Mgomo wa madaktari unasonga walimu walikwishaufanya huu
SOURSE: itv
hivi? mnajua madaktari wakiwa wamerejea bado matatizo yatakuwa mabaya zaidi,
tukio hili lilishafanywa na walimu walivyotangazza mgomo, na kusalititiwa na baadae tukashuhudia wanafunzi wakimaliza hawajui kusoma na kwenye mitihani yao wakiandika mistari ya bongo flava, huku wengine wakichora picha.
chukua hatua
I only offer an opinion someone don't f**k with me . It's important to be a good listener, and that means you shut your mouth and let other jf member talk.
Re: Mgomo wa madaktari unasonga walimu walikwishaufanya huu
Mimi nimepita hospitali za mikoa kama nne hivi.Wa TZ tusijindanganye madaktari hawafanyi kazi japo utawaona wapo maeneo ya kazi na wanaingia chumba hiki wanatoka chumba kingine. Ukiuliza utaambiwa kuna kikao cha utendaji. Na hata ukikuta daktari amekubali kukusikiliza atakupanngia tarehe ya operation mwezi wa 10/2012.Ukiuliza doctor mbona umenipangia mbali sana. JIbu utaambiwa tuna subiri mashine kutoka wizarani. Jamani mgomo huu ni mbaya sana, bora hata wale madaktari ambao hawafanyi kazi kabisa. SULUHU ya tatizo hili Kila mkoa wananchi tuingie barabari kuandamana kuishinikiza serikali isiypo sikia kumaliza tatizo hili. So sad.
Re: Mgomo wa madaktari unasonga walimu walikwishaufanya huu
By mwenyenchi
Tuingie barabarani wananchi maana naona serekali inataka kututoa kafara
hapo umesema kweli, waalimu wanaopata mshahara robo wa ule wa daktari, polisi na wengine wanaopata mshahara chini ya laki tano waandamane ili madaktari waongeweze mishahara wapate mamilioni lakini wao wabakie tu na chini ya laki tano..usifikiri kila mtu hapa tz ana akili fyatu kama wewe. madoctor wenyewe walevi tu na waiba madawa yetu kupeleka kwenye maduka yao....hawana akili....kwa doctor mwenye akili, asingegoma kabisa, ila angefanya kazi zake kama kawaida na angetumia profession yake kupata pesa nyingi sana hapa tz...kama wameshindwa kazi waachie tu, tutaajiri wengine.....kwanza mkiwaongeza mishahara ndo hata kazini hawata kuja watashinda bar, wanaongoza kwa ulevi hawa ujue.
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Re: Mgomo wa madaktari unasonga walimu walikwishaufanya huu
Tumechukuliwa MSUKULE na serikali ya CCM, wachache kati yetu wameanza pata fahamu.
tatizo tulilo nalo wananchi wa Tanzania ni kukaa na kusubiri shujaa aje kutukomboa.
Tutasubiri mpaka tuoze,huyo shujaa tunaye msubiri aje atukomboe si mwingine ni mimi na wewe.
Follow Us Here