Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Mhe, wazir mkuu kayanza pita pinda ameonya wafanyabiashara wanaojipindishia bei za vyakula hovyo punde tu tukaribiapo msimu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.. Na ametoa tamko la serikali kuwa si vyema wafanyabiashara kufanya hivyo..! Source gazeti tanzania daima, Mhe..Pinda heko na unastahili pongezi.. Kaza mwendo.. Utafika tu .. Pole pole ndo mwendo.. Kamanda pinda..!
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By sir.JAPHET

Mimi nadhani wafanyabiashara wa kiislam wangeonyesha mfano kwa kuacha bei zao za bidhaa ziwe kama za sasa wakati wa mfungo wa ramadhani...
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Kama mimi eeeeh, mie najisomea comments za wenzangu tu hapa na kucheka ttuuuuuuuuuuuuuu, ila kwanini Pinda nae asipunguze bei ya asali zake na mahindi ili kuonyesha mfanao? mbona kapandisha bei ya asali na mahindi yale yaliyotoka kwene shamba lake? au anaongea ze opposite???
By ngwendu
pumba. kama huna cha kuchangia siuache na usome comments za wenzako?
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Ahsanteni sana kwa kashfa munazotoa juu ya uislam ! mapocho pocho subri december 25 na january 1! hujatosheka ! ramadhan ni kwa ajili ya waislamu! wewe mwenye itikadi nyengine yakuhusu nini! acha roho mbaya! pilipili usoila yakuwashia nini? acheni kasumba!
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By ngwendu
pumba. kama huna cha kuchangia siuache na usome comments za wenzako?
Pumba kivipi? Tena ningefurahi sana kama ningeona wafanyabiashara wa kiislam wakishusha bei za bidhaa katika mwezi mtukufu. Si mwezi mtukufu bana? Inakuwaje na wenyewe wanafuata mkumbo wa kupandisha bei? Inapoteza maana kabisa ya mwezi mtukufu...

Wewe ni nani mpaka wakufurahishe Uislam aupo kwa kufurahisha watu...pumba zingine bana.
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By Asante
Kama sehemu ya jamii ya watanzania wamegomea kula chakula uhaba unatoka wapi?
Huwa napata shida sana ku-connect mantiki ya kupanda bei vyakula wakati ambao walaji wamepungua coz WAMEFUNGA! Wakati wa mfungo mahitaji ya chakula yanaongezekaje?
Washauri ndugu zako wapunguze bei bana...mwezi mtukufu siyo wakati wa kupata faida kwa kuwaumiza wengine...ni kinyume na maadili ya Uislam safi...
Hayo ni maneno ya kienyeji wala Waislam hawapo kwa ajili ya mwezi mmoja wala hakuna sehemu yeyote kwenye Uislam imesema mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa kula sana, tena Uislam unafundisha mwezi wa Ramadhan ni mwezi kupunguza kula.
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By Nyetk
Huwa napata shida sana ku-connect mantiki ya kupanda bei vyakula wakati ambao walaji wamepungua coz WAMEFUNGA! Wakati wa mfungo mahitaji ya chakula yanaongezekaje?
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Pinda ka pindisha sheria! Kw anini asinge onya toka mwanzo walikuwa wanapandisha bei ya vyakula kiholela, pinda huruma imekuja baada ya kuona mwezi mtakatifu umekaribia! Bila shaka atapewa mualiko siku ya sikukuu!
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
jamani pinda ameonyesha ukomavu kisiasa amethubutu kuonyesha upendo wa dhati kwa waislam ingawa yeye ni mkristo.. Hatuja ona mikakati ya dhati kutoka kwa kikwete wala bilal kupunguza mfumuko wa bei za vyakula hasa misim ya skukuu.. Wajameni.. Pinda we salute u..
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By sir.JAPHET
Mhe, wazir mkuu kayanza pita pinda ameonya wafanyabiashara wanaojipindishia bei za vyakula hovyo punde tu tukaribiapo msimu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.. Na ametoa tamko la serikali kuwa si vyema wafanyabiashara kufanya hivyo..! Source gazeti tanzania daima, Mhe..Pinda heko na unastahili pongezi.. Kaza mwendo.. Utafika tu .. Pole pole ndo mwendo.. Kamanda pinda..!
Hata Sukari alionya wafanya biashara wasiuze zaidi ya 1700 lakini leo tunainunu kwa zaidi ya 2200 kwa kilo....Pinda hakuna analo weza kulisimamia.
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Follow Us Here