Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Mhe, wazir mkuu kayanza pita pinda ameonya wafanyabiashara wanaojipindishia bei za vyakula hovyo punde tu tukaribiapo msimu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.. Na ametoa tamko la serikali kuwa si vyema wafanyabiashara kufanya hivyo..! Source gazeti tanzania daima, Mhe..Pinda heko na unastahili pongezi.. Kaza mwendo.. Utafika tu .. Pole pole ndo mwendo.. Kamanda pinda..!
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By Ritz
Hayo ni maneno ya kienyeji wala Waislam hawapo kwa ajili ya mwezi mmoja wala hakuna sehemu yeyote kwenye Uislam imesema mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa kula sana, tena Uislam unafundisha mwezi wa Ramadhan ni mwezi kupunguza kula.
Kula nini kitimoto maana, wafanyabiashara hullamika kweli kuwa mwenye wa ramadhani biashara ya kitimoto huwa inadoda....
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By sir.JAPHET
Mhe, wazir mkuu kayanza pita pinda ameonya wafanyabiashara wanaojipindishia bei za vyakula hovyo punde tu tukaribiapo msimu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.. Na ametoa tamko la serikali kuwa si vyema wafanyabiashara kufanya hivyo..! Source gazeti tanzania daima, Mhe..Pinda heko na unastahili pongezi.. Kaza mwendo.. Utafika tu .. Pole pole ndo mwendo.. Kamanda pinda..!
Pinda shughulikia mgomao wa madaktari, watu wanakufaaa! Unahangaika na mambo ya waislamu tangu lini serikali ikawa na dini? Mfumuko wa bei ni mwezi wa ramadhani tu? Kwanza hao si wamefunga, wananunua chakula cha nini tena hadi kipande bei?
Pinda shughulikia mgomao wa madaktari, watu wanakufaaa! Unahangaika na mambo ya waislamu tangu lini serikali ikawa na dini? Mfumuko wa bei ni mwezi wa ramadhani tu? Kwanza hao si wamefunga, wananunua chakula cha nini tena hadi kipande bei?
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By Ritz
Hayo ni maneno ya kienyeji wala Waislam hawapo kwa ajili ya mwezi mmoja wala hakuna sehemu yeyote kwenye Uislam imesema mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa kula sana, tena Uislam unafundisha mwezi wa Ramadhan ni mwezi kupunguza kula.
Mkuu chakula kinapandaje bei kama "zaidi ya nusu ya watanzania" wamepunguza kula???????????????!!!!!!!!!!! !
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Naona hajaonya, ila ametoa mapendekezo kama mtanzania mwenye haki ya kusilizwa. Kama ni onyo, lingeambatana na hatua zitakazochuliwa kwa wafanyabiashara kuupuza ama kukaidi, na lingeandikwa kwenye national gazette na kupewa hati ya kisheria.
Ni bora kuelewa kuwa serikali iliporuhusu soko huria, moja ya matokeo hasi ni kupanda kiholela kwa bei na hasa za vyakula, and the higher the demand, the higher the price. Na kama hawakuyajua kabla, hapo kuna shida. Mhe Pinda hawezi kubadili forces of demand, ila serikali yake inachoweza kufanya ni kuimarisha shillingi, ili iweze kuhimili mikiki ya market forces, such that shilingi kidogo iweze kununua zaidi
Mbona shule mmeenda, inakuwaje mnashindwa kupembua maswala madogo kama haya? Jamani! Ni vema kiongozi anapotoa tamko aeleze km ni yake binafsi ama ya ofisi anayosimamia ili tuweze kupima na kuchangia vema.
Mbona hatusikii kelele za serikali za namna hiyo wakati wa Kwaresma? Wakristo ni raia wa nchi gani?
mbona huwa wanasema kwa sababu msim wa skukuu its olmost kila chakula na mahtaji ya muhim bei juu.. Viongoz huwa wanatoa kauli.. Na misimamo yao kupinga mifumuko ya bei
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By Nyetk
Huwa napata shida sana ku-connect mantiki ya kupanda bei vyakula wakati ambao walaji wamepungua coz WAMEFUNGA! Wakati wa mfungo mahitaji ya chakula yanaongezekaje?
Mkuu hujui tu, hivi ushaona wanavyofuturu? Ule mlo ni zaidi ya breakfast na lunch then ongeza ile daku saa kumi asubuhi, Inakuwa kama vice versa. We eat during day time while sleeping and eating nothing in the night time, while they eat nothing at the day time and they have full three meals at the night time.

Kawaida ni demand ya vyakula ambavo haviliwi sana mijini miezi mingine mfano mihogo,kiazi kikuu,ndizi inaongezeka, matokeo yake ni bei kupanda maadam supply ipo pale pale. Mbaya zaidi vyakula hivi ni perishable hivo huwezi ku stock mapema.

By Mbimbinho

So you are suggesting that budget ya chakula mwezi wa ramadhani ni mara mbili ya kawaida. Sasa wanafunga au wanajipiga wenyewe changa la macho?
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Hivii; mimi nafikiri wanaochangia vyakula kupanda kipindi cha ramadhani ni wafungaji wenyewe, coz wanakuza saana hii kitu, kwani kipindi kingine watu hawali? Mbona wakristu wakifunga bidhaa hazipandi?
Na hilo la kuonya lina athari gani kwenye free market?
..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
Tatizo Pinda anaongea ongea sana wakati watu washamjua yeye ni mbwa asie na meno. Sheria za nchi si zipo? Mamlaka husika si zipo? Watakao kiuka sheria si wawajibishwe na mamlaka husika? Leo hii waziri mkuu utoke na kuanzia kuongea hivi? Si uwaambie tu watendaji walishughulikie?
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By Nyetk
Huwa napata shida sana ku-connect mantiki ya kupanda bei vyakula wakati ambao walaji wamepungua coz WAMEFUNGA! Wakati wa mfungo mahitaji ya chakula yanaongezekaje?
Me too nimeshajaribu nimeshindwa kabisa! Halafu mtu anakwambia budget ya mlo inaongezeka kipindi ambacho mtu amefunga kula!
..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
Re: Mhe.. Pinda ameonya mfumuko wa bei za vyakula msimu huu wa ramadhani...!
By simplemind
Kawaida ni demand ya vyakula ambavo haviliwi sana mijini miezi mingine mfano mihogo,kiazi kikuu,ndizi inaongezeka, matokeo yake ni bei kupanda maadam supply ipo pale pale. Mbaya zaidi vyakula hivi ni perishable hivo huwezi ku stock mapema.
Kidoogo naanza pata picha, lakini machele, tambi na sukari je?
Watu waongeze ubunifu katika mapishi kama wanataka vitu laini, ubwabwa waweza pikwa na kuwa rojo rojo ukiongezwa nazi au karanga!
..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
Mimi nadhani wafanyabiashara wa kiislam wangeonyesha mfano kwa kuacha bei zao za bidhaa ziwe kama za sasa wakati wa mfungo wa ramadhani...
Hakuna uhusiano wowote kati ya dini na kanuni za uchumi. Hapo ni nadharia ya demand and supply tu ndio inafanya kazi.
Wengi wataacha kutumia mchele na sembe na kutumia nafaka nyinginezo ambazo ni chache, matokeo yake nafaka hizo ukiondoa mchele na unga zitapata watumiaji wengi wakati ambapo mgao wake uko pale pale. Zitabaki kelele tu.
Follow Us Here