VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka
Hii ni Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya America (VOA) imetanabaisha kuwa mgomo upo na vyumba karibia vyite vya kutolea huduma vilikuwa vimefungwa na wagonjwa wamekiri kuwa wale wa operarion na huduma nyingine hakuna aliyepata huduma na madaktari wapo ila wanadai wako busy na wengine wanadai wanafanya mitihani.
Wakati huo huo wagonjwa waliokwenda Muhimbili wamezidi kuongeza vifo vya wagonjwa waliopo na wanaofika Muhimbili kupata huduma
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Serikali dhaifu ya chama dhaifu inatumaliza watanzania kwa kuleta porojo kwenye mambo ya msingi.
chama dhaifu hutokana na taifa dhaifu,udhaifu wa ccm ni kiashiria cha udhaifu wa taifa letu. mwenye macho akikubali kuongozwa na kipofu tatizo liko kwa nani?
pole sana elii,mpelekeni private amasivyo ataendelea kuteseka muhi2 national dispensary
mh, spika aliwahi kusema "waziri mkuu hawezi kusema uongo". ni sawa na kusema tanzania inaongozwa na malaika. rais amesema serikali haiwezi kutenda maovu. kweli serikali haina dini na ndiyo sababu inahalalisha uongo. poleni sana mnaougua.
Re: VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka
Kama kawaida.
Kusema ukweli, ni jiwe mathubuti linalowalemea mabegani mwenu. Uongo, mahali mnaposimama na kujikita ni jiwe la barafu.
Saa i karbu mtatwezwa na uzito wa ukweli nyonga zenu zitanyong'onyea, wote mtaangamia kwa kiburi chenu.
By Tume ya Katiba
Hakuna hoja ya kujadili hapa.
Mgomo umeisha tujenge taifa, pia tutenganishe siasa na taaluma.
Re: VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka
By IDIOS
Hakika tusubiri tuone mwisho wake ni nini. Mana leo rais wetu alikuwa ameenda kwenye maonesho ya sabasaba kama vile hakuna tatizo lolote lililopo katika himaya yake.
Inasikitisha sana kwa jinsi jambo hili linavyochukuliwa na viongozi wetu, ni taabi kubwa kuamini hiki. Yani wameli- relax kweli kweli
Tanzania hatuna serikali ila tunajiongoza wenyewe. Kama kweli inafikia hatua mgomo unafika wiki ya tatu lakini viongozi wetu wanazidi kula bata mtaani tu, hakikaka tumekwisha.
Natabiri kuwa mwisho wa uongozi wa mh rais wetu Jakaya ndo huu hakila ataenda THE HEG FRANCE.
Damu ya watanzania wanaokufa kila siku kwa kwa ajili ya mgomo huu bila kutatuliwa damu hiyo itawalilia.
Ndugu Idios, sio viongozi tu wanao ishi kana kwamba hakuna tatizo nchini. Watanzania tulio wengi tunaishi kana kwamba hakuna tatizo katika sekta ya afya. Msumbiji walipandisha bei ya mkate tu, na nchi ikatikisika. Hii ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hawaoni tatizo bidhaa muhimu kupanda bei ki-holela na huduma za afya kudorora au hata kusimama kabisa. Watanzania tukapimwe akili! Hatuko sawa kabisa!
Re: VOA: Mgomo bado upo, wagonjwa wamekiri hakuna aliyetibiwa leo 06/07/2012, vifo vyaongezeka
By IDIOS
Hakika tusubiri tuone mwisho wake ni nini. Mana leo rais wetu alikuwa ameenda kwenye maonesho ya sabasaba kama vile hakuna tatizo lolote lililopo katika himaya yake.
Inasikitisha sana kwa jinsi jambo hili linavyochukuliwa na viongozi wetu, ni taabi kubwa kuamini hiki. Yani wameli- relax kweli kweli
Tanzania hatuna serikali ila tunajiongoza wenyewe. Kama kweli inafikia hatua mgomo unafika wiki ya tatu lakini viongozi wetu wanazidi kula bata mtaani tu, hakikaka tumekwisha.
Natabiri kuwa mwisho wa uongozi wa mh rais wetu Jakaya ndo huu hakila ataenda THE HEG FRANCE.
Damu ya watanzania wanaokufa kila siku kwa kwa ajili ya mgomo huu bila kutatuliwa damu hiyo itawalilia.
Mgomo umeisha tujenge taifa, pia tutenganishe siasa na taaluma.
STUPID...LIWALO NA LIWE.
wakati nchi inaangamia kwa kuwa na viongozi dhaifu wewe unatuletea pumba zako hapa, wewe unayejiita Tume ya Katiba una akili kichwani kweli wewe! hivi hata hao wanaokulipa wanaridhika na jinsi unavyochangia mada kwenye jukwaa hili? maana mimi nakuona kama kichaa fulani tu... sikutofautushi na wajinga wenzio... very stupid indeed.
Liwalo na liwe. Nimechokaaaaaaaa!!!!!!!
[QUOTE=Tume ya Katiba;4191092]Hakuna hoja ya kujadili hapa.
Mgomo umeisha tujenge taifa, pia tutenganishe siasa na taaluma.[/QUO Nimefika Arusha usiku huu,jirani kwa wenyeji kuna msiba,bint amefariki juzi ktk Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mwili umeletwa leo,atazikwa kesho. Kwa kuangalia hali ya wafiwa walivyochoka,nadhani watawala wanasaidia sanda,jeneza na usafiri wa mwili! Bila shaka kuna fungu kubwa limetengwa kwa kazi hiyo! Jiulize ufisadi kiasi gani unaendelea! Watu wanakufa,watawala wako kimya wakipanga njama nyingine za kupata pesa za bure!
Follow Us Here