Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 45
    1. #1
      Aaron's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 207
      Rep Power : 472
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      huu ni ukweli mtupu..serikali inayotoa hati ya ujenzi wa nyumba hiyo hiyo ndiyo inayobomoa nyumba
      kmbise likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,248
      Rep Power : 3039
      Likes Received
      3033
      Likes Given
      4113

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      unampa kibali cha ujenzi,kesho unakuja kumbomolea,keshokutwa anakuburuza mahakamani,halafu unachukua hela ya kodi yangu unamlipa at a hiked price...Pumbavu kabisa!! halafu tunataka kuendelea...labda kuendelea kurudi nyuma!
      kiraia, terabojo and sangija like this.
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    4. #22
      Ghiti Milimo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Posts : 228
      Rep Power : 441
      Likes Received
      27
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Katavi
      Kwani kaongea kuhusu nini tupeni kwa kirefu wengine hatupo jirani na TV.
      Sijajua jamaa kavutiwa na nini.kati ya mengi aliyo yaongelea. Binafsi,kanikosha,jinsi alivyo ongelea nyumba zilivyo bomolewa,ufukweni mwa bahari Dar. Kalalamika,inakuwaje serikali inafanya kazi kwa KUVIZIANA? Iweje jamaa wameachwa kujenga,mpaka ghorofa linaisha,watu wanahamia,yote hayo,serikali inaona,leo hii,wanaenda kuwabomolea huku wanashangilia?

    5. #23
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,056
      Rep Power : 920
      Likes Received
      829
      Likes Given
      0

      Default Re: Wenje ni jembe

      Namshukuru Mungu Kura yangu haikupotea bure. Tulichokutuma umetekeleza, ila ule upande wa pili, Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wana akili lakini hawazitumii, Mungu ibariki CDM ndiyo imebaki kuwa mtetezi wetu. Nyamagana huwa hatuna kawaida ya kurudisha mbunge lakini kwa Wenje 2015 utavunja huo mwiko.

    6. #24
      Mufiyakicheko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 855
      Rep Power : 654
      Likes Received
      82
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By pastor dave
      kaongea point...tatizo utekelezaji wa ushauri wake je utapokelewa na kutekelezwa?

      Ipo siku watawajibika nikodi zetu zinachezewa

    7. #25
      Sheshejr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 433
      Rep Power : 457
      Likes Received
      63
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By CHABURUMA
      Tunakosa uhondo umeme umekwenda zake mgao wa kimya kimya Arusha kuanzia jana.Lol!
      lykwize to mwanza city aisee, hawa magamba majij ambayo hawana chao mbona wanatuharibia sana!

    8. Miaka 50

    9. #26
      ckam's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Posts : 24
      Rep Power : 418
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By christine ibrahim
      Kweli ww unafikiria?
      Teh teh teh, anafikiria hivyo hivyo alivyofikiria! Usipoteze muda wako mkuu na mtu kama huyo!

    10. #27
      Mzee Lupa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 43
      Rep Power : 367
      Likes Received
      6
      Likes Given
      4

      Default Hivi baadhi ya Wabunge ccm wanafikiria kwel?

      Leo bungen wakati Tundu Lisu akichangia maada katika wizara ya ardhi ..amesema serikal ni kuadi wa wakezaji..ambao ni mabepari uchwara..katika kuchangi mmbunge mmja wa ccm akaomba muungozo eti Tundu Lisu ametamka maneno machafu...binafsi nimeskitika sana nikajiuliz hv inakuwaje mtu anayepora ardhi anaitwa bepari uchwara, then kuna watu wanawatetea?..mh Hakika ccm ni Janga la kitaifa..Mungu atusaidie

    11. #28
      sir.JAPHET's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Posts : 608
      Rep Power : 474
      Likes Received
      90
      Likes Given
      43

      Default Re: Wenje ni jembe

      wenje ni mwanaume wa ukweli amethubutu ameweza aanastahili kuendelea kuvaa gwanda

    12. #29
      IbraMwakikoti's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 349
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      Hapo kama mchezo tu...serikali inakupa hati then baadaye inakubomolea nyumba yako kwan hili hawakuliona toka mwanzo..tuanze na wizara husika then tumuangalie mwananchi..

    13. #30
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,793
      Rep Power : 2148
      Likes Received
      1221
      Likes Given
      543

      Default Re: Hivi baadhi ya Wabunge ccm wanafikiria kwel?

      T2015 cdm tutawaacha mbali sana hao wabunge uchwara

    14. #31
      cedrickngowi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th June 2012
      Location : Arusha
      Posts : 118
      Rep Power : 373
      Likes Received
      17
      Likes Given
      23

      Default Re: Hivi baadhi ya Wabunge ccm wanafikiria kwel?

      Actually wabunge wa ccm wanatetea wawekezaji maana wao ndo wanaokula 10pcnt na haya makampuni.Ndio maana hata maana ya muwekezaji haieleweki kwani kama mtu anakopeshwa na serikali mpaka hela ya mishahara na bado tunamuita muwekezaji!Mtu ana matrekta 10 anapewa ekari 10,000 anaitwa muwekezaji.Mwisho wao unakaribia.
      mmbangifingi likes this.

    15. #32
      Jotojiwe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : Tanzania
      Posts : 140
      Rep Power : 389
      Likes Received
      30
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By Sigma
      Cha ajabu nini?
      Si imeamua kubadilisha mawazo!
      ww kama ujalishwa gugulu kengila gugulu kalawa basi system yako inayousiana na mawazo ya kina imekua blocked kwa wakat fulan. Pole sana!
      Sigma likes this.

    16. #33
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 3,670
      Rep Power : 1360
      Likes Received
      885
      Likes Given
      586

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      Siku watalogwa wavunje jengo la tanesko ndo watamjua lowasa ni nani.
      Unaweza kumchezea mtu lakini hawezi kukuruhusu uingize kidole jichoni kwake.
      ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

    17. #34
      MTENDAHAKI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Posts : 512
      Rep Power : 518
      Likes Received
      62
      Likes Given
      68

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      [QUOTE=CHABURUMA;4222916]Tunakosa uhondo umeme umekwenda zake mgao wa kimya kimya Arusha kuanzia jana.Lol![/

      mgao uko rasmi,bado kutangazwa tu!eti ni shinikizo la kuitaka serikali idhamini ule mkopo wa TANESCO

    18. #35
      Asa'rile's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 140
      Rep Power : 375
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      Leo wanakupa kibali ujenge..kesho wamebadilika wanabomoa Ukienda mahakamani kudai HAKI yako, wanamweka Jaji Rwakibarira mwingine, anakunnnnnnnyongereeeeea mbali!
      Maundumula likes this.

    19. #36
      Asa'rile's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 140
      Rep Power : 375
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      Siku watalogwa wavunje jengo la tanesko ndo watamjua lowasa ni nani.
      Unaweza kumchezea mtu lakini hawezi kukuruhusu uingize kidole jichoni kwake
      ....We? wavunje Nyumba ya Bosi wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa NCHI???????
      wataimba kisukuma cha kihaya (Chato)

    20. #37
      mmbangifingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2011
      Posts : 2,568
      Rep Power : 857
      Likes Received
      452
      Likes Given
      2906

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      Vp hali ya Kiwia mbunge mwenzie jjni Mwanza anaendeleaje?
      Who Jah bless, No one Curse!

    21. #38
      MGOGOHALISI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 78
      Rep Power : 425
      Likes Received
      8
      Likes Given
      69

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      Quote By aaron
      huu ni ukweli mtupu..serikali inayotoa hati ya ujenzi wa nyumba hiyo hiyo ndiyo inayobomoa nyumba

      lakini tusisahau pia pamoja na uzembe wa "hawa mabwepande" kuna watu wanapenda sana kuhonga watu wa mipango miji ili wajenge maeneo yasiyoruhusiwa, then wanalalamika kubomolewe, lazima wajue dili haramu huisha kwa njia haramu

    22. #39
      Sigma's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th February 2011
      Location : The 2nd House on the Left
      Posts : 4,258
      Rep Power : 0
      Likes Received
      914
      Likes Given
      613

      Default Re: Live..kutoka bungeni..nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

      Quote By Mpungati
      Wenje = wabunge 300 wa magamba!
      MpungatiBanned


      Ivi ndo sababu ya ban?

    23. #40
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,896
      Rep Power : 3090
      Likes Received
      1329
      Likes Given
      5608

      Default Re: Wenje ni jembe

      Quote By Ston Merchant
      Watu wengi mmefurahi sna kuvunjiwa magorofa na nyumba mbl mbl za vigogo na watu wengine wengi... Hivi karibuni Magufuli alisema jengo la Tanesco Ubungo lazma livunjwe.. okay fine lakini Wenje hpa anahoji: WALIOTOA VIBALI VYA MAJENGO HAYO KUJENGWA NI NANI.! NA WANACHUKULIWA HATUA GANI KMA SIO VISASI NDANI YA CHICHIEMU..??

      Nakubaliana na Wenje 100% kwasababu kubwa 1;

      1. Ni Wizara ya ardhi iliyotoa hati za majengo hayo kujengwa na hzi bomoa bomoa ni visasi tu.

      Kma dhamira ya dhati ya kubomoa ingekuepo basi ata wale wahusika wakutoa hati na vibali hvy lazma wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ikiwemo serikali kwa kujipa Hati na kujenga jengo la Tanesco sehemu isiyohusika.

      Pesa za walipa kodi sasa kuchezea chezea itakua mwiko bila kufanya hvy ni UNAFKI tu utaendelea.........

      nawakilisha...
      Kwakweli inabidi serikali ijipange upya kwenye mambo ya ardhi.

      Hawa waliotoa vibali ndio wangeanza kuoneshwa mlango wa kutokea halafu nyumba kuvunjwa baadae.

      Maana serikali inaweza kupelekwa mahakamani kwa kuvunja kitu kilicho halali halafu hela zetu walipa kodi mabilioni yakaenda kulipa fidia mxxxxm.

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...