Wadau nisaidieni kujua, Mtoto wa mkulima leo kazungumza nini baada ya kutwangwa maswali mjengoni, nipatieni kipande nisikilize.
Wadau nisaidieni kujua, Mtoto wa mkulima leo kazungumza nini baada ya kutwangwa maswali mjengoni, nipatieni kipande nisikilize.
Hakuwepo bungeni na maswali na majibu ya papo kwa hapo hayakuwepo.
Leo kaamkia kwa bi mkubwa Namanyere..
kama hayupo anaekuwepo kwa upande wa serikali si ndio inabidi aingie kikaangoni ? au wanakaimu vyooote lakini siyo kipande cha maswali ya papo kwa hapo? wajenzi wa mnara wa babel luga zitatofautiana tu...
SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI
Liwale na liwe
Follow Us Here