Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

    Report Post
    Results 1 to 17 of 17
    1. #1
      Avanti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2010
      Posts : 696
      Rep Power : 582
      Likes Received
      103
      Likes Given
      260

      Default Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Tanzania yetu inavyoenda ni fedheha sana kuitwa fisadi ama kuhusishwa katika tuhuma za ufisadi ambazo hukufanya. Ukweli Mwigulu akiwa kama mbunge wa jimbo langu ambaye sikumpigia kura sikuwa na sababu kubwa sana ya kuvutiwa naye kama ilivyo kwa Mnyika ambaye nilimpigia kura hapa Dar kwa sababu ya mimi kuwepo hapa kama mpiga kura. Ikumbukwe kuwa mimi na MwanaCCM ila nilimpigia Mnyika kura. Kilichonikera ambacho kinanifanya nirudie msimamo ambao tayari nimeuweka wa kutompigia tena kura Mnyika ni pale aliporopoka tuhuma kuhusu Mwigulu. Ninamfahamu Mwigulu pamoja na kutovutiwa naye ila ni ukweli dhahiri hakuhusika na ufisadi wa EPA. Nimejichukulia kama siku hiyo mimi ndiyo ningekuwa Mwigulu, kwanza ningesimama na kumjibu Mnyika kwa kumtusi kwa hasira ambazo ningekuwa nazo. Mpaka sasa nafikiri ningeshatwangana naye kabisa. Kuna wakati street justice ni suluhu. Ila bahati iliyopo mimi sio Mwigulu.

      Avanti.

    2. Study Abroad

    3. #2
      buyegiboseba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Posts : 535
      Rep Power : 510
      Likes Received
      139
      Likes Given
      39

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Jihadhari sana unavyomtetea Nchemba, na kama umeoa ndo kabisaa,jamaa hatari yule,labda kama mlikuwa nae BOT tutakuelewa!

    4. #3
      buyegiboseba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Posts : 535
      Rep Power : 510
      Likes Received
      139
      Likes Given
      39

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Kutohusika ama kuhusika kwa Nchemba EPA ukweli ano yeye moyoni mwake na sio mwingine yeyote.Naamini mnyika hakukurupuka Nchemba kama hakuhusika kwa nini anababaika kila siku?si asubiri mchakato uishe na ijulikane nani mkweli! nimetahadhalisha mapema yakikukuta,usije jamvini kuomba huruma!

    5. #4
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      nashukuru mi sio mkazi wa sehemu aliyetokea huyo nchemba kwa sababu huyu jamaa ni selfish and attention seeker badala ya kutumia mda wake kuwawakilisha wananchi wake bungeni yeye anatumia mda kugombana na wabunge wa upinzani..kama hana hoja awe anatulizana
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    6. #5
      kygrykos's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 42
      Rep Power : 367
      Likes Received
      0
      Likes Given
      15

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      [QUOTE=Avanti;4224858]Tanzania yetu inavyoenda ni fedheha sana kuitwa fisadi ama kuhusishwa katika tuhuma za ufisadi ambazo hukufanya. Ukweli Mwigulu akiwa kama mbunge wa jimbo langu ambaye sikumpigia kura sikuwa na sababu kubwa sana ya kuvutiwa naye kama ilivyo kwa Mnyika ambaye nilimpigia kura hapa Dar kwa sababu ya mimi kuwepo hapa kama mpiga kura. Ikumbukwe kuwa mimi na MwanaCCM ila nilimpigia Mnyika kura. Kilichonikera ambacho kinanifanya nirudie msimamo ambao tayari nimeuweka wa kutompigia tena kura Mnyika ni pale aliporopoka tuhuma kuhusu Mwigulu. Ninamfahamu Mwigulu pamoja na kutovutiwa naye ila ni ukweli dhahiri hakuhusika na ufisadi wa EPA. Nimejichukulia kama siku hiyo mimi ndiyo ningekuwa Mwigulu, kwanza ningesimama na kumjibu Mnyika kwa kumtusi kwa hasira ambazo ningekuwa nazo. Mpaka sasa nafikiri ningeshatwangana naye kabisa. Kuna wakati street justice ni suluhu. Ila bahati iliyopo mimi si
      tuacheni ubungo na jembe letu bana. kakomae na mwigulu singida wewe alete maendeleo. yeye kila akisimama bungeni kuchangia lazima aseme chadema, na bado m4c itamfuata mpk singida jimboni kwake.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Mwigulu Nchemba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th February 2012
      Posts : 205
      Rep Power : 0
      Likes Received
      140
      Likes Given
      0

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.

    9. #7
      mdizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th January 2011
      Posts : 1,106
      Rep Power : 797
      Likes Received
      309
      Likes Given
      66

      Default

      Quote By Mwigulu Nchemba
      Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.
      ha haaa haaa .... yaani umewafanya wana-jf wajinga kama Avanti .... umempa nini Avanti ?

      njaa mbaya sana

    10. #8
      mopaozi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Posts : 2,446
      Rep Power : 757
      Likes Received
      258
      Likes Given
      49

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Mnyika amechemka big tyme biiiigggg tymmmeeee

    11. #9
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,116
      Rep Power : 1386
      Likes Received
      918
      Likes Given
      412

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Quote By Mwigulu Nchemba
      Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.
      kuitumikia CCM unakuwa sehemu ya ufisadi wa CCM.
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    12. #10
      Kapwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2009
      Posts : 606
      Rep Power : 604
      Likes Received
      78
      Likes Given
      47

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Quote By Mwigulu Nchemba
      Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.
      at last amepatikana mnyiramba anayeweza kuongea hata kama anayoyaongea hayavutiii...nilikuwa naumia sana kuona kule nitokako wabunge huwa wamekaa kama wamepigwa bumbuazi la moyo ......nalaila kiula ulikuwa una ni boa wewe .....angalau kuna mnyiramba 1 controvesho chini ya jua

      liwalo na liwe

    13. #11
      tubadilike-sasa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2012
      Posts : 480
      Rep Power : 464
      Likes Received
      98
      Likes Given
      278

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Quote By Mwigulu Nchemba
      Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.
      Join Date : 11th July 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received0
      Likes Given0

    14. #12
      Honolulu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 720
      Rep Power : 0
      Likes Received
      284
      Likes Given
      0

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Huyo Mwigulu amekutuma umtetee hapa!!? Au unapima upepo? Kama unaona Mwigulu anaonewa kwa nini usiende mahakamani? Povu la nini??

    15. #13
      tweve's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd January 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 474
      Likes Received
      58
      Likes Given
      196

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Quote By mwigulu nchemba
      avanti nakushukuru sana. Kina thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua bot au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba bot? Siwaelewi. Hivi mndanganya mpaka nafsi zenu? Eti nahangaika! I need to set a an example watu waache kutuhumu kila mtu.
      karibu jamii forums bwana mdogo mwigulu

    16. #14
      Mzee wa Rula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 6,361
      Rep Power : 12708
      Likes Received
      2188
      Likes Given
      1819

      Default

      Quote By Mwigulu Nchemba
      Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.
      Hata umepakaziwa lakini huna mvuto katika siasa na kwa jinsi siasa za nchi zinavyokwenda inawezekana kabisa ulishiriki maana hata JK ukimwambia ataje aliwaruhusu kurudisha fedha hawezi kuwataja.

    17. #15
      hovyohovyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th July 2012
      Posts : 487
      Rep Power : 442
      Likes Received
      123
      Likes Given
      38

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Quote By Avanti
      Tanzania yetu inavyoenda ni fedheha sana kuitwa fisadi ama kuhusishwa katika tuhuma za ufisadi ambazo hukufanya. Ukweli Mwigulu akiwa kama mbunge wa jimbo langu ambaye sikumpigia kura sikuwa na sababu kubwa sana ya kuvutiwa naye kama ilivyo kwa Mnyika ambaye nilimpigia kura hapa Dar kwa sababu ya mimi kuwepo hapa kama mpiga kura. Ikumbukwe kuwa mimi na MwanaCCM ila nilimpigia Mnyika kura. Kilichonikera ambacho kinanifanya nirudie msimamo ambao tayari nimeuweka wa kutompigia tena kura Mnyika ni pale aliporopoka tuhuma kuhusu Mwigulu. Ninamfahamu Mwigulu pamoja na kutovutiwa naye ila ni ukweli dhahiri hakuhusika na ufisadi wa EPA. Nimejichukulia kama siku hiyo mimi ndiyo ningekuwa Mwigulu, kwanza ningesimama na kumjibu Mnyika kwa kumtusi kwa hasira ambazo ningekuwa nazo. Mpaka sasa nafikiri ningeshatwangana naye kabisa. Kuna wakati street justice ni suluhu. Ila bahati iliyopo mimi sio Mwigulu.

      Avanti.
      Mbona umehamaki kuliko kumwaga argument?? Hoja yako iko wapi?...Sasa wewe na Mnyika unayemlaumu mnatofautiana??

    18. #16
      Tayseer's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th November 2011
      Posts : 128
      Rep Power : 404
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Napenda sana kuona hoja dhaifu kama hii kuweza kushuhulikiwa kwa haraka wajua ili kuweza kubaini ni jinsi gani kiti kinatumia nguvu za chama kwa kuwa huko nyuma kuna ushahidi mwingi tuu umesha letwa na kiti mpaka hivi leo kimekalia lakini hili la mnyika nimeona kiti kimekimbia sana kuleta matokeo.

      lakini nini tunajifunza kwenye hili hata kama Mnyika alikuwa amekosea ila kuna haya yafuatayo yapo kwenye bunge hili
      1. pale ukweli unapothibitika basi kiti huwa hakitoi taarifa
      2.kiti kipo chini ya chama fulani na si watanzania
      3.kiti kinatumika vibaya kwa manufaa ya chama na si taifa

    19. #17
      Blessing's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2009
      Posts : 261
      Rep Power : 565
      Likes Received
      10
      Likes Given
      0

      Default Re: Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

      Quote By avanti
      tanzania yetu inavyoenda ni fedheha sana kuitwa fisadi ama kuhusishwa katika tuhuma za ufisadi ambazo hukufanya. Ukweli mwigulu akiwa kama mbunge wa jimbo langu ambaye sikumpigia kura sikuwa na sababu kubwa sana ya kuvutiwa naye kama ilivyo kwa mnyika ambaye nilimpigia kura hapa dar kwa sababu ya mimi kuwepo hapa kama mpiga kura. Ikumbukwe kuwa mimi na mwanaccm ila nilimpigia mnyika kura. Kilichonikera ambacho kinanifanya nirudie msimamo ambao tayari nimeuweka wa kutompigia tena kura mnyika ni pale aliporopoka tuhuma kuhusu mwigulu. Ninamfahamu mwigulu pamoja na kutovutiwa naye ila ni ukweli dhahiri hakuhusika na ufisadi wa epa. Nimejichukulia kama siku hiyo mimi ndiyo ningekuwa mwigulu, kwanza ningesimama na kumjibu mnyika kwa kumtusi kwa hasira ambazo ningekuwa nazo. Mpaka sasa nafikiri ningeshatwangana naye kabisa. Kuna wakati street justice ni suluhu. Ila bahati iliyopo mimi sio mwigulu.

      Avanti.
      umetumwa na magamba kusema au una skuli kabisa ebo nipishe wafisadi wakubwa

    20. FemaTV & Radio

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...