nimemnukuu tuu.
nimemnukuu tuu.
Umekosa cha kuandika? Si ungejaribu hata kusoma post nyingine na kuchangia kama ulikua una hamu ya kuandika? Haya mambo ya FACEBOOK sio huku..!!
"Better to be hurt by the truth than comforted with a lie"
Mi namshauri mdee atetee na kero kwenye hayo majimbo ya magamba hapo dar kama segere na ukonga kwani hawana wawakilishi
halma mdee ana dhani kufa ni jambo la mdhaha achukue mfano wa dr sla,mnyika na lema wanavyo piga kelele kulalamikia usalama wa taifa kuwa inataka kuwa ua! bongo hakuna mwanasiasa ambaye yupo tayari kufa kwa ajiri ya watanzania ni wasanii tu hawana lolote!
Follow Us Here