Kama kawaida, mzee wa masafa atapaa kwenda Uingereza jumatatu ya juma lijalo kwa takribani siku tano.
Source: mtu wa karibu na mambo ya safari hizo!
Kama kawaida, mzee wa masafa atapaa kwenda Uingereza jumatatu ya juma lijalo kwa takribani siku tano.
Source: mtu wa karibu na mambo ya safari hizo!
Cameruni ata mfwaudu!siku 5!
Doosalaleee!!!
nahisi huko majuu wamemchoka safari zote hizi..saizi anachukuliwa kama mwenyeji tu.!
Jamaa mbona hatimbi hajawahi timba maUruc kunani?
huyu inabidi kumfungia milango asitoke ikulu,maana namna miguu inamuwasha sana
Mwenye kujua hii ni ya ngapi atupatie update, ili tuweke rekodi sahihi mtembezi kama kawa afanye nini sasa hana kazi
JK = Jini, pepo, kirusi,... endeleza...
Watanzania walio UK shikeni mabango ya kumuuliza amekwenda kufanya nini wakati watu wanakufa nyumbani
Our biggest Enemy is not to try what others have done.
Ngoja ninyamaze naweza kuzua matatizo ya problem
I wish he travels and never to come back forever or at least not before 2020!
hivi waliomchagua wanajisikiaje?
jk + UDHAIFU wa serikali yake!
Anaenda kuwalamba miguu Wakuu wake!
Tunalijua hilo!
Hapa ni ban tu.
Sasa kama urais umemshinda mnataka akae bongo afanye nini? Nchi iko kwenye "auto pilot" mwacheni atanue, hata mwezini akitaka aende.
Jana akiwa viwanja vya sabasaba alitamka ya kuwa yeye anatembea kweli kweli kwahiyo anajua mengi.Rais wetu ana uwezo mfupi wa kujali mali za umma.
Ivi kule hakuna matishio?
Follow Us Here