Tetesi ambazo bado naendelea kuzifuatilia ni kuwa specialists doctors wa muhimbili wameanza ku-resign kuonyesha kutoridhishwa kwao na mwenendo mzima wa jinsi serikali inavyoshughulikia swala la madaktari hususani kuwafukuza na kuwafutia usajili intern doctors... nimetaarifiwa kuwa mpaka sasa Daktari bingwa wa upasuaji watoto (paediatric surgeon) pekee aliyepo muhimbili, Dr. Mng'ong'o ameamua kajiuzulu......
Aidha specialists wengine bado hawajafanya hivyo, wako katika mgomo baridi.......
Tusubiri tuone how the event will unfold

Reply With Quote


Follow Us Here