Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.

Reply With Quote


UOTE=Mwiba;4192895]Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.[/QUOTE]
Follow Us Here