Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

    Report Post
    Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
    Results 81 to 100 of 107
    1. #1
      Determine's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Posts : 238
      Rep Power : 404
      Likes Received
      76
      Likes Given
      96

      Default Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Naomba nimunukuu mmoja wa madaktari:
      The national with no even one public CT SCAN machine that is currently working, .....

      THE NATIONAL HOSPITAL WITH ONE ICU with less than 30 beds.
      THE NATIONAL HOSPITAL with no single paediatric ICU.

      unafiikiri dr tusipokua pamoja tukawaambia hawa wanasiasa kwamba tunataka mabadiliko. nan atawambia??
      IF WE STAND TOGETHER AND TELL THEM THEY WILL UNDERSTAND WHAT WE MEAN.
      BUT TUKIRUDI NYUMA TUTAZIDI KUTESEKA WAKATI NCHI NI YAKWETU NA SIO YA POLITICIAL "
      WAO WAMESHAJICHUKULIA UKUMBI WA KISASA WA BUNGE WAKATI sisi tuhangaika huku bila dawa
      NI WAKATI WETU SISI KUWAMBIA TUNATAKA MAAZINGIRA MAZURI Y A KAZI

      madaktari lazima tuchukue jukumu la kuibadilisha nchi yetu tanzania,Tusiwategemee watanzania wenzetu ambao wako hoi na siasa zinaendelea kuwateketeza(Mwisho wa kunukuu)
      Last edited by Determine; 6th July 2012 at 18:28.
      Kikwete ni Jasiri Sana

    2. RukaaJuu Final

    3. #81
      drmkumba's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 49
      Rep Power : 435
      Likes Received
      1
      Likes Given
      28

      Default Re: Mgomo unaendelea muhimbili

      Is caused due to our poor leaders who always give very simple answers to very complex issues! Such as LIWALO NA LIWE,WAENDE PRIVATE etc! Victims are local people!

    4. #82
      4change's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th March 2012
      Posts : 184
      Rep Power : 400
      Likes Received
      44
      Likes Given
      11

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      madaktari tunawaangalia kama wakombozi wetu.kamwe msilogwe mkarudi nyuma.tunataka mkirudi kazini tuone mabadiliko katika huduma mnazotoa kwa wagonjwa ama sivyo mateso na vifo vilivyotokea kutokana na migomo yenu vitawaandama milele.be focused msitetereshwe na vitisho vya 'dhaifu' wala msibabaishwe na propaganda za media.'mbele daima nyuma mwiko'

    5. #83
      Chal's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 113
      Rep Power : 460
      Likes Received
      45
      Likes Given
      4

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Barnabas Shadrack
      Yaani hayo mazingira miaka yote mlikuwa hamjaona kama ni mabaya hadi mwaka huu ndio mmeoana? Ina maana mlikuwa hamfahamu kuwa hakuna CT Scana hadi mwaka huu ndio mmelitambua hilo? Kama kweli mna uchungu na maisha ya walala hoi, mlikuwa wapi zamani kuwatetea? Au kuna kitu kipi kilichowasukuma hadi mkaamua kugoma ndani ya mwaka huu? Mnataka kusema zamani kulikuwa na CT Scan? Au magonjwa ya kutibiwa kwa kutumia CT Scan ndiyo yamekuja mwaka huu? Madakatari rudini kazini maana wananchi wasioweza kulipia huduma katika mahospitali binafsi wanaendelea kufa.
      Huenda wakati uliokubalika ni sasa, kwani kila jambo na wakati wake

    6. #84
      MNYISANZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,311
      Rep Power : 0
      Likes Received
      593
      Likes Given
      76

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Dr Slaa alishatuambia JK = JANGA LA KITAIFA. Unabii umetimia.

    7. #85
      kibol's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,165
      Rep Power : 590
      Likes Received
      293
      Likes Given
      190

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      nawaunga mkono madokta,wakomae mpk kieleweke

    8. Miaka 50

    9. #86
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,754
      Rep Power : 1319
      Likes Received
      728
      Likes Given
      147

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      I have the full support to Doctors dont give up justice will prevail

    10. #87
      Puppy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2011
      Posts : 1,482
      Rep Power : 682
      Likes Received
      360
      Likes Given
      53

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Get Us Better Healthy or Death.

      Doctors All The Way....

      Dhaifu Wale Twiga wa Maige mngelipwa sahiihii mngenunua hata CT Scanners Mbili

    11. #88
      Mlisa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th March 2012
      Posts : 27
      Rep Power : 367
      Likes Received
      1
      Likes Given
      3

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Kweli wewe akili zako ziko Kama hazipo. Inamaana kipindi cha mkapa hawajawahi lalamikia hiliswala?

    12. cpt
      #89
      cpt's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th May 2010
      Posts : 138
      Rep Power : 485
      Likes Received
      22
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By Determine
      hutakaa usikie tamko lolote,make Dhaifu hataki tuonekane popote,(amedhibiti media kwa gharama kubwa sana) sisi tunafanya mambo down to down,ukitaka TAMKO Peleka mgonjwa MOI au MNH
      haa. . . . ! na walimu wamegoma.ukitaka tamko we peleka mwanao st kayumba uone!

    13. #90
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      I do not support mgomo!

    14. #91
      wakuwaza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 141
      Rep Power : 438
      Likes Received
      20
      Likes Given
      11

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Tume ya Katiba
      Jibu swali, kama wewe ndio daktari nitajie hoja kuu moja tu ya nyie kugoma.
      Tunagoma kwa sababu serikali ni DHAIFU. Ni hilo tu. uliza jingine.

    15. #92
      wakuwaza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 141
      Rep Power : 438
      Likes Received
      20
      Likes Given
      11

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By FJM
      Rais aliendesha kikao cha baraza la mawaziri week hii huko Dodoma, leo alikuwa Sabasaba huku anavinjari (bad PR), Waziri mkuu tunaambiwa kapata safari, wagonjwa bado wanaendelea kutaabika, bunge linaendelea as if mambo ni shwari. Wakati huo huo Dr Ulimboka yuko nje ya nchi anapata matibabu chini ya ulinzi mkali dhidi ya 'serikali yake'. Kweli Tanzania tumepatikana.

      Kwa mawazo yangu kadri siku zinavyozidi kusonga ndiyo huo mchezo wa serikali unazidi kula kwao. Na inatakiwa CCM na viongozi wote serikalini wasali sala zote wanazojua ili Dr Ulimboka apone. Vingenevyo (mungu apitishe mbali) upo uwezekano wa huu mgogoro kugeuka na kuwa kama ugonjwa wa kuambukiza.
      LIWALO na liwe.

    16. #93
      Hute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 1,410
      Rep Power : 713
      Likes Received
      354
      Likes Given
      23

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By MAKAH
      Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
      ni madaktari vyeti hawana lolote, mambumbumbu wanaopasua vichwa vya watu badala ya miguu, ukiwaambia unatakiwa kupasuliwa kidole wanaweza kufanya operation ya jicho, ukiwaambia unataka kutahiriwa kama zimbabwe si ndo watakufanyia operation ya ubongo..hawana lolote wanashinda wakilewa tu wanakuja kazini wamelewa vilaza wakubwa na wanataka mshahara mkubwa wakati utendaji wao ni mbofumbofu.....ningekuwa na uwezo ningewaulimboka karibia wote....kama wanaona wao ni competent enough waende kutafuta kazi nje ya nchi....hapa tutawaajiri wengine, na wafukuzwe bila utumishi kabisa...wakalewe chibuku ya kukopa huko uchochoroni. wangelijua watu wanaokufa kwa wao kuwatoa kafara kwa mgogoro wao na serikali,wangerudi makazini wafanye kazi waliyosomeshwa bure kwa pesa za hao hao wanaokufa.
      Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!

    17. #94
      wakuwaza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 141
      Rep Power : 438
      Likes Received
      20
      Likes Given
      11

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Eti wanasema JF inaipinga Serikali? Mimi ni mwana-JF. Siipingi Serikali, napinga udhalimu wa Serikali. Ni serikali dhalimu sana. Itaua wote wale wanaojua kutetea haki zao na haki za wengine. Watu wanatembea na mashangingi wengine hawajui jioni wanakula nini. Wengine wanajiwekea mabilioni ya shilingi nchi za nje na hakuna anayejali wakati wengine hawajui hata tembe ya malaria wataipataje. Kwanini niipende serikali dhalimu? Naichukia sana.

    18. #95
      javan's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 16
      Rep Power : 350
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By MAKAH
      Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
      madaktari hawauzi maneno au sura zao ila ujuzi wao. hospitali bila vifaa ni kuwadhihaki madaktari wamechoka. tumia akili yako ipasavyo.

    19. #96
      Acha Uvivu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th April 2011
      Posts : 413
      Rep Power : 491
      Likes Received
      103
      Likes Given
      13

      Default

      Quote By Jakubumba
      Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing
      Jamiiforums where we dare to talk openely. Hiyo ndo motto ya jukwa hili. JK kavichimba biti vyombo vya habari na vimekwinya mikia. Jf hatutikisiki kuna habari za uhakika zaidi ya Daily News, HabariLeo, Uhuru magazeti ya Sadick Meck Sadick-mzee wa propaganzi.

    20. #97
      mdizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th January 2011
      Posts : 1,106
      Rep Power : 798
      Likes Received
      309
      Likes Given
      66

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      kumbukeni hawa jamaa ni wasomi na profession yao ni rare ... they are very clever ...... they will always fool the government and garbage politics from ccm

      watch out

    21. FJM
      #98
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,179
      Rep Power : 2569
      Likes Received
      5331
      Likes Given
      4587

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Hute
      ni madaktari vyeti hawana lolote, mambumbumbu wanaopasua vichwa vya watu badala ya miguu, ukiwaambia unatakiwa kupasuliwa kidole wanaweza kufanya operation ya jicho, ukiwaambia unataka kutahiriwa kama zimbabwe si ndo watakufanyia operation ya ubongo..hawana lolote wanashinda wakilewa tu wanakuja kazini wamelewa vilaza wakubwa na wanataka mshahara mkubwa wakati utendaji wao ni mbofumbofu.....ningekuwa na uwezo ningewaulimboka karibia wote....kama wanaona wao ni competent enough waende kutafuta kazi nje ya nchi....hapa tutawaajiri wengine, na wafukuzwe bila utumishi kabisa...wakalewe chibuku ya kukopa huko uchochoroni. wangelijua watu wanaokufa kwa wao kuwatoa kafara kwa mgogoro wao na serikali,wangerudi makazini wafanye kazi waliyosomeshwa bure kwa pesa za hao hao wanaokufa.
      Umeongea vizuri karibu ungemfikia Stella Manyanya! Sijui na wewe ni mkuu wa mkoa upi?
      Determine likes this.

    22. #99
      mwenyenchi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th November 2011
      Posts : 179
      Rep Power : 416
      Likes Received
      22
      Likes Given
      58

      Default Re: Mgomo unaendelea muhimbili

      Quote By Ukwaju
      Taarifa ya Habari haikuafanua nachoomba MaDr waachie ngazi kwani ni lazima kung'ang'ania mikasi na vifaa vya walipa kodi?
      we lazima ni fisadi madokta hawapo wameitikia wito wa dhaifu ndo maana hakuna huduma, mliwaona wana njaa sana haya sasa tusonge tukajaze nafasi zao kwa usalama wa watanzania wenzetu.

    23. #100
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default

      Quote By Hute
      ni madaktari vyeti hawana lolote, mambumbumbu wanaopasua vichwa vya watu badala ya miguu, ukiwaambia unatakiwa kupasuliwa kidole wanaweza kufanya operation ya jicho, ukiwaambia unataka kutahiriwa kama zimbabwe si ndo watakufanyia operation ya ubongo..hawana lolote wanashinda wakilewa tu wanakuja kazini wamelewa vilaza wakubwa na wanataka mshahara mkubwa wakati utendaji wao ni mbofumbofu.....ningekuwa na uwezo ningewaulimboka karibia wote....kama wanaona wao ni competent enough waende kutafuta kazi nje ya nchi....hapa tutawaajiri wengine, na wafukuzwe bila utumishi kabisa...wakalewe chibuku ya kukopa huko uchochoroni. wangelijua watu wanaokufa kwa wao kuwatoa kafara kwa mgogoro wao na serikali,wangerudi makazini wafanye kazi waliyosomeshwa bure kwa pesa za hao hao wanaokufa.
      Mkuu huu mziki wa madaktari ni mkubwa na serikali ya dhaifu lazima mwisho wa siku itanywea tu...kama serikali inasema wafanyakazi wa sekta nyeti hawatakiwi kugoma basi ifike wakati serikali ianze kuzi treat sekta nyeti kama sekta nyeti kweli...

    Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...