Wana Famiiforums kwa miaka mingi bunge letu limekuwa haliwafikii ndugu zetu walemavu wa kutosikia kwa kuwa yule mtu anaewatafsiria pale pembeni hatujawahi kumuona hata kidogo akiwatafsiria hawa ndugu zetu, mfano ukiangalia bunge la kenya wanae mtu anaewatafsiria walemavu wasiosikia. Sasa je hii inakaaje kwa bunge letu la TZ wana jamiiforums, maana tunawanyima haki yao ya msingi kabisa hawa ndugu zetu.

Reply With Quote

Follow Us Here