Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
wanabodi, ni kwa kipindi sasa imekuwa ni dhahili kuwa mwenyekiti wa bunge ndugu mabumba hajui kuongoza bunge, hivi kwa nini anapokalia kiti lazima kuwe na vurugu? ni kwamba hana uwezo? na waliomuweka hapo hawlioni hilo? au ndo yale yale ys Udhaifu? Inakera sana
re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Ameruhusu akili kubwa kutawalliwa na akili ndogo. Kuna siku nilisikia eti naye ana Masters ya Economics. Sijui itakuwa ya chuo gani maana kwa muonekano hata Lusinde anaonekana kasoma kuliko huyu.
If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. Tutu
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Ukitaka kujua kwa nini Mabumba kiti kinamshinda,jitahidi uongee nae live ama umsikie katika mormal talks zake,jamaa ni full corrupt and hupenda sana kujipendekeza na kuridhisha wakubwa,nimewahi kaa nae mahali fulani kwa masaa kadhaa,ni full pumba hujawahi ona.
Ameruhusu akili kubwa kutawalliwa na akili ndogo. Kuna siku nilisikia eti naye ana Masters ya Economics. Sijui itakuwa ya chuo gani maana kwa muonekano hata Lusinde anaonekana kasoma kuliko huyu.
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
By Ikwanja
wanabodi, ni kwa kipindi sasa imekuwa ni dhahili kuwa mwenyekiti wa bunge ndugu mabumba hajui kuongoza bunge, hivi kwa nini anapokalia kiti lazima kuwe na vurugu? ni kwamba hana uwezo? na waliomuweka hapo hawlioni hilo? au ndo yale yale ys Udhaifu? Inakera sana
Mabumba = Mapumba.
what do you expect? tangu lini pumba zikatoa mkaa
“True leadership must be for the benefit of the followers, not the enrichment of the leaders"
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
huwa namfurahi sana akiongoza huyo kumbuba...kwani ndio komedy na mipasho inapoanza huyu jamaa ni dawa tosha ya kuondoa stress mjengoni keepit up mabumba
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Hana sifa, anatumia nguvu baadala ya hekima na busara, nina wasiwasi kama familia yake iko vizuri maana jamaa anaonekana usiku huwa halali anakariri kanuni then asubuhi anakuwa tayari ameshasahau, ana mapungufu.
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Huyo mzee ni juha! pia anamaneno ya kike kama muimba taarabu, nikionaga amekaa kwenye kiti huwa nazima TV yangu, kwa maana ni kero, ili kuepusha akili yangu isivurugike huwa sina hata hamu ya kuangalia mjadala chini ya huyo Mzee!
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Kwa taratibu/kanuni za bunge wanachaguliwa wenyekiti 3 kumsaidia Spika na naibu wake kuongoza vikao vya bunge. Ni lazima mwenyekiti mmoja atoke Zanzibar na angalau mmoja awe mwanamke. Tatizo toka bunge la tisa la Spika Sitta ni mwenyekiti toka Zanzibar. Jamaa alikua anachemsha kama tunavyomuona Mabumba sasa. Sijui jamaa wana matatizo gani,lakini hii ya Mabumba sasa ni zaidi. Huyu jamaa hana uwezo kabisa wa kuendesha vikao.
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Jina lenyewe pumba! Unategemea kupata nini kutoka kwenye pumba? Pia huu ni udhaifu wa kura ndioooo!utadhani hakuna mwenye akili zaidi ya hizo pumba. This country bwana!!
Re: Hivi kwanini Mabumba anapokuwa mwenyekiti wa bunge lazima kuwe na mtifuano?
Tathmini ya Ubora wa Viongozi wa Bunge 2011:
1. NDUGAI, JOB YUSTINO; Amejitahidi sana kukwepa upendeleo wa kisiasa na kuilindaserikali; haoneshi utashi wake kumiliki mamlaka aliyopewa na Kanuni za Bungeanapoongoza vikao. USIKIVU KWA WABUNGE 2.500 UZINGATIAJI KANUNI 2.625 UPENDELEO WA KISIASA 2.5625 UZINGATIAJI HOJA 2.375 USHABIKI BUNGENI 3 JUMLA KIWANGO 13.0625 WASTANI 2.6125 (DARAJA LA TATU)
2 SIMBACHAWENE,GEORGE BONIFACE Msikivu kwa Wabunge haswa wenye HOJA zenye maslahi kwaTaifa; Amejitahidi sana kukwepa upendeleo wa kisiasa na kuilinda serikali;Anayumbishwa na makundi au siasa. USIKIVU KWA WABUNGE 2.125 UZINGATIAJI KANUNI 2.3125 UPENDELEO WA KISIASA 3.28125 UZINGATIAJI HOJA 2.09375 USHABIKI BUNGENI 3.4375 JUMLA KIWANGO 13.25 WASTANI 2.65 (DARAJA LA TATU)
3 MAKINDA,ANNE SEMAMBA ; Imara kwenye kanuni na kuzingatia hoja; Anayumbishwa naushabiki kisiasa; si msikivu kwa wabunge. USIKIVU KWA WABUNGE 3.03125 UZINGATIAJI KANUNI 2.65625 UPENDELEO WA KISIASA 3.46875 UZINGATIAJI HOJA 2.75 USHABIKI BUNGENI 2.9375 JUMLA KIWANGO 14.84375 WASTANI 2.96875(DARAJA LA TATU)
4. MHAGAMA, JENISTERJOAKIM; Anajitahidi sana kuzingatia kanuni; Anayumbishwa na makundi kisiasa; simsikivu kwa wabunge. USIKIVU KWA WABUNGE 3.21875 UZINGATIAJI KANUNI 3.15625 UPENDELEO WA KISIASA 3.5 UZINGATIAJI HOJA 3.53125 USHABIKI BUNGENI 3.3125 JUMLA KIWANGO 16.71875 WASTANI 3.34375(DARAJA LA TATU)
5 MABUMBA,SILVESTER MASELE ; Haoneshi ushabiki wa wazi wa kisiasa; hushindwa kuhimilimivuto ya makundi na upendeleo wa kisiasa; Si msikivu kwa wabunge. USIKIVU KWA WABUNGE 4.25 UZINGATIAJI KANUNI 4.25 UPENDELEO WA KISIASA 3.78125 UZINGATIAJI HOJA 3.90625 USHABIKI BUNGENI 3.25 JUMLA KIWANGO 19.4375 WASTANI 3.8875 (DARAJA LA NNE)
Follow Us Here