Mh: tokea ulipoteuliwa uwaziri kamili hujaongea tena suala lako binafsi la kupewa sumu,kwetu sis wananchi tupo njia panda.
Mh: tokea ulipoteuliwa uwaziri kamili hujaongea tena suala lako binafsi la kupewa sumu,kwetu sis wananchi tupo njia panda.
alisha wapa ripoti hiyo vijana wa Mwema, lakini wanaogopa kuiweka hadharani.
Hakupewa sumu huyo ni magonjwa yake yalikuwa yana msumbua na njaa njaa zake za kutaka uwaziri
keshaukwaa uwaziri ripoti ya nini...sasa ni zamu ya kutafuna mema ya nchi kwenye hii nchi inayotiririka maziwa na asali
Nani ampe sumu huyu mnafiki? Huyu alikula dege lisiloliwa.
Follow Us Here