Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Najua mnaamini agano la kale, sasa tatizo ni kuwatoa watu utumwani?,kuwaweka watu huru na umaskini, magonjwa nk?. Au unataka asemee tabiri za sheik yahaya (lamli)kuwa mauti yangetufika kwa kumpinga jk?
sheria za jf zirekebishwe..watu wenye upeo mdogo wavuliwe membership,sasa ndo nini hapo?
Wewe unasema hayo, tazama huyu mwenzio anasemaje:
By sweetlady
Nilijua uzi umeletwa na mtu mwenye akili nikafungua haraka daaah!
Na huyu:
By Safari_ni_Safari
Miss Zomba,
Whatever you have been chewing,drinking,sniffing or smoking kindly share with us.....you seem to be highly intoxicated!
Huyu mwenzenu anakiri kuwa hayo ni
By Asa'rile
Lakini hii njemba siielewi-elewi. hizi links za Mwl. Mwakasege ni very deep teachings. Anachokoachokonoaje huku?
.great Zombie!
Nawashangaa, maneno yangu mimi ni haya tu "Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya".
Ni kipi kilichowakwaza? Nimebandika maneno ya Halima Mdee nikaweka na mafundisho "very deep" ya Mwakasege, sijatia langu zaidi ya heshima na kumpa ahsante Mheshimiwa Halima Mdee. Unajuwa mnashangaza sana mnapokurupuka na kupinga ambacho hata sijui mnapinga nini? nawauliza, mnapinga maneno ya Halima Mdee? au ya Mwakasege au Ahsante yangu?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
zomba,mkuu udini ni sehemu yako ya maisha?Kazi kweli kweli
Kuna neno langu hata moja hapo linaashiria udini? kuwa mkweli kwa nafsi yako, mimi nime m"quote" Halima Mdee kama ilivyo humuhumu JF na hiyo hotuba imebandikwa humu na Makene. Kwanini unishutumu mimi? au niliposema "kwa heshima" na "ahsante Halima Mdee" ndio udini? sikuelewi.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Kuna neno langu hata moja hapo linaashiria udini? kuwa mkweli kwa nafsi yako, mimi nime m"quote" Halima Mdee kama ilivyo humuhumu JF na hiyo hotuba imebandikwa humu na Makene. Kwanini unishutumu mimi? au niliposema "kwa heshima" na "ahsante Halima Mdee" ndio udini? sikuelewi.
Pro-CDM wakiona Id zomba hata kabla ya kusoma lazima moto uwake
Kuna neno langu hata moja hapo linaashiria udini? kuwa mkweli kwa nafsi yako, mimi nime m"quote" Halima Mdee kama ilivyo humuhumu JF na hiyo hotuba imebandikwa humu na Makene. Kwanini unishutumu mimi? au niliposema "kwa heshima" na "ahsante Halima Mdee" ndio udini? sikuelewi.
Najua mnaamini agano la kale, sasa tatizo ni kuwatoa watu utumwani?,kuwaweka watu huru na umaskini, magonjwa nk?. Au unataka asemee tabiri za sheik yahaya (lamli)kuwa mauti yangetufika kwa kumpinga jk?
Hayo yako wewe, mimi nimempa Ahsante Mheshimiwa Halima Mdee, hivi kumpa ahsante Mbunge aliyewasilisha mada vizuri na nikamnukuu bila kuongeza langu ni kosa? Au ndio kama anavyosema huyu:
By Lynix
Pro-CDM wakiona Id zomba hata kabla ya kusoma lazima moto uwake
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Bado hujajibu hili unaendelea kunishutumu, au wewe ndio mshari? raha ya forums ni useme ulipokuwa mshari ni hapa na hapa na hapa, sasa bila kunionesha ntajirekebishaje, tafadhali nioneshe u wapi ushari wangu, naomba usiliogope jina tu, nioneshe kwenye haya maandiko yangu kwenye hii nyuzi.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Context ni hii hapa, ni wapi nilipokuwa "mshari" tafadhali nifahamishe:
"Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:"
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Ni kipi hujakielewa ili nikufahamishe nnapoweza. Naomba soma vizuri posts zangu utanielewa tu na utapoona hujapaelewa nijulishe, ndio raha ya forum.
zomba vipi kuhusu hili? Rais ambaye JK anaweza kujipima naye ni Ali Hassan Mwinyi labda na Mkapa kidogo. Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwaraxxd, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu.

Muulize aliyeandika, mimi nimekuuliza ni wapi mimi mshari? mbona unarusha? unabandika post ambayo sio yangu halafu unaniuliza vipi?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Pamoja kuwa mimi ni mwislam lakini mwenzetu hapo umepotosha, ukifurahishwa na usemi kwenye kitabu cha dini waweza kuutumia. Ndo maana watu wengi hata si waislam inshallah nk. Hiyo akili chafu mnayoitumia CCM imepitwa na wakati, kila chama kinachokuja juu mnakizushia udini kama mlivyo izushia CUF na watanzania wapumbavu wakaamini kuwa ni cha dini. Waislam wenzangu, nawaomba msiwaamini wahuni kama kama hawa, hakuna chama chochote Tanzania kinawezashinda kwa kupitia udini. Pamoja kwamba Halima mdee ni mwislam mwenzetu lakini bado huyu jamaa anajitahidi kuunga hoja isiyo na maana. Watanzania tusonge mbele pamoja, udini tuushinde tubadirishe nchi yetu. Allahu akbar
Follow Us Here