Vita ya makundi inaitafuna CCM. Je nani atakuwa mgombea wao 2015
Vita ya makundi inaitafuna CCM. Je nani atakuwa mgombea wao 2015
Shikili rais kwa tiketi ya magamba atagombea BENARD MEMBE
sina chuki nae simfahamu nazungumzia tabia na hulka yake
Hakuna rais toka ccm 2015, hilo utambue tunataka mabadiliko. Kama huna hoja kaa kimya.
2015 no any president from chama cha magamba, nikisikia neno CCC nahisi kutapika wapendwa.
Rais kutoka upinzani hata akiwa jiwe,kibuyu,fisadi,takataka, 2015 will be our "time for change!" CHANGES ARE INEVITABLE!!!!!!! WE NEED NEW TANZANIA WITH NEW CONSTITUTION,NEW PEOPLE,NEW POLITICS,VISION,MISSION,NEW LEADERS WITH NEW THINKING VISIONARY NOT REVOLUTIONARY IDEAS WHO CAN LEAD US TO GOOD FUTURE AND TO MOVE THIS COUNTRY INTO NEXT CENTURY WITH POSSIBILITIES OF PLENTY,WEALTHY NOT IMPOSSIBLES TO SMALL THINGS LIKE PAYING GOOD SALARIES TO ITS SERVANTS .![]()
THE FUTURE ALWAYS START TOMORROW AND NOT TODAY
mwigulu au ahmed msangi
Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nyie tabirini weee, but hiyo kutabiri kwenu mwaka huu rais wa Chama Cha Mazuzu, anatakiwa atokee visiwan kwa mujibu wa kila njia,,, sasa hapo akili kichwan mwenu mutabir vizur 2
I will vote 4 change i don't care WHAT YOU WILL VOTE 4...!!!!
Liwalo na liwe........majibu tafadhali kwa kifupi mheshimiwa.
We ibange, ibangi kweli yaani aibu yote ile ilomkumba ya EPA na RICHMOND dhan CCM waendelee kumueka 2, c kwa7bu hawawezi ila khofu yao CHADEMA, watakua washapata bonge la point, na km watamuweka LOWASA Ni udhaifu pia kwa CCM, Ila kwa upendeleo mwaka 2015; mgombea ni Mwanamke, nyie hamjajiuliza et kwanini A ROSE MIGIRO karud Tanzania, tena kwakupenda, jiulizen je! Amechoka pesa za UN aU Anataka kujiongezea sifa na umaaruf kwa kuwa Rais wa Tanzani?????
Abdallah kigod
Mwigulu Nchemba
Ni zamu ya Zanzibar:
-Shamsi Vuai Nahodha,
-Amani Abeid Amani Karume.
MALARIA SUGU ( MS) , 2015 ndio chagu la CCM
They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown, Phd- Houston Texas July 23, 2012
Bilal gharib.
CHADEMA ikijipanga itatoa Rais 2015.
Follow Us Here