Nimefurahishwa sana na kiongozi na Raisi wa Marekani wa USA kutumia basi;
Mfano kwenye maonyesho wabunge au kiongozi wa nchi akitumia basi ataokoa shillingi ngapi
Nimefurahishwa sana na kiongozi na Raisi wa Marekani wa USA kutumia basi;
Mfano kwenye maonyesho wabunge au kiongozi wa nchi akitumia basi ataokoa shillingi ngapi
Usikurupuke, hili ni basi maalum kwa ajili ya kampeni, wala sio kwamba analitumia kwa safari zake za kikazi za kila siku!
Kuna tatizo gani wabunge wkija Dar es salaam kwa basi
au kiongozi wa juu kwenda kwenye ufunguzi au sherehe za saba saba kwa basi ; ataokoa mafuta kiasi gani; na basi moja linabeba watu 45 ; wkt angeenda na gari ndogo 20; parking matatizo; think before you urge uchumi wa dunia unateteleka tufunge mkanda kuanzia viongozi
unajua thamani ya hilo basi wewe! ile ya radar na ndege ya rais ni cha mtoto,,,hapo hatutakula nyasi tutakula mavi!
Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.
Kaka hapo umekurupuka. Hilo basi dhamani yake ni karibu BWM unazosema wewe 5.
Changudoa mwenye wivu a.k.a Jambazi lenye huruma
Hilo sio sawa na basi la Kendal kijijini kwenu
We ndo umekurupuka aiseee
Be careful what you wish for. Hilo basi na Obama lime cost $1.3 million.
basi hilo ni la kampeni. Kumbuka Rais wa Marekani hafanyi ziara za kukagua miradi ya maendeleo. hapa huwa anaenda mkoani kufungua tawi ya chama cha Ushirika!
There is a thin line between madness and creativity
Mkubali mkatae matumizi ya rasilimali za Tanzania ni mabovu sana!
Msafara wa raisi wa Tanzania sio chini ya kilimo kwanza 20! Landrover na landcruiser za polisi usiseme!
Do we need those cars! Kwa ulinzi wa JK kwenda kwenye maonyesho sabasaba kusalimiana na wadada wa kizungu?
Acha shughuli za kiuchumi zinazokwamishwa kufunga barabara eti raisi anapita.
Tunatumia nguvu kubwa sana tukihisi tuna maadui wengi sana wa raisi wa nchi hii dhoofu!
Wewe unadhani hilo basi la rais wa Marekani ni kama basi la Najmunisa? Unacheza wewe....
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Follow Us Here