Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    Report Post
    Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast
    Results 141 to 160 of 169
    1. #1
      Haki sawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd October 2007
      Posts : 414
      Rep Power : 953
      Likes Received
      348
      Likes Given
      1

      Default Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

      But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
      “Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I’m doing my work as guided by principles and procedures,” Mr Zoka said



      maswali ya kujiuliza;
      1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
      2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
      3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

      Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,


    2. #141
      damn's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2010
      Posts : 407
      Rep Power : 555
      Likes Received
      15
      Likes Given
      43

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Quote By Ndibalema View Post
      Huyu Zoka ni mara ya pili anajitokeza na kujibu tuhuma za Chadema. Nakumbuka mara ya kwanza ilikuwa ni baada ya uchaguzi wa 2010.

      na bado anajiita mwanasiasa ilhali ni mjumbe wa CC na NEC ya ccm
      Without a possibility of change in meanings human communication could not perform its present functions.

    3. #142
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Ah,,,,,haya bhana zoka or nzoka

    4. #143
      rebule's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 13
      Rep Power : 366
      Likes Received
      2
      Likes Given
      7

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      It has come a time when silence become a betrayal~ Martin Luther King Jr.
      when u remain neutral in the situation of injustice, u have chosen the side of the oppressor; Archbishop Tutu

      Kama kweli anaijua kazi yake, atuambie ilikuwaje ndege ya kijeshi imetoka nchi nyingine ikaja ikabeba Twiga na kuondoka bila serikali kujua na inakuja kujua kupitia wabunge? Yeye kama mkuu wa Usalama wa Taifa alikuwa anajua au alikuwa hajui? Na kama alijua alichukua hatua gani kulizuia lisifanyike? Anyamaze kimya ache mahoka. Anachefua.

      akimaliza jibu hilo na pia atuambie USALAMA WA TAIFA NI NINI NA UNAFANYA KAZI ZA KUWADHIBITI wanaoipinga serikali na maovu yake tu?

      Je, anaweza twambia alikuwa wapi kama kweli anaijua kazi yake KAGODA, MEREMETA, RICHMOND, EPA, MAGOROFA PACHA, BUZWAGI, MCHUCHUMA, NK. VINATOKEA???

      NINGEWASHANGAA SANA VIONGOZI WA CHADEMA KAMA WANGEKWENDA KUTOA MAELEZO POLISI. HIVI SERIKALI ILIMUHOJI DR. MWAKYEMBE? SAMWEL SITA ALIVYOSEMA MWAKYEMBE KALISHWA SUMU WALIMUHOJI? MENGI ALIVYOMTAJA POLISI FLANI KUWA ALITAKA KUMUWEKEA MWANAYE MADAWA YA KULEVYA WALIMUHOJI? NA KAMA JIBU NI NDIYO, NI HATUA GANI WAMEZICHUKUWA DHIDI YA WAHALIFU AU DHIDI YA MWAKYEMBE, MENGI & SITA? AU KWAKUWA HAWA NI CHADEMA??? ALUTA KONTINUA CDM.

      WAMESAHAU KILICHOWATOKEA WAPAMBE WA BINGU WA MUTHALIKA MALA TU MAMA JOYCE BANDA ALIVYOKIKALIA KITI EEEH!!! SIMAANISHI CDM IKIINGIA MADARAKANI IWALIPIZIE KISASI, BALI NAJARIBU KUWAASA WATU JAMII YA SIJUI NYOKA AU NZOKA WASILEWE MADARAKA.


    5. #144
      Liwalo-na-Liwe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th July 2012
      Posts : 13
      Rep Power : 352
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Quote By liwalo na liwe View Post
      wewe ni rais wa migomo isiyokuwa na tija, na unaonyesha jinsi ambavyo huendani na wakati, unashindwa hata kuchambua hali ambayo nchi yetu inayo kwa sasa, unashindwa kuelewa hata maisha tuliyonayo watanzania wa chini. Nikizisoma comments zako naweza kuku-define katika perspectives nyingi sana. kama sio mshirika wa chama tawala basi wewe ni shabiki usiejua mwelekeo wako. Hali ambayo tanzania inayo leo haihitaji maoni ya watu design yako. Muda sio mrefu watu watakuwa wanashindia chai isiyo sukari. Leo mtanzania anakula mlo mmoja bado unawashabikia hao jamaa zako wanaosababisha ugumu wa maisha. Sijui kuhusu elimu yako maana navyozidi kuifikiria tanzania ya leo ilivyo kulinganisha na rasilimali zilizopo na nikiangalia comments zako nazidi kupata tafsiri mbaya juu yako, ila ntendelea kukuchambua kadri utakavyoendelea kutoa hoja dhaifu namna hiyo. Haya tiss wameshakuwa mawakala wa ugumu wa maisha ya watanzania, kila mtu anaekuja na solution kuhusu maisha mazuri anakuwa ni adui yao. Angalia maisha wa watanzania then ufikirie ndo utoe comments zako unakera

      sina chama cha siasa niponipo kwanza, nafanya shughuli zangu zinaniingizia kipato halali nimeajiri vijana saba wote graduates wa hapa nchini. Maoni hayo yalikuwa mtazamo wangu tu, sijapenda unavyoni-force kuamini unachoamini. Nimeichangia ccm na chadema kwa nyakati tofauti, sijui mwenzangu mchango wako kwa jamii ni upi. Elimu yangu ni shahada mbili, moja niliipata nchi ya ulaya magharibi na ya pili urusi. Napenda michezo, ninao mkanda mweusi wa karate katika temple la shaorinji. Asante

    6. #145
      wa kupuliza's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 53
      Rep Power : 363
      Likes Received
      5
      Likes Given
      3

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      TISS,FBI,MOSSAD they are very contraversial govt organs........!samtymz m cielewagi hata kazi zao n nn hasa!


    7. #146
      MAKOSHNELI's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Location : DAR ES SALAAM,JUBA,MTWARA,PARMA MOZAMBIQUE
      Posts : 134
      Rep Power : 439
      Likes Received
      95
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Haki sawa View Post
      Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

      But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
      “Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I’m doing my work as guided by principles and procedures,” Mr Zoka said



      maswali ya kujiuliza;
      1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
      2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
      3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

      Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,
      kitu watu wasicho kijua ni hiki Ndani ya TISS HAKUNA CHEO CHA NAIBU MKURUGENZI! Kama huyo bwana anayejiita jina bandia la "JACK ZOKKA" anavyodai!

    8. #147
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,819
      Rep Power : 1617
      Likes Received
      988
      Likes Given
      29

      Default

      Quote By MAKOSHNELI View Post
      kitu watu wasicho kijua ni hiki Ndani ya TISS HAKUNA CHEO CHA NAIBU MKURUGENZI! Kama huyo bwana anayejiita jina bandia la "JACK ZOKKA" anavyodai!
      Tanguu alioanza kujittokeza kwenye vyyomb vya habari pale Southern Sun.....ameshusha heshima yay idara.........principles gani za intelligence anafuata yeye..

    9. #148
      MAKOSHNELI's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Location : DAR ES SALAAM,JUBA,MTWARA,PARMA MOZAMBIQUE
      Posts : 134
      Rep Power : 439
      Likes Received
      95
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Haki sawa View Post
      Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu yafuatayo;

      But in a quick rejoinder, Mr Zoka dismissed the allegations, saying that Chadema officials were just playing politics and he would ignore them since he was not a politician but a civil servant working for a State organ.
      “Dragging my name into their claims is sheer nonsense…. all these people are doing is play politics by way of looking for easy punching bags. I’m doing my work as guided by principles and procedures,” Mr Zoka said



      maswali ya kujiuliza;
      1. Kanuni zinasema je kuhusiana na ni nani anapaswa kuongea na vyombo vya habari
      2. Ametoa wapi mamlaka ya kutoa tamko kama kanuni hazimpi ruhusa
      3.Kwanini kajitokeza haraka hivyo wakati Mkuchika ambaye ni waziri wake kasema kuwa jambo hilo ni kubwa na haliwezi kusemewa semewa ghafla.

      Ninavyoona huyu jamaa anaharibu heshima ya Idara , na ndio maana CDM wanaweza kuipata mipango yake na kuiweka hadharani ,
      kitu watu wasicho kijua ni hiki Ndani ya TISS HAKUNA CHEO CHA NAIBU MKURUGENZI! Kama huyo bwana anayejiita jina bandia la "JACK ZOKKA" anavyodai!

    10. #149
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      ufisadi wa ajira wilaya ya ilala.

      SALUMU KAZUKAMWE ni afisa manunuzi wa wilaya ya ilala,huyu jamaa aliajiriwa kupitia mlango wa nyuma ie kwa rushwa na alibebwa na katanga ambaye sasa ni katibu mkuu wa TAMISEMI, ajira haikutangazwa popote kinyume na taratibu za ajira serikalini.jamaa ali push kwa kumhonga mkurugenzi wa wilaya ya ilala tsh laki sita.

      salum maarufu kwa jina la KAZU aliiba pesa za misaada ya waathirika wa mafuriko ya jangwani akanunulia gari aina ya suzuki vitara nyekundu.

      wanatanuru,tuimulike kwa macho mawili halmashauri ya manispaa ya ilala kuhusu ajira za mlango wa nyuma.



    11. #150
      mchillo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th October 2010
      Posts : 362
      Rep Power : 517
      Likes Received
      115
      Likes Given
      181

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Quote By rais wa migomo View Post
      Chama cha siasa kujiingiza kwny malumbano na vyombo vya ulinzi na usalama ni dalili za kupoteza mwelekeo
      Ni vyombo vipi vya usalama? hivi vilivyochakachuliwa na kufanya kazi kama matawi ya CCM na kutekeleza mateso na mauaji kwa wananachi walioviweka? Kama kuna wakati hivyo "Vyombo vya usalama" vimepoteza jina ni katika awamu hii ya nne, vimejiingiza katika tope la uchafu wa kisiasa na sasa vinahunya hunya kujinasua bila ya uwezekano wa kufaulu! Usalama wa Taifa umekuwa janga la Taifa kwani taifa limepoteza uhai, mali na amali bila ya kulisaidia kama walivyopaswa. Hebu tujikumbushe machache:
      i. Walihusika kuwahujumu wawakilishi wa umma ambao kimsingi ndiyo waajiri wao mfano mmoja ni pale walipowategea vinasa sauti vyumbani walimokuwa wakilala wabunge wa upinzani!
      ii. Walijitumbukiza kutumika katika Kampeni za kisiasa ambapo magari yao yalibadilishwa namba tu na kutumika na familia ya mgombea wa CCM!
      iii. Walihusika, pamoja na vyombo vingine kama Polisi na hata JWTZ kucheza faulo kadhaa kwa niaba ya CCM kubadili matokeo ta utashi wa wananchi!
      iv. Wamezubaa bila kuchukua hatua za maana kulinda maslahi ya taifa wakati genge la vibaka katika chama tawala lilipovamia na kufanya uharibifu mkubwa kwenye asasi kadhaa kiuchumi kama vile wizi wa EPA kufanikiwa bila ya vinavyoitwa "Vyombo vya usalama" kuchukua hatua wala kuzia!
      v. Vimezubaa bila kuchukua hatua wakati taifa likiingizwa mkenge kwenye mikataba ambayo hata kijana wa darasa la saba angegundua hila za kuliangamiza taifa na kuzishtukia!
      vi. Vimezubaa hadi vibaka ndani ya serikali hizi corrupt kutorosha matrillioni ya fedha na kuwaacha wananchi (Waajiri wa hawa "Vyombo vya usalama") kuangamia kwa umasikini licha ya utajiri unaowazunguuka!
      vii. Wamekuwa wakishangaa shangaa bila ya kuchukua hatua angalau za kuzuia uhamishwaji wa rasilimali za nchi hata pale genge la wahuni na mafisadi papa ndani ya serikali walipokuwa wanatorosha wanyama hai kama Twiga!
      viii. Wamehusishwa (mara kadhaa kwa ushahidi mzito) na mateso na vifo vya raia wasio na hatia waliofanyiwa vitendo vinavyoweza kuvutia uchunguzi wa kimataifa baadae kama kumwagiwa tindikali, kutekwa, kutengenezewa ajali baadhi ya watu waliosimama hadharani kupinga uharamia wa CCM!
      ix. Wamehusishwa na vifo vya wanasiasa na mashabiki wa vyama pinzani na vyombo hivyo vya usalama vimeshindwa kabisa kuwalinda viongozi wa upinzani wawe wabunge, watetezi wa haki za raia au wanachama wa upinzani!
      x. Vyombo vyetu vya usalama vimelitia taifa doa kubwa pale wanaharakati wa haki za kiraia walipoomba msaada wa ulinzi toka asasi za kimataifa ama UN na Amnesty International.

      Kwa haya na mengine mnayoweza kuongezea wananchi kweli ipo haja ya kuwa nao vidudu mtu hawa?

      Heri ujinga wa mtu mzima kuliko busara za kichaa

    12. #151
      Msalagambwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2012
      Posts : 574
      Rep Power : 464
      Likes Received
      188
      Likes Given
      557

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Kuna ukweli wa kimazingira kwamba.

      CCM wants CDM ngangari leaders dead and UWT is at their dispose.

      Nani ni mzuri Tanzania wa kuua kisirisiri zaidi ya UWT??

    13. #152
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,974
      Rep Power : 1540
      Likes Received
      755
      Likes Given
      238

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Quote By Mwita Maranya View Post
      Na vyombo vya ulinzi na usalama kujiingiza katika masuala ya siasa chafu zenye lengo la kuwadhuru viongozi/wanachama wa chama cha upinzani kwa faida ya chama kinachotawala ni dalili za wazi kabisa za kupoteza mwelekeo na kushindwa kuwajibika kwaajili ya Taifa.
      Wangekuwa kweli wanafanya kazi kwa kufuata kanuni sheria na taratibu za TISS, hivi leo wale wote waliomdhuru Mwakyembe wangejulikana na pia kashfa za EPA, RICHMOND na kadhalika zisingetokea!!Hivyo basi kwavile sasa hivi hawafanyi kazi kulingana na sheria kanuni na taratibu ndio maana wanafanya vitendo vya kuwadhuru raia wanaopaswa kuwalinda!!

    14. #153
      Ipycalypse's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Location : Mjini hapa
      Posts : 1,191
      Rep Power : 646
      Likes Received
      249
      Likes Given
      148

      Default Jack Zoka.

      Tangu nilipoanza kusikia hili jina kichwani kwangu napata hisia ya video ya kutisha. Labda wakuu mkisikia hili jina hisia gani zinawapata?

    15. #154
      Sigma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2011
      Location : The 2nd House on the Left
      Posts : 4,445
      Rep Power : 1374
      Likes Received
      988
      Likes Given
      658

      Default Re: Jack Zoka.

      Quote By Ipycalypse View Post
      Tangu nilipoanza kusikia hili jina kichwani kwangu napata hisia ya video ya kutisha. Labda wakuu mkisikia hili jina hisia gani zinawapata?
      Hisia za kutapika wali maharage baada kupiga ulabu wa kutosha.
      ...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY

    16. #155
      Baba Hellen's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd July 2012
      Location : TANGA
      Posts : 438
      Rep Power : 0
      Likes Received
      39
      Likes Given
      18

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      huu ni usalama wa ccm is not taifa kwanza rekebisheni hiyo alafu ndio tuongee

    17. #156
      thinktank's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th March 2008
      Posts : 132
      Rep Power : 602
      Likes Received
      6
      Likes Given
      4

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Mmejaribu kuandamana na kugoma mmeona bado nchi iko salama mmeamua kuhamishia mashambulizi yenu kwa vyombo vinavyosimamia usalama wa nchi yetu? Hamtafanikiwa kwa hila zenu

    18. #157
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,614
      Rep Power : 46736
      Likes Received
      16716
      Likes Given
      8547

      Default Jack Zoga anabebeshwa zigo lisilo lake; Hili ni la RO

      Kwa kweli sitaki kujua kwanini Jack Zoka anabebeshwa zigo lisilo lake. Nililiona hili wakati wa Uchaguzi Mkuu, na baadaye katika kuhusishwa kwake na wanasiasa wa upinzani na sasa tena anapotajwa kwenye suala la Ulimboka. Ukweli ni kuwa Jack Zoka hana nguvu hizo ndani ya TISS; mtu pekee ambaye anatakiwa kubebeshwa lawama za yote yanayotokea na kuhusisha maajenti wa TISS ni Mkurugenzi wa TISS. Huyu si mwingine bali ni RO...

      Ndiye anatakiwa kuwajibishwa kwani ndiye mwajiri wa maajenti wa TISS na ni yeye pekee anayeweza kuwawajibisha! Ikumbukwe kuwa maajenti wa TISS hawako kwenye "civil service" na hivyo hawaangukii chini ya uongozi wa Katibu Mkuu kiongozi.
      [email protected]
      The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

    19. #158
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,758
      Rep Power : 1931
      Likes Received
      1609
      Likes Given
      684

      Default Re: Jack Zoga anabebeshwa zigo lisilo lake; Hili ni la RO

      Hao wengine wanajificha lakini jack zoka ukimbelembele wake ndio unamponza anakimbilia kwenye vyombo vya habari utafikiri TISS Mali yake
      solokondo likes this.

    20. #159
      Azipa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th March 2012
      Posts : 933
      Rep Power : 552
      Likes Received
      226
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Precise pangolin View Post
      Hao wengine wanajificha lakini jack zoka ukimbelembele wake ndio unamponza anakimbilia kwenye vyombo vya habari utafikiri TISS Mali yake
      A prudent man sees evil and
      hides himself, The naive
      proceed and pay the penalty. MITHALI 27:12

    21. #160
      NG'ONGOVE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th April 2012
      Posts : 151
      Rep Power : 5172
      Likes Received
      19
      Likes Given
      13

      Default Re: Majibu ya Jack Zoka yana utata!

      Quote By Said Bagaile View Post
      Kama kweli anaijua kazi yake, atuambie ilikuwaje ndege ya kijeshi imetoka nchi nyingine ikaja ikabeba Twiga na kuondoka bila serikali kujua na inakuja kujua kupitia wabunge? Yeye kama mkuu wa Usalama wa Taifa alikuwa anajua au alikuwa hajui? Na kama alijua alichukua hatua gani kulizuia lisifanyike?

      Anyamaze kimya ache mahoka.

      Anachefua.
      Akimaliza kujibu hilo ajibu na hili inakuaje makampuni makubwa yanayochimba madini na gas yanaliibia taifa mabilioni ya dola kwa mikataba ya kimangungo na ukwepaji wa kulipa kodi mpaka mataifa ya nje yanagundua, mfano PAN AFRICA, wenyewe wakiwa wamezidiwa na ndoto za ccm kutawala milele.
      Lakini hakika mapambano haya ya ukombozi wa taifa letu hawawezi kuyakwamisha hata kwa umafya wanoufanya.
      KUMBUKA SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU, hakuna aliyewahi kushindana na MUNGU akashinda.

    Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...