Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 41
    1. #1
      Taso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2010
      Posts : 1,175
      Rep Power : 795
      Likes Received
      308
      Likes Given
      121

      Default Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Kama ilivyo ada, Rais za Zanzibar leo tena amekataa kuhudhuria kikao cha baraza la Mawaziri kama mjumbe, kinyume na anavyotakiwa na Ibara ya 54 ya Katiba ya Tanzania.

      Tatizo, alikerwa alivyoitwa waziri. Ukiangalia kiti cha Rais wa Zanzibar kilivyopangwa (tupu) ni kama vile kiprotokali yeye yuko juu ya Waziri Mkuu manake anakalishwa karibu na Rais kuliko Waziri Mkuu. Lakini Ibara ya 54 inaanisha kwamba Rais wa Zanzibar hayumo katika mtiririko wa uongozi wa kikao cha Cabinet, Waziri Mkuu yumo, hivyo Rais wa Zanzibar anaona hapo anazugwa tu. Another "kiini macho cha Muungano," kwa kutumia maneno ya Tundu Lissu.

      Wakati umefika sasa kila upande uwe na cabinet yake wenyewe, Zanzibar na Tanganyika tukutane East African Community, ambapo kila nchi ni "dola huru yenye mamlaka yake kamili."
      Wekeza Tanzania, nunua waziri

    2. Miaka 50

    3. #21
      Young Tanzanian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2012
      Posts : 564
      Rep Power : 475
      Likes Received
      45
      Likes Given
      49

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Kaka naona muungano unakutesa sana na ndio sababu ya wewe kuleta hii stor...mbona jamaa kuna taarfa kuwa yupo UK. Kwani lazma kila kikao audhurie mbona ww vkao huudhuriagi vyote..naona mnatafta option b baada ya ile ya kwanza kushndwa.. upangaji wa viti hauna mantic kikubwa ni protocal je ameingia kama nani pale...ni kama rais wa zanzbar na yule mzee ana busara si mpapatikaji hawezi kufanya kitu kama icho...pia nikueleze tu kuwa kwenye muungano nyie wazanzbar ndio mnaotunyonya wabara kwenye nafasi na ata maslahi..pga hesabu ya popltn yenu na oportunity eg. poltcal post mnazopata kwa kgezo cha muungano, eg uwazri,ubalozi,bot,hazna etttttttttcccccccc mm kwanza mkijitenga naona mtatuongezea opportunity wabara wasiwasi wangu ni security cz wale jamaa wa asia wanaweza hamia kwenu

    4. #22
      Young Tanzanian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2012
      Posts : 564
      Rep Power : 475
      Likes Received
      45
      Likes Given
      49

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      mheshimiwa yupo uk kama skosei.

    5. #23
      Kidogo chetu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2009
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 478
      Rep Power : 577
      Likes Received
      53
      Likes Given
      130

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Mambo hayo

    6. #24
      rajab's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th January 2009
      Posts : 10
      Rep Power : 528
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By Kiti
      Rais dahifu wa serikali dhaifu
      Atakiona chake

    7. #25
      rajab's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th January 2009
      Posts : 10
      Rep Power : 528
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Dhifu na sio dahifu

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      August's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2007
      Posts : 2,744
      Rep Power : 1162
      Likes Received
      251
      Likes Given
      2511

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      hivi akihudhuria cheo chake kinashuka? mbona Dr Gharib bilala anahudhria? na mtoto wa mkulima? kwani akiapa kulinda katiba ya jmt atapungukiwa na nini akiwa yeye ni miongoni mwa raia wa jmt? kwa mtu aliye soma kama yeye sitegemei kafanya hili kwa makusudi?

    10. #27
      Mtumbatu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Location : Timbuktu
      Posts : 132
      Rep Power : 382
      Likes Received
      27
      Likes Given
      4

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Kikao kilikuwa kinajadili namna ya serikali kujipanga kuhusu mgomo wa madaktari sasa Zanzibar wao inawahusu nini, yeye atakuja kama mnazungumza kuimeza Zanzibar tu, vinginevyo yuko busy ana shughuli za kufanya, UAMSHO , Polisi, Katiba, meli za Irani n.k.

    11. #28
      Amiliki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2011
      Posts : 1,472
      Rep Power : 764
      Likes Received
      717
      Likes Given
      33

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Kwa hiyo Shgein anaonekana kama anawakilisha mkoa fulani vile! Kweli Zanzibar ni mmoja wa mikoa ya Tanzania. Good!

    12. #29
      Amiliki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2011
      Posts : 1,472
      Rep Power : 764
      Likes Received
      717
      Likes Given
      33

      Default

      Quote By Mtumbatu
      Kikao kilikuwa kinajadili namna ya serikali kujipanga kuhusu mgomo wa madaktari sasa Zanzibar wao inawahusu nini, yeye atakuja kama mnazungumza kuimeza Zanzibar tu, vinginevyo yuko busy ana shughuli za kufanya, UAMSHO , Polisi, Katiba, meli za Irani n.k.
      Kama kikao kinazungumzia kuhusu madaktari, mbona Waziri wa Afya ni N'khojani mwenzie? Kwa hiyo alipaswa kuwepo. Na kama leo ndo wanajadili mambo ya madokta, zile kauli za Dhaifu alizotoa tarehe moja alizitoa wapi?

    13. #30
      dudus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 2,302
      Rep Power : 1007
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      522

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By Lukolo
      Maandishi yenye pink si ya kweli. Rais wa Zanzibar aliapishwa na Kikwete kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri la JMT na aliapa kwa kutumia viapo vya mawaziri na hivyo kukubali kuilinda katiba ya JMT.

      Asante kwa taarifa but it is even worse! Ikitokea kukinzana kwa Katiba hizo mbili kama ilivyo leo hii Mh. Shein atatunza, kutetea, na kuihifadhi Katiba ipi? Ni ajabu kwa Rais wa nchi kuapa kwa Katiba zaidi ya moja na hili lipo Tanzania pekee. Vyovyote magamba watakavyotetea kinafiki lakini Muungano wa JMT una utata usioelezeka.
      Lukolo likes this.

    14. #31
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,859
      Rep Power : 6968
      Likes Received
      2024
      Likes Given
      1551

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By dudus

      Asante kwa taarifa but it is even worse! Ikitokea kukinzana kwa Katiba hizo mbili kama ilivyo leo hii Mh. Shein atatunza, kutetea, na kuihifadhi Katiba ipi? Ni ajabu kwa Rais wa nchi kuapa kwa Katiba zaidi ya moja na hili lipo Tanzania pekee. Vyovyote magamba watakavyotetea kinafiki lakini Muungano wa JMT una utata usioelezeka.
      Huo ni ukweli usiopingika, hili ni tatizo kubwa kwa nchi hii. Binafsi sioni sababu ya kwanini tunaendelea kujifariji na huu muungano ambao practically haupo.
      dudus likes this.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    15. #32
      dudus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 2,302
      Rep Power : 1007
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      522

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By Lukolo
      Huo ni ukweli usiopingika, hili ni tatizo kubwa kwa nchi hii. Binafsi sioni sababu ya kwanini tunaendelea kujifariji na huu muungano ambao practically haupo.
      Mkuu wanaojifariji na huu Muungano ni CCM na Mh. Lissu aliliweka vizuri sana kwenye hotuba yake. In short, CCM wanautetea Muungano kinafiki kwanza kwa sababu kisiasa wana maslahi nao; pili kwa kuiogopa au "kuionea aibu" au kuibembeleza Zanzibar.

      CCM wanajua fika huu Muungano ukivunjika wataathirika mno kisiasa kuliko chama au taasisi nyingine yoyote. Lakini bahati mbaya ndio hivyo tena, siku zikifika zimefika hakuna jinsi ya kuizuia "roho" isitoke.
      Lukolo likes this.

    16. #33
      Mzenji73's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th January 2009
      Posts : 203
      Rep Power : 823
      Likes Received
      33
      Likes Given
      53

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By Memo
      Yule ni sawa na Katibu tarafa kwenye tarafa moja huko Shinyanga.........!!!
      Hawezi kuwa hata mkuu wa Mkoa!
      Labda ukichanganya na samaki.

      "hahahaha, haya tuoneshe hiyo nafasi ya katibu tarafa wako wa shinyanga hapo kwenye picha?!"

    17. #34
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    18. #35
      Mtumbatu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Location : Timbuktu
      Posts : 132
      Rep Power : 382
      Likes Received
      27
      Likes Given
      4

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Si mkojani huyo, ni mzaramo ndio maana amekuwa waziri wa afya, vikao hivyo havitusaidi kwanza tuna hasira hatujapata cheji ya rada, na tulikuwa tushapanga jinsi ya kuzitumia, kuboresha katiba yetu zaidi iwe ngangari kabla ya katiba mpya ya TZ
      Seems x is unknown but xxx is well known you will see our true colour this time

    19. #36
      Bitabo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2011
      Posts : 1,375
      Rep Power : 662
      Likes Received
      447
      Likes Given
      262

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By Memo
      Yule ni sawa na Katibu tarafa kwenye tarafa moja huko Shinyanga.........!!!
      Hawezi kuwa hata mkuu wa Mkoa!
      Labda ukichanganya na samaki.
      Ningepewa nafasi ya kuwa MOD. Ningekulamba BAN ya maisha huku JF
      Wenzio wanakwambia Zanzibar ni nchi huru na ina amiri jeshi wake, wewe unaiita tarafa????????????????
      Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

    20. #37
      Mtumbatu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Location : Timbuktu
      Posts : 132
      Rep Power : 382
      Likes Received
      27
      Likes Given
      4

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By dudus
      Mkuu wanaojifariji na huu Muungano ni CCM na Mh. Lissu aliliweka vizuri sana kwenye hotuba yake. In short, CCM wanautetea Muungano kinafiki kwanza kwa sababu kisiasa wana maslahi nao; pili kwa kuiogopa au "kuionea aibu" au kuibembeleza Zanzibar.

      CCM wanajua fika huu Muungano ukivunjika wataathirika mno kisiasa kuliko chama au taasisi nyingine yoyote. Lakini bahati mbaya ndio hivyo tena, siku zikifika zimefika hakuna jinsi ya kuizuia "roho" isitoke.

      Iwe iwavyo Muungano hauvunjiki mpaka kieleweke kwanza kuhusu mgawanyo wa faida za Muungano (madeni yote ya Tanganyika) ndio waliokopa sio Zanzibar, lakini tjuwe chetu BoT, TCRA, TRA, TTCL, ATC, Mradi wa Vitambulisho vya Taifa na kadhalika na kdhalika
      Seems x is unknown but xxx is well known you will see our true colour this time

    21. #38
      Sigma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2011
      Location : The 2nd House on the Left
      Posts : 4,258
      Rep Power : 1332
      Likes Received
      915
      Likes Given
      613

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Shein keshamuona Kikwete na baraza lake ni bogus, genge la majangili.
      Kwa nini awe sehemu yake?
      ...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY

    22. #39
      Taso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2010
      Posts : 1,175
      Rep Power : 795
      Likes Received
      308
      Likes Given
      121

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Quote By August
      hivi akihudhuria cheo chake kinashuka? mbona Dr Gharib bilala anahudhria? na mtoto wa mkulima? kwani akiapa kulinda katiba ya jmt atapungukiwa na nini akiwa yeye ni miongoni mwa raia wa jmt? kwa mtu aliye soma kama yeye sitegemei kafanya hili kwa makusudi?
      Well, Pinda na Billal wametajwa kwenye Katiba kati ya watu watatu wanaoweza kuongoza kikao cha Cabinet. Sasa Shein anajiuliza, mimi naitwa Rais, halafu kikao hiki hata Rais akiugua, Makamu wa Rais yuko safarini, Waziri Mkuu nae hayupo, mimi nipo, kikao hakifanyiki! Why? To hell with it. Shein alisikitika sana, kiasi cha kuitisha press conference kujieleza, siku ile alivyotendewa kitendo cha kuapishwa na Rais wa Tanzania. Rais ataapishwaje na Rais mwenzie? Hilo linamkera mpaka kesho kiasi cha kususia vikao vya Cabinet.

      Quote By Mtumbatu
      kwanza tuna hasira hatujapata cheji ya rada
      Mwanasheria Mkuu, ambae anaupenda sana Muungano, ametangaza Bungeni juzi kwamba chenji ya Radar Zanzibar hamuwezi kupata kwa sababu nyinyi hamkutoa kitu kwenye manunuzi. Of all the people Werema amesema hivyo, which is a rarity in Dodoma for Werema to be coherent in any ideas he declaims in parliament, mpaka Werema? Mnaona mlivyozoea kubebwa? Mtapewaje kitu ambacho hamkuchangia?

      Quote By dudus
      CCM wanajua fika huu Muungano ukivunjika wataathirika mno kisiasa kuliko chama au taasisi nyingine yoyote.
      Hebu nisaidie hapo ndugu yangu, CCM itaathirika vipi Muungano ukivunjika? Manake nusu, kama sio overwhelming majority, ya Wazanzibari ni CUF anyway, sasa CCM inaathirika vipi Muungano ukivunjwa?

    23. #40
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,828
      Rep Power : 2968
      Likes Received
      2438
      Likes Given
      3516

      Default Re: Shein akataa tena ujumbe wa Cabinet

      Taso,

      ..CCM ndiyo chama pekee chenye sura ya muungano.

      ..CUF/Hizbu ni chama cha Wapemba.

      ..Chadema wao wako huku Tanganyika tu.

      ..muungano ukivunjika CCM watakuwa na identity crisis wasijielewe kama warudi kuwa Tanu au la.

      NB:

      ..jina "chama cha mapinduzi" lilipatikana kutokana na shinikizo la wa-Zanzibari waliokuwa kwenye tume ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP.

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...