama wa-tz tumefikia hatua hiyo...ni muda mrefu tangu vyama vingi vianze
      tumekuwa ndugu wa familia moja shwari japo tunatofautiana kiitikadi
      EE MUNGU UTUEPUSHE NA UJINGA HUU WA KISHETANI WA KUUANA ETI SABABU NI ITIKADI ZA CDM NA CCM

    Page 7 of 10 FirstFirst ... 56789 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...