Hivi Chama gani kinaitumia Bakwata kama sehemu ya kujitetea na kuingiza Bakwata kwenye mambo haya,mimi ni Muislamu lakini Bakwata inaendeshwa kisiasa.
Hivi Chama gani kinaitumia Bakwata kama sehemu ya kujitetea na kuingiza Bakwata kwenye mambo haya,mimi ni Muislamu lakini Bakwata inaendeshwa kisiasa.
Bakwata wanatumiwa na Magamba
CCM ndiyo imewageuza hawa viongozi wetu wa dini kichaka cha kujipozea, na wala siyo Bakwata tu mkuu! ukiangalia vizuri wapo viongozi wengi wa dini zote wanaotumiwa sana.
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
hawa watu kama vyura. kipindi cha masika (Rais akiwa muislam) utasikia makelele kibao (yasiyokuwa na msingi na nchi haipigi hatua yoyote kimaendeleo;)
kipindi cha mavuno(Rais akiwa Mkristo) husikii kelele za vyura. hapa utasikia 'shiling is gaining strength against $, mambo ya wanafunzi kufaulu kihalali.
CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...
REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha
"Happiness is what you think, what you say, and what you do are in harmony"
Yule Said Mwaipopo aliyekuwa msuluhishi kati ya ikulu na madaktari kwa namna ya kidini, sasa ametangaza kuwapeleka madaktari mahakamani. Jiulize je kweli huyu alikuwa mpatanishi kweli? Au alikuwa kibaraka kinachorimotiwa na ikulu? Mahakamani na usuluhishi wapi wapi?
.
Tatizo mashehe wetu wananjaa sana!na hii inatutia aibu sana sisi waislamu!
"A friend in need,is a friend indeed"
Siku nyingine wakijipendekeza kwa madaktari kuwa wanataka kusuluhisha ni kuwatoa mkuku tu!!! Nani aombe samahani?!!!!
Ov##yooo!!!!!!!
2jadili ukweli wanachokifanza hawa sio haki,je wagonjwa watetewe na nan?madaktar wametetewa na wanaharakati,chadema na maaskofu,serikali imetetewa na ccm je wagonjwa watetewe na nanani?
Nimefurah kuona mtoa mada ni Muislam hivyo inanifanya nichangie free! Ukwel ni kwamba hawa jamaa huwa hawa2mwi ila huwa wanajipendekeza pale wanapoona JK amebanwa, sijui huwa wanadhan ipo ck jamaa atawakumbuka kwenye vijinafas flan! Kiukwel sio sehem ya kaz zao na wanawachanganya waumin wao ikiwemo wee..!
Bakwata ina jiingiza yenyewe kwenye siasa! Wameshindwa kutafuta kondoo.
.
Haikuwa wachungaji ila ni kundi hilo hilo la kina mwaipopo. Hebu mtaje mchungaji mmoja kati ya hao waliomlaani mnyika uone kama ni mchungaji kweli. Ni wajanja tu fulani walionunua koti na tai kisha kujiitangaza kuwa wachungaji. Hawa wako kundi moja na kina Mwaipopo ktk mchongo ili ku-justify dini zote mbili kuhusika.
.
Said Mwaipopo ushehe kaupatia wapi?mm ni Muislam Said Mwaipopo na msopa nawajua vizuri sana ni matapeli wakubwa!kwanza hakuna taasisi ya bahakita ktk uislam haitambuliwi popote wala hawana uhusiano wowote na bakwata!ni watubwa kawaida tu wAnatumika na CCM bila ya kujali km wanautukanisha Uislam!
Nchi ya Magamba inachanganya watu MASHEHE vihiyo, VIONGOZI vihiyo, MAJAJI vihiyo , DHAIFU kihiyo , Mungu tunusuru.
Nianze na Majaji, wametoa order mgomo usitishwe kwa mtu ambaye hakuitisha mgomo , wakasema amekataa AMRI ya mahakama , then badala ya huyo Jaji kuamuru mtu wake huyo akamatwe aletwe kwake, Hakimu wa mahakama ambayo haikutoa hiyo Amri inamshitaki mtu ambaye hakuitisha ngomo kwa order ya mahakama nyingiine. Sasa kama Majaji tunaoona ni wasomi wako hivyo sasa hawa Mashehe wa elimu ya mbinguni unategemea nini ?
kupata cheo bakwata cv yako lazima ionyeshe unamiliki majini kuanzia saba...less than that forget it
Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush
Follow Us Here