Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

    Report Post
    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 107
    1. #1
      Determine's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Posts : 238
      Rep Power : 403
      Likes Received
      76
      Likes Given
      96

      Default Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Naomba nimunukuu mmoja wa madaktari:
      The national with no even one public CT SCAN machine that is currently working, .....

      THE NATIONAL HOSPITAL WITH ONE ICU with less than 30 beds.
      THE NATIONAL HOSPITAL with no single paediatric ICU.

      unafiikiri dr tusipokua pamoja tukawaambia hawa wanasiasa kwamba tunataka mabadiliko. nan atawambia??
      IF WE STAND TOGETHER AND TELL THEM THEY WILL UNDERSTAND WHAT WE MEAN.
      BUT TUKIRUDI NYUMA TUTAZIDI KUTESEKA WAKATI NCHI NI YAKWETU NA SIO YA POLITICIAL "
      WAO WAMESHAJICHUKULIA UKUMBI WA KISASA WA BUNGE WAKATI sisi tuhangaika huku bila dawa
      NI WAKATI WETU SISI KUWAMBIA TUNATAKA MAAZINGIRA MAZURI Y A KAZI

      madaktari lazima tuchukue jukumu la kuibadilisha nchi yetu tanzania,Tusiwategemee watanzania wenzetu ambao wako hoi na siasa zinaendelea kuwateketeza(Mwisho wa kunukuu)
      Last edited by Determine; 6th July 2012 at 18:28.
      Kikwete ni Jasiri Sana

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1846
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      "Damu yangu, na mateso niliyoyapata yawe chachu kwa wenzangu kuendelea kupigania haki yetu ambayo bado haijapatikana-Dr Ulimboka"
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    4. #22
      controler's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 365
      Rep Power : 419
      Likes Received
      80
      Likes Given
      73

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Tume ya Katiba
      Mgomo wa madaktari umeisha, kilichobaki ni mauza uza. Huduma zinaendelea kama kawaida. Mwananyamala hosp ,temeke hosp na refferal lugalo. shughuli zinaenda kama kawa.
      Kama nina mgonjwa wangu anahitaji CT scan vip nimpeleke moja kwa moja ligalo au sio?

    5. #23
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,055
      Rep Power : 810
      Likes Received
      182
      Likes Given
      11

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Yaani hayo mazingira miaka yote mlikuwa hamjaona kama ni mabaya hadi mwaka huu ndio mmeoana? Ina maana mlikuwa hamfahamu kuwa hakuna CT Scana hadi mwaka huu ndio mmelitambua hilo? Kama kweli mna uchungu na maisha ya walala hoi, mlikuwa wapi zamani kuwatetea? Au kuna kitu kipi kilichowasukuma hadi mkaamua kugoma ndani ya mwaka huu? Mnataka kusema zamani kulikuwa na CT Scan? Au magonjwa ya kutibiwa kwa kutumia CT Scan ndiyo yamekuja mwaka huu? Madakatari rudini kazini maana wananchi wasioweza kulipia huduma katika mahospitali binafsi wanaendelea kufa.

    6. #24
      controler's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 365
      Rep Power : 419
      Likes Received
      80
      Likes Given
      73

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By MAKAH
      Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
      Wamemuua nani Mkuu? Au ndo waliompeleka Dr Uli mabwepande? Nijuavyo mm hii ni nchi ya soko Huria so kama mfanyakazi wako hafanyi kazi ni jukumu lako kumfukuza na kuajiri mwingine na hiyo ndo responsibility ya serikali Ifanye hivyo basi kama vip!

      Uliahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania na Kikwete na sio Madaktari kwa hiyo huduma bora za Afya huna haki yeyote ya kuwauliza madaktari unatakiwa umuulize uliyempa kura yako kwa ahadi ya huduma bora za Afya sawa sawa?

    7. #25
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,498
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16344
      Likes Given
      8416

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      I support the doctors!!
      RockSpider and mama D like this.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    8. Miaka 50

    9. #26
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1846
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By MAKAH
      Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
      Wewe ndio daktari si ndio? Hivi ni akili uharo.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    10. #27
      Determine's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Posts : 238
      Rep Power : 403
      Likes Received
      76
      Likes Given
      96

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By MAKAH
      Wanaoendelea na mgomo wasiitwe madaktari - hawa ni wauwaji na mumiani wakubwa - madaktari vyeti hawa.
      Muuaji ni dhaifu na madaktari wa uasalama wa Taifa wanaovaa makoti na kupiga picha na kutangaza mgomo umeisha,wakati tuliogoma bado hatujajibiwa,majibu ya siku ile hayakutuingia kichwania na wala hayana uwezo wa kuingia.
      Kikwete ni Jasiri Sana

    11. #28
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,685
      Rep Power : 22520
      Likes Received
      6343
      Likes Given
      2833

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Na sasa wanaanza kuongelea flyoverz, wkt Hospitali ziko hoi bin taaban. Washauri wa DHAIFU wako katikati ya usingizi wa pono!
      Dr's, u hv our full support, do whatever u see favors your practitionalism.

    12. #29
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,675
      Rep Power : 0
      Likes Received
      538
      Likes Given
      273

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Hoja ya madaktari ni sawa na tabia ya kinyonga. Nimeongea na dr mmoja ameniambia live kuwa hoja yao kuu ni Maslah yao binafsi [mishahara na posho], na sio vifaa, siku za hivi karibuni ndio wameanza kubadilisha hoja baada ya kugundua hoja za mishahara mikubwa hazina nguvu mbele ya jamii.

    13. #30
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,573
      Rep Power : 1995
      Likes Received
      1611
      Likes Given
      1603

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      So mgomo upo au haupo?
      Na mbona serikali inazungumzia ishu ya mshahara tu na hawasemi madai hayo hapo juu ya msingi kabisa.!!
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    14. #31
      Determine's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Posts : 238
      Rep Power : 403
      Likes Received
      76
      Likes Given
      96

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Barnabas Shadrack
      Yaani hayo mazingira miaka yote mlikuwa hamjaona kama ni mabaya hadi mwaka huu ndio mmeoana? Ina maana mlikuwa hamfahamu kuwa hakuna CT Scana hadi mwaka huu ndio mmelitambua hilo? Kama kweli mna uchungu na maisha ya walala hoi, mlikuwa wapi zamani kuwatetea? Au kuna kitu kipi kilichowasukuma hadi mkaamua kugoma ndani ya mwaka huu? Mnataka kusema zamani kulikuwa na CT Scan? Au magonjwa ya kutibiwa kwa kutumia CT Scan ndiyo yamekuja mwaka huu? Madakatari rudini kazini maana wananchi wasioweza kulipia huduma katika mahospitali binafsi wanaendelea kufa.
      kipindi hicho pia hatuwa na DHAIFU wala LIWALO NA LIWE
      Kikwete ni Jasiri Sana

    15. #32
      Kirode's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2011
      Posts : 1,117
      Rep Power : 636
      Likes Received
      64
      Likes Given
      38

      Default

      Ni jf pekee utapata ukweli..
      Quote By Jakubumba
      Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing

    16. #33
      PayGod's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2008
      Posts : 1,158
      Rep Power : 803
      Likes Received
      42
      Likes Given
      22

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Chanel ten wameonyesha kuna mgoma baridi MOI

    17. #34
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,694
      Rep Power : 903
      Likes Received
      432
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Determine
      hutakaa usikie tamko lolote,make Dhaifu hataki tuonekane popote,(amedhibiti media kwa gharama kubwa sana) sisi tunafanya mambo down to down,ukitaka TAMKO Peleka mgonjwa MOI au MNH
      Hii imekaa vizuri.....ngoma inogile

    18. #35
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,675
      Rep Power : 0
      Likes Received
      538
      Likes Given
      273

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Jakubumba
      Hizi ni habari mchanganyiko, mara mgomo umeisha, mara mgomo upo! Nielewe lipi? Kama mnagoma gomeni tujue moja, why media nyingi zinasema hakuna mgomo isipokua ni jf pekee inayosema upo? Totally confusing
      Mkuu hakuna mgomo, hata JF ni wapenzi wa chama fulani cha kisiasa ndio wasingependa kuona mgomo unaisha. Ila mkuu wangu hakuna mgomo, madr hawakuwa na hoja ya msingi.

    19. #36
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 11,950
      Rep Power : 31788
      Likes Received
      5900
      Likes Given
      19267

      Default

      Quote By Crashwise
      Jamani Madaktari nilisha sema nina waunga mkono....
      Nami vivyo hivyo.

    20. #37
      Dr Klinton's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st January 2012
      Posts : 121
      Rep Power : 394
      Likes Received
      152
      Likes Given
      78

      Default

      Quote By Tume ya Katiba
      Mgomo wa madaktari umeisha, kilichobaki ni mauza uza. Huduma zinaendelea kama kawaida. Mwananyamala hosp ,temeke hosp na refferal lugalo. shughuli zinaenda kama kawa.
      Haaaaa mpiga propaganda hata aibu huna hospitali ya rufaa lugalo au sio kweli mgomo imeisha

    21. #38
      DALLAI LAMA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 2,831
      Rep Power : 0
      Likes Received
      697
      Likes Given
      0

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Nawasapoti madaktari mpaka DHAIFU atambue haki za waajiriwa wengine.

    22. #39
      kaburungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2011
      Posts : 353
      Rep Power : 562
      Likes Received
      56
      Likes Given
      67

      Default

      Quote By Tume ya Katiba
      Hoja ya madaktari ni sawa na tabia ya kinyonga. Nimeongea na dr mmoja ameniambia live kuwa hoja yao kuu ni Maslah yao binafsi [mishahara na posho], na sio vifaa, siku za hivi karibuni ndio wameanza kubadilisha hoja baada ya kugundua hoja za mishahara mikubwa hazina nguvu mbele ya jamii.
      tumeyakatiba
      Mkuu acha kujipa matumaini huyo dr ulieongea wa wapi, FYI Doctors wataendelea kugoma japo kwa macho yako unaweza ona kuwa hakuna mgomo...

    23. BAK
      #40
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,568
      Rep Power : 44958
      Likes Received
      8289
      Likes Given
      8280

      Default Re: Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

      Quote By Determine
      Naomba nimunukuu mmoja wa madaktari:
      The national with no even one public CT SCAN machine that is currently working, .....

      THE NATIONAL HOSPITAL WITH ONE ICU with less than 30 beds.
      THE NATIONAL HOSPITAL with no single paediatric ICU.

      unafiikiri dr tusipokua pamoja tukawaambia hawa wanasiasa kwamba tunataka mabadiliko. nan atawambia??
      IF WE STAND TOGETHER AND TELL THEM THEY WILL UNDERSTAND WHAT WE MEAN.
      BUT TUKIRUDI NYUMA TUTAZIDI KUTESEKA WAKATI NCHI NI YAKWETU NA SIO YA POLITICIAL "
      WAO WAMESHAJICHUKULIA UKUMBI WA KISASA WA BUNGE WAKATI sisi tuhangaika huku bila dawa
      NI WAKATI WETU SISI KUWAMBIA TUNATAKA MAAZINGIRA MAZURI Y A KAZI

      madaktari lazima tuchukue jukumu la kuibadilisha nchi yetu tanzania,Tusiwategemee watanzania wenzetu ambao wako hoi na siasa zinaendelea kuwateketeza(Mwisho wa kunukuu)
      Ni maamuzi mazuri ila wanahitaji kuwa na mshikamano wa hali ya juu na pia kuungwa mkono na Watanzania walio wengi katika haya mapambano ya kuhakikisha uboreshwaji wa sekta ya afya nchini.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...