Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

    Report Post
    Results 1 to 8 of 8
    1. #1
      Synthesizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th February 2010
      Posts : 825
      Rep Power : 722
      Likes Received
      378
      Likes Given
      32

      Default Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Nimesema mara kadhaa, mie sina chama, lakini napenda kuona Tanzania ikiendelea, bila kujali CCM au Chadema ndio wanaoshika serikali.

      Nimelaani sana U-CCM na U-Chadema unaoshika kasi nchini, nikisema ni huo ni mbaya na twapaswa kuulani kama tunavyolaani U-dini katika nchi yetu. U-CCM na U-Chadema unaligawa taifa hili na kuleta chuki zisizo za msingi. Hatari za U-dini katika nchi hazina tofauti na hatari za U-Chama.

      Nawaomba watanzania wenzangu, tuwe na utambuzi kwamba si kila Mbunge wa au Kiongozi wa CCM ni mbaya na fisadi au gamba. Wapo walio wazuri na wazalendo wa kweli ndani ya CCM.

      Na pia si kila Mbunge au kiongozi wa Chadema ni suluhisho la kuleta mageuzi kwa nchi yetu, wapo ambao ni mizigo ambayo haistahili kuwa na uongozi ndani ya Chadema.

      Sasa swali ni kwamba, hivi haiwezekani sisi kama Watanzania, bila kujali tuko chama gani, kutoa sifa panapostahili, na kuona uozo panaponuka?

      Akili gani tunaonyesha, ikiwa uozo tunaona ni manukato, au manukato tunaona ni uozo, kwa kuwa tu tuko chama fulani?

    2. #2
      Makyomwango's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 234
      Rep Power : 461
      Likes Received
      42
      Likes Given
      14

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Narudia tena kuanisha wanachama wa Magamba
      kuna aina mbili za wanamagamba

      • Aina ya kwanza, watu wabinafsi kupita kiasi, watu ambao wako kimaslahi zaidi. watu hawa wako tayari kushuhudia ndugu zao wa karibu wanakufa ili mradi wao wanafaidi keki ya nchi hii kiurani na peke yao. Kundi hili linaongozwa na akina Nape, Sitta, Mwakyembe, Ncemba, Lowasa,Kikwete, nk.
      • Aina ya pili ni watu wajingawajinga. watu hawa hajui kwa nini ni wanamagamba. Wapowapo tu kwa sababu ama wamezaliwa na kukuta magamba duniani au wakuwa duniani tangu magamba yalipoanzisha chama hicho

    3. #3
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      652

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Quote By Synthesizer View Post
      Nimesema mara kadhaa, mie sina chama, lakini napenda kuona Tanzania ikiendelea, bila kujali CCM au Chadema ndio wanaoshika serikali.

      Nimelaani sana U-CCM na U-Chadema unaoshika kasi nchini, nikisema ni huo ni mbaya na twapaswa kuulani kama tunavyolaani U-dini katika nchi yetu. U-CCM na U-Chadema unaligawa taifa hili na kuleta chuki zisizo za msingi. Hatari za U-dini katika nchi hazina tofauti na hatari za U-Chama.

      Nawaomba watanzania wenzangu, tuwe na utambuzi kwamba si kila Mbunge wa au Kiongozi wa CCM ni mbaya na fisadi au gamba. Wapo walio wazuri na wazalendo wa kweli ndani ya CCM.

      Na pia si kila Mbunge au kiongozi wa Chadema ni suluhisho la kuleta mageuzi kwa nchi yetu, wapo ambao ni mizigo ambayo haistahili kuwa na uongozi ndani ya Chadema.

      Sasa swali ni kwamba, hivi haiwezekani sisi kama Watanzania, bila kujali tuko chama gani, kutoa sifa panapostahili, na kuona uozo panaponuka?

      Akili gani tunaonyesha, ikiwa uozo tunaona ni manukato, au manukato tunaona ni uozo, kwa kuwa tu tuko chama fulani?
      Viloba ni noma, mbaya zaidi mchana huu, simple achana na mambo ya siasa tu, ushabiki wa cghama huwezi kuuzuia ni kama timu za mpira, mziki ...piga chini ka inakuuma.

    4. #4
      Babuyao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2009
      Posts : 1,720
      Rep Power : 855
      Likes Received
      177
      Likes Given
      148

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Wewe kweli ni synthesizer! Hongera.
      God writes straight with crooked lines.

    5. #5
      Synthesizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th February 2010
      Posts : 825
      Rep Power : 722
      Likes Received
      378
      Likes Given
      32

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Quote By Makyomwango View Post
      Narudia tena kuanisha wanachama wa Magamba
      kuna aina mbili za wanamagamba

      • Aina ya kwanza, watu wabinafsi kupita kiasi,
      • Aina ya pili ni watu wajingawajinga.
      Mkuu Makyomwango, nimekusikia. Wasiwasi wangu ni kwamba, tunajuaje kwamba watu wa namna hiyo hawajajipenyeza ndani ya Chadema? Tunajuaje kwamba Chadema wakichukua nchi hatutakuwa na watu wa namna ile ile ambao ni tatizo katika CCM kwa sasa, na wakawa ni tatizo kwa wakati huo?

      Ndio maana ninasema tusifuate suala la kuchagua mtu kwa kuwa yuko kwenye chama tunachokipenda.

    6. #6
      Synthesizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th February 2010
      Posts : 825
      Rep Power : 722
      Likes Received
      378
      Likes Given
      32

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Quote By POMPO View Post
      Viloba ni noma, mbaya zaidi mchana huu, simple achana na mambo ya siasa tu, ushabiki wa cghama huwezi kuuzuia ni kama timu za mpira, mziki ...piga chini ka inakuuma.
      Pompo, nadhani hujaona nilichosema Mkuu. Mie kwenye siasa sipo, kwa sababu siwezi kuvumilia na kukubali pumba kwa kuwa tu zinatolewa na "mtu wetu". Kwangu pumba ni pumba tu, ziwe za CCM au Chadema.

    7. #7
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,915
      Rep Power : 2990
      Likes Received
      2547
      Likes Given
      3632

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Quote By Synthesizer View Post
      Nimesema mara kadhaa, mie sina chama, lakini napenda kuona Tanzania ikiendelea, bila kujali CCM au Chadema ndio wanaoshika serikali.

      Nimelaani sana U-CCM na U-Chadema unaoshika kasi nchini, nikisema ni huo ni mbaya na twapaswa kuulani kama tunavyolaani U-dini katika nchi yetu. U-CCM na U-Chadema unaligawa taifa hili na kuleta chuki zisizo za msingi. Hatari za U-dini katika nchi hazina tofauti na hatari za U-Chama.

      Nawaomba watanzania wenzangu, tuwe na utambuzi kwamba si kila Mbunge wa au Kiongozi wa CCM ni mbaya na fisadi au gamba. Wapo walio wazuri na wazalendo wa kweli ndani ya CCM.

      Na pia si kila Mbunge au kiongozi wa Chadema ni suluhisho la kuleta mageuzi kwa nchi yetu, wapo ambao ni mizigo ambayo haistahili kuwa na uongozi ndani ya Chadema.

      Sasa swali ni kwamba, hivi haiwezekani sisi kama Watanzania, bila kujali tuko chama gani, kutoa sifa panapostahili, na kuona uozo panaponuka?

      Akili gani tunaonyesha, ikiwa uozo tunaona ni manukato, au manukato tunaona ni uozo, kwa kuwa tu tuko chama fulani?
      Synthesizer,

      ..lakini CCM wamekuwa madarakani for 40+ years and they have nothing to show for that. ndiyo maana wengine tunaona hakuna mtu wa maana aliyepo ndani ya CCM. hakuna mwana CCM mwenye ujasiri wa kusema CCM wana matatizo, wakati umefika wajirekebishe. wapo ambao wamejaribu lakini baadaye inagundulika kuwa ni nguvu ya soda, au maslahi binafsi.

      ..kwa upande wa CDM wao hawajashika madaraka bado. pia they came to the picture baada ya uchaguzi wa 2005, na zaidi wanakubalika kutokana na uzembe na ufisadi wa CCM. at least hawa tunaweza kuwapa the benefit of doubt.
      FJM likes this.

    8. #8
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,542
      Rep Power : 1269
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      29

      Default Re: Si kila mbunge/kiongozi wa Chadema ni mzuri: na si kila mbunge/kiongozi wa CCM ni mbaya

      Unajua sasa hivi hii nchi tuko kama libya, egypt, kwamba watu wameshachoka na CCM mpaka basi na ukweli ni kwamba ndio kuna viongozi safi ndani ya CCM lakini brand imeshaharibika..

      Unajua chama kina image ni kama kampuni, ndio maana mtu anafukuzwa kazi kwenye kampuni kama anachafua brand ya kampuni sasa CCM as a brand yaani iko below zero!!
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...