Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.
Mpeni haki yake kwa kumpa BIG UP Mheshimiwa Mchemba kaonyesha uungwana uliotukuka. Mnyika hakuwa na ushahidi hivyo angeishia pabaya kwa vile alikurupuka. Nyie wana CDM muweke ushabiki pembeni na kukiri Mnyika aliteleza kwa kutoa kauli ambayo haikuwa na uhalisia
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.
Huyu Mwigulu Mchembe aache usanii wake. Huu msamaha umeanzia wapi tena wakti yeye ndo juzi alikumbushia kwa Spika kuwa Mhe.Mnyika alikuwa anachelewa kuleta ushahidi katika siku 7 alizopewa na Bunge.
Sasa jana Mhe.Mnyika kaleta ushaihidi ulikowenda shule na Mwigulu ameona mambo yanaweza kumharibikia ameanza kuweweseka. Yeye kama ni wa kusamehe mbona hakutamka siku ileile kuwa hakuhitaji ushahidi kutoka kwa agizo la Spika na biashara ingeishia palepale. Lakini kwa ufinyu wa akili za Mwigulu alikuwa akijidanganya kuwa Mhe.Mnyika hatapata ushahidi!
Sasa ameona ushahidi unaanza kumwendea vibaya anajiwahi na kusamehe!

...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY
Follow Us Here