Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: mmoja wanaodaiwa kuhusika akamatwa!

    Report Post
    Page 15 of 37 FirstFirst ... 5131415161725 ... LastLast
    Results 281 to 300 of 728
    1. #1
      asakuta same's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Posts : 2,526
      Rep Power : 986
      Likes Received
      660
      Likes Given
      429

      Default Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: mmoja wanaodaiwa kuhusika akamatwa!

      Jeshi la polisi limetoa ripot ya mhusika wa utekwaji wa dr ulimboka kuwa ni raia wa kenya ambaye ni gangstar aliyebobea ktk utekaji?
      Source: radio one taarifa za kila saa.

      my take;hii ni ngumu kumeza ,nitarudi baada ya muda na maoni yangu.

      Updates
      ; Mtekaji huyo alikodiwa na mtu asiyemfahamu na alikuwa pamoja na watu wengine asiowafahamu, polis imesema imemkamata huyo mmoja na inaendelea na mahojiano naye na itaendelea kutoa taarifa zaidi..

      My take; Duh! hii kali ,hivi polisi Tanzania wapo serious na kutumika huku kwa maslahi ya wachache.
      Last edited by asakuta same; 13th July 2012 at 18:12.

    2. FemaTV & Radio

    3. #281
      Jaslaws's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2011
      Location : dar es salaam
      Posts : 821
      Rep Power : 568
      Likes Received
      145
      Likes Given
      18

      Default Re: Mtekaji wa dr.ulimboka akamatwa

      Hi muv ya kihindi,starin kafa mwnzo wa muv,nahc mbwa wa staring ataimalizia.huo uongo hata mtoto wa darasa la kwanza awezi kubali ujinga huo..
      August and Uwezo Tunao like this.

    4. #282
      sokwe hapiki's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th June 2012
      Posts : 19
      Rep Power : 353
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: Jambazi lililohusika Lakamatwa!

      Police wanatuona ss wapuzi ila mm siamini hata kama nikinunuliwa nyama.pia mimi sito enda kutibu hata nikizini pumbafu gwajima.

    5. #283
      zubedayo_mchuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2011
      Posts : 3,345
      Rep Power : 1059
      Likes Received
      588
      Likes Given
      43

      Default Mtekaji wa Dr Ulimboka ajisalimisha ufufuo na Uzima kawe.

      Mkenya aliehusika kumteka Dr ulimboka alijisalimisha kanisa la ufufuo na Uzima ili atubu kwa kitendo alichokifanya
      Huyu jamaa ni muundaji wa kundi la Gangstar ambalo ndo kazi zake hizo.

      Kamanda Kova akiongea na waandishi wa hbr alisema jamaa anasema alipewa kazi hyo na Mtu kama wa serikali vile ingawa hamfahamu vizuri..
      August likes this.

    6. #284
      Ng'wanangwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,983
      Rep Power : 1645
      Likes Received
      1134
      Likes Given
      413

      Default Re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka

      Quote By Excellent
      Inawezekana huyo jamaa walimkodi kweli,la msingi ni nani alimkodi ?

      okeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
      Emmadogo likes this.
      CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...

      REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha

    7. #285
      KOMBAJR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 3,870
      Rep Power : 5953
      Likes Received
      802
      Likes Given
      228

      Default Re: Kamanda Kova and Partners: Please Dont waste our Quality Time, Come on!

      Hizi ni baadhi ya mbinu ambazo alikuwa anatumia kule mbeya kwenye issue ya sukari na power1 from malawi.
      Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.

    8. Miaka 50

    9. #286
      mirindimo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2009
      Posts : 248
      Rep Power : 535
      Likes Received
      57
      Likes Given
      12

      Post Naona kanisa na serikali wameamua kutrick wananchi.....

      Katika habari ya itv leo saa mbili kova anasema kua wamekamata mukenya alietubu kuhusika kumtesa jembe dr. Ulimboka......i dont trust this b*********t serikali iseme ukweli hapo, waache kutu fake sisi sio watoto wa chekechea...........!!!!! Na hizi taasisi za dini, ufufuo na uzima , hii jumuia ya kiislamu hebu achaneni na siasa hizi mtuombee tuna matatizo mengi sana jamani mungu atuepushe.......

    10. #287
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 5,024
      Rep Power : 0
      Likes Received
      227
      Likes Given
      1

      Default kwa hili la dr.ulimboka kutekwa na mkenya ni dhahiri sasa KOVA unajivunjia heshima

      kwa muda mrefu sasa toka kamanda kova kuteuliwa kuwa kamanda wa polisi kanda maalum ya dsm amekuwa akisifiwa na kupongezwa hasa kwa umahili wake wa kupambana na uhalifu uliokuwa umekithiri katika jiji la dsm, lakini kwa jambo hili la kutuletea sinema ya mtu aliyehusika katika utekaji wa dr ulimboka ni dhahili sasa kamanda huyu ameishiwa au anatumika vibaya na wanasiasa uchwara i.e ccm, kwa jambo hili kamanda huyu amejipunguzia credit kwa kiwango kikubwa sana na jamii ya werevu haitamuamini tena mtu huyu.
      August likes this.

    11. #288
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,794
      Rep Power : 2148
      Likes Received
      1221
      Likes Given
      545

      Default Re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: Jambazi lililohusika Lakamatwa!

      Aisee Polisi ni kituko, hivi wana akili kweli, dah siamini Polisi wanatunga uongo mbao hat mtoto wa std2 hawezi kuamini

    12. #289
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,732
      Rep Power : 5462
      Likes Received
      1961
      Likes Given
      2652

      Default

      Quote By Excellent
      Inawezekana huyo jamaa walimkodi kweli,la msingi ni nani alimkodi ?
      Inawezekana? Not a chance. Nashangazwa na mtu anayewapa hata benefit of doubt hawa watu. We hujasikia maelezo ya Ulimboka mwenyewe? Eti inawezekana....

    13. #290
      Ubungo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 1,151
      Rep Power : 589
      Likes Received
      204
      Likes Given
      185

      Default Re: kwa hili la dr.ulimboka kutekwa na mkenya ni dhahiri sasa KOVA unajivunjia heshima

      Tuvute subira ukweli utjulikana tu.

    14. #291
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,882
      Rep Power : 2291
      Likes Received
      1144
      Likes Given
      1488

      Default Re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: Jambazi lililohusika Lakamatwa!

      Kova na vituko vya kizamani bana, tehe tehe tehe tehe!!!

      Eti mpaka hapo na yeye anajiaminisha nafsi yake kwamba tayari serikali imefunikwa vya kutosha - bure kabisa!!

    15. #292
      Mo-TOWN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2010
      Posts : 1,135
      Rep Power : 5162
      Likes Received
      222
      Likes Given
      84

      Default Re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: Jambazi lililohusika Lakamatwa!

      Imagine kodi za wanatz zinatumika namna hii...mtu mzima lakini hovyo kabisa.

    16. #293
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11337
      Likes Received
      323
      Likes Given
      236

      Default Re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka

      Kova mwenyewe anaeleza huku anataka kucheka, maana anaona hata aibu kuelezea.

      P olice si tunasema, tutoke vipi
      Aibu hii ni kubwa, tutoke vipi
      Ulimboka katuumbua, tutoke vipi


      Jamani kumbe kuimba ni kazi ngumu.

      Hata mtoto mdogo hadanganyiki.

    17. #294
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,324
      Rep Power : 36530
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: kwa hili la dr.ulimboka kutekwa na mkenya ni dhahiri sasa KOVA unajivunjia heshima

      Quote By ubungo
      Tuvute subira ukweli utjulikana tu.
      Hakuna cha subira hapa , wanatufanya wajinga hawa!......wameanza kutapatapa tu.....afu ndio wanazidi kuharibu!
      August likes this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    18. #295
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,265
      Rep Power : 12578
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default Re: kwa hili la dr.ulimboka kutekwa na mkenya ni dhahiri sasa KOVA unajivunjia heshima

      Sasa kama wewe unamjua mtekaji si umseme? Alichosema Kova wao hawajamkamata walipigiwa simu na Mchungaji kuwa kuna mtu mmoja Muhindi kaja kuungama kwa kumfanyia unyama Ulimboka.

    19. #296
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,265
      Rep Power : 12578
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default

      Quote By sweetlady
      Hakuna cha subira hapa , wanatufanya wajinga hawa!......wameanza kutapatapa tu.....afu ndio wanazidi kuharibu!
      Kuwa na subira ukweli utajulikana.

    20. #297
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,324
      Rep Power : 36530
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: kwa hili la dr.ulimboka kutekwa na mkenya ni dhahiri sasa KOVA unajivunjia heshima

      Quote By Ritz
      Sasa kama wewe unamjua mtekaji si umseme? Alichosema Kova wao hawajamkamata walipigiwa simu na Mchungaji kuwa kuna mtu mmoja Muhindi kaja kuungama kwa kumfanyia unyama Ulimboka.
      Serikalia inamjua mtekaji!
      Life without problems never make a strong and good person!

    21. #298
      sweetlady's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 15,324
      Rep Power : 36530
      Likes Received
      7479
      Likes Given
      4604

      Default Re: Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: Jambazi lililohusika Lakamatwa!

      Quote By Ritz
      Kuwa na subira ukweli utajulikana.

      Wala aisee......hakunaga mtu mjinga hivyo eti akajisalimishe khaaa.....hebu ifike mahali watu wawe na mishipa ya aibu!.....hawana hata haya wala hawajui vibaya!
      August likes this.
      Life without problems never make a strong and good person!

    22. #299
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,265
      Rep Power : 12578
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default

      Quote By sweetlady
      Serikalia inamjua mtekaji!
      Nani mtekaji?

    23. #300
      zubedayo_mchuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2011
      Posts : 3,345
      Rep Power : 1059
      Likes Received
      588
      Likes Given
      43

      Default

      Quote By Moony
      Kanisa gani hilo? kwa mwingira?? manake huyu naye.......
      Ufufuo na uzima

    Page 15 of 37 FirstFirst ... 5131415161725 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...